Mbunge Masaburi: Kuna wabunge na viongozi mashoga

seedfarm

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
260
2,652
Mbunge Mama Masubiri akichangia hoja bungeni amesema kuna viongozi wanawafahamu ni mashoga ndio maana kuna ukakasi kwenye kukemea jambo hilo

Mbunge Mama Masaburi amesema zamani wao ukizaa mtoto wa kiume unasema nimezaa mjeshi lakini siku hizi watoto wa kiume ni nyoronyoro sana

Mbunge Mama Masaburi amesisitiza watu hao wanafahamika hata Yeye nyumbani kwake angekuwa anakaa na shoga angemnyongelea mbali huko au angehama kabisa kukaa nae

Mbunge Mama Masaburi amesisitiza kuna ukakasi gani viongozi kukemea suala hilo na hata bungeni kuna ukakasi kutokana kuna wabunge na Viongozi wanajihusisha na Mapenzi ya jinsia moja
 
Mama umepuyanga kidogo wewe kuendana na mgongano wa wa maelezo haya
Mbunge Mama Masaburi amesema zamani wao ukizaa mtoto wa kiume unasema nimezaa mjeshi lakini siku hizi watoto wa kiume ni nyoronyoro sana
Kuna % kubwa umezaa mashoga sio kwa maelezo hayo, sorry kwa kusema haya Ila huo ndio uhalisia wa mambo
 
Mijadala ya kujadili mashoga na ushoga inatia kinyaa sana, bora wangezidi kujikita kwenye ufisadi, ubadhirifu na upotevu wa fedha za umma na sio hao machoko yaliyokorea laana ya kukandwa kwenye tundu la kutolea uchafu.

Ifikie mahala mijadala ya namna hii ife tusiupe promo uchafu wa namna hii, cha msingi wazazi wa pande zote mbili wawajibike katika malezi yenye maadili kwa watoto zao
 
Mbunge Mama Masubiri akichangia hoja bungeni amesema kuna viongozi wanawafahamu ni mashoga ndio maana kuna ukakasi kwenye kukemea jambo hilo..
Hawa wabunge wa kubebwa wanajua ethics za Bunge kweli?

Hizi ni tuhuma serious Kwa mhimili na kama hatua hazitachukuliwa itakuwa ni wazi kabisa wapo wa hivyo..
 
Idara ya propaganda IPO kazini..wamefanikiwa kuwa-gaslight wadanganyika.. Hivi nasikia Sana kuhusu mashoga siku hizi..hivi wameanza kuonekana ghafla mwezi uliopita au..mlikua mnaishi nao muda mrefu,ila mmeona mmeanza kuharibu mnatutoa relini tena.jadilini ripoti ya CaG,mashoga wapo na mtadeal nao bdae
 
Mbunge Mama Masubiri akichangia hoja bungeni amesema kuna viongozi wanawafahamu ni mashoga ndio maana kuna ukakasi kwenye kukemea jambo hilo

Mbunge Mama Masaburi amesema zamani wao ukizaa mtoto wa kiume unasema nimezaa mjeshi lakini siku hizi watoto wa kiume ni nyoronyoro sana

Mbunge Mama Masaburi amesisitiza watu hao wanafahamika hata Yeye nyumbani kwake angekuwa anakaa na shoga angemnyongelea mbali huko au angehama kabisa kukaa nae

Mbunge Mama Masaburi amesisitiza kuna ukakasi gani viongozi kukemea suala hilo na hata bungeni kuna ukakasi kutokana kuna wabunge na Viongozi wanajihusisha na Mapenzi ya jinsia moja
Huko ccm wamejaa na wanajuana.
 
41 Reactions
Reply
Back
Top Bottom