vitabu

  1. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya Darasa la tatu

    Pakua vitabu Kwa ajili ya mwañao Thanks
  2. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Soft copy ya Vitabu hivi

    Salam Wakuu! Naomba mwenye kuwa na softcopy ya vitabu hivi anisaidie tafadhali.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya Secondary vya TIE

    Kuna wanafunzi ambao au ndio wanaingia Secondary, au wanavuka kutoka kidato kimoja kwenda kingine. Katika hali zote, kuna mahitaji ya kununua vitabu vipya vya masomo kwa wale wanaoendelea na shule. Kutokana na bajeti ya vitabu kuwa kipengele, ingekuwa bora kwa yule anayeenda kidato cha juu...
  4. Nanyaro Ephata

    JamiiForums Tanzania orodha ya vitabu nilivosoma 2023

    Nimekuwa nina desturi ya kushirikisha orodha ya vitabu ninavyosoma kila mwaka. Desturi hii inaonesha juhudi za kushirikisha maarifa, ukuaji wa kiakili, na kuhamasisha utamaduni wa kusoma ndani ya jamii. Kila mwaka, nikusanya mkusanyiko tofauti wa vitabu vinavyojumuisha mada mbalimbali, ikiwa ni...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanaoishi Nje ya Nchi watoa msaada wa vitabu 100 kwa Wanafunzi Kyela

    Zaidi ya Vitabu 100 vya masomo mbalimbali vimetolewa na Umoja wa Wazawa wa Kyela Mkoani Mbeya waishio ndani na Nje na Nchi, Kyela Ibasa Festival kwa ajili ya kuwawezesha Wanafunzi kuanzia Kidato cha kwanza hadi cha nne kusoma kwa utulivu na kumaliza mada zote kwa wakati ili kujiandaa na...
  6. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania 'Idadi ya vitabu ulivyosoma'; Mantiki yake hasa ni nini?

    Binafsi napenda sana kujisomea. But, bado sijawahi elewa kwanini wasomaji wenzangu wana huu utamaduni wa kuset malengo ya kusoma Idadi fulani ya vitabu kwa mwaka. I find the whole idea as flawed sababu unaufanya usomaji kuwa racing and not grasping the knowledge! Mfano, ukiweka malengo ya...
  7. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya Dini vina Mafumbo kana kwamba ukiwa Kichwa nazi uwezi kuelewa au utaelewa tofauti

    Tatizo letu binadamu ni moja, vitabu vya dini tunataka tuvisome kama vitabu vya hadithi vya akina Nyemo, tunataka kuvielewa kama vilivyoandikwa, yaani hatutaki kujua walikuwa na maana gani. Tatizo huwa hapo tu. Sina uhakika na Kurani kwa kuwa sijaisoma sana, ila kwa Biblia, imeandikwa kimafumbo...
  8. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Nahitaji hard copies ya vitabu hivi

    Habari wakuu, nina hitaji hasrd copy ya vitabu vya Alex rider by Anthony Horowitz. List ya vitabu vyenyewe ni hivi. Stormbreaker (2000) Point Blanc (2001) Skeleton Key (2002) Eagle Strike (2003) Scorpia (2004) Ark Angel (2005) Snakehead (2007) Crocodile Tears (2009) Scorpia Rising (2011)...
  9. kifii sheria

    JamiiForums Tanzania Download vitabu bure hapa

    Kwa wanafunzi na wale wanaoanza practice ya criminal, hizi zinatumiwa kama checklist kwenye trial Subordinate na High Court na appeals High Court na Court of Appeal. unaweza kuokota kitu.
  10. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Baada ya kusoma vitabu zaidi ya 300, nimegundua kumbe nilitakiwa kusoma Biblia tu

    Kwa miaka kadhaa nimesoma vitabu vya uchumi, biashara, mahusiano, saikolojia na namna ya kukabiliana na changamoto za maisha. Nimesoma vitabu vya wakina Kiyosaki, Brian Trecy, Robert Green, Ralph Waldo Emerson, Tsu Nzu, Napoleon Hill, Donald Trump, Shoga Yuval Noah Harari n.k Hii ndio...
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Wasabato wanakataza wanawake kufundisha ama kuwa wachungaji wakati wanatumia vitabu vya Hellen G White? Iweje nyama ikataliwe mchuzi unywe?

    Sababu ya kukataza. 1Timotheo 2:12 >> Simruhusu mwanamke yeyote kufundisha au kuwa na mamlaka juu ya wanaume (ibadani). Mwanamke anapaswa kukaa kimya. Wasabato hawaruhusu mwanamke kufundisha kanisani au kuwa mchungaji cha ajabu wanatumia mafundisho ya moja wa waanzilishi wa kanisa hilo Hellen...
  12. africatuni

    JamiiForums Tanzania Hakikisha umesoma hivi vitabu 5 kabla hujaanza biashara yoyote

    vitabu vitano vitakavyobadilisha maisha yako totally! How you think, act and behave towards undertaking any business venture. Hellow Ladies and Gentlemen. Hope you are excited as I am!!.. what a great day in a positive mindset!! My pleasure, this thread finds you well. Kama ulifanikiwa kusoma...
  13. Satirical Yet Awesome

    JamiiForums Tanzania Je, tunaweza kuishi kwa amani tukifatisha vitabu vyetu vya dini?

    According to the Koran; Koran 2;191 "Slay the unbelievers wherever you find them." Koran 3;28 "Muslims must not take the infidels as friends." Koran 3;85 "Any religion other than Islam is not acceptable." Koran 5;33 "Maim and crucify the infidels if they criticize Islam." Koran 8;12...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere ashinda Tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Afrika

    Tuzo hizo zilizoandaliwa na Taasisi ya Tuzo za Zikomo Africa Award ya yenye makao makuu nchini Zambia zimefanyika usiku wa kuamkia leo Jumapili, Novemba 19, 2023 nchini humo. Mara baada ya kutangazwa mshindi kwa kuwashinda washindani wenzake nane kutoka Botswana, Uganda, Zambia na Zimbabwe...
  15. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumjengea mwanao tabia ya kupenda kusoma vitabu

    Mwanaharakati maarufu wa Marekani, Dr. Martin Luther King Jr. alishawahi kusema, "An idle mind is the workshop of the devil!". Mtu mmoja anisaidie kutafsiri kwa Kiswahili, tafadhali!🙏 Namna pekee ya kuiepusha akili kuwa "idle" ni kwa kuifanyisha kazi nzuri, na ili akili iweze kufanya kazi nzuri...
  16. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Mnaosubiri miujiza mlosoma kwenye vitabu kuweni makini hasa mnaoungaunga dots

    Mambo mengine ni ya kwetu kabisa wala sio miujiza. Maana kikanuni Mungu hapendi kuingilia mambo binafsi ya watu na kuyaendesha kwa mkono wa chuma. Tunajiamulia wenyewe. Sasa wewe endelea kusubiri au kuamini katika miujiza utakoma. Au utakomeshwa. Mnasikia saivi kuna vita kati ya Israel na...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Kutupia Vitabu vya kiroho visivyotumiwa rasmi na Wakiristo

    Wadau wote Huu ni Uzi maalumu wa Vitabu au nyaraka za Kiroho ambazo hazijaidhinishwa kutumiwa rasmi na Waamini Wakiristo. Kwa Leo nitaanza na kitabu Cha Testament of Solomon Karibuni tupeane maarifa Sabato njema Moderation naomba usiunganishe Uzi huu kwingineko Tafadhali.
  18. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Economics books special thread: vitabu, majarida, uchambuzi

    Huu ni uzi maalumu kwa yoyote yule mwenye kitabu, jarida, chapisho n.k linalohusu uchumi katika mfumo wa soft copy anaweza kutupia hapa ili kila mtu ajifunze mambo mbalimbali kuhusu uchumi. Iwe ni kitaifa au kimataifa hakuna limit ya nchi au eneo lolote. Nawakaribisha wote.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Nimempigia kura Yeriko Nyerere kuwa mwandishi bora wa vitabu Afrika; wewe unasubiri nini?

    Mzee wa ujasusi napenda kukinukisha kwamba pamoja na tofauti za itikadi baina yetu wawili ila natambua uwezo wako mkubwa wa kusoma na kuandika. Unastahili tuzo hata kama ukikosa basi tambua wewe ni mshindi. Niwaombe watanzania wenzangu tumpigie kura ndugu yetu may be akipata tuzo ataachana na...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere Mtanzania pekee anayewania tuzo ya Mwandishi bora wa Vitabu Afrika 2023

    Taasisi ya Tuzo za Zikomo Africa Award ya yenye maskani yake nchini Zambia imemtangaza kijana mtanzania ni mwanajukwaa mkongwe (mwasisi wa jf) Yericko Nyerere kuwania tuzo ya mwandishi bora wa vitabu Afrika. Yericko ni Mtanzania pekee aliyefanikiwa kuingia kwenye kinyang'anyiro hicho cha...
Back
Top Bottom