vitabu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mijadala ya Dini ijikite kuelimisha waamini wa Dini husika, Vitumike vitabu vya Dini husika kukazia maarifa ya Dini husika ndani ya Mafundisho husika.

    Mafundisho ya Dini yenye uwalakini. Kuna Mafundisho ya Dini yamekua na mapungufu. Muislam hufundishwa na kuelimishwa kupitia Quran, Imani ili ijitetee yenyewe hauhitaji kufundisha mapungufu ya Ukristo (Ku ingilia Mafundisho ya Ukristo na misingi ya Iman yake) nikuonesha Imani husika inayo...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Prof. Safari: Kwenye usafiri wa umma, wazungu husoma vitabu na magazeti, watanzania wanatafuna mahindi ya kuchoma na mayai ya kuchemsha

    Nimefuatilia interview ya Prof. Safari aliyofanya majuzi, pamoja na mengine, nimeondoka na nukuu hiyo kwamba watanzania hawana utamaduni wa kusoma, kwe ye usafiri wa umma wanashindana kula. Hii ni kweli kabisa, ni kama tuna mzimu wenye njaa ya kula, basi likisimama ni mbio madirishani au...
  3. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Niuanze uandishi wa vitabu lini?

    Perfectionism na kuwa "media shy" ni miongoni mwa vizuizi ambavyo ningali ninakabiliana nazo. Naelezea: PERFECTIONISM Najiona bado sijakidhi vigezo vya kiunadishi. Japo lengo langu kuu si kujipatia fedha bali kuufikisha ujumbe kwa hadhira lengwa, sipendi kufanya jambo ambalo sijashawishika...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Ni vitabu gani vizuri vya elimu ya matatizo yetu Afrika vilivyoandikwa na waafrika

    Naombeni kujuzwa vitabu vinavyodiscuss matatizo yetu, chanzo, madhara, proposed solutions, n.k. Please sihitaji vitabu vilivyoandikwa kichawa chawa kusifia viongozi ambao tunawajua nyuma ya pazia waliminya haki. sijitaji vitabu vya mtu kaandika tu ajulikane nae ana kitabu, sipend vitabu vya...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa Nishani za Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuzindua Kitabu cha Miaka 60 ya Historia ya Ofisi ya Makamu wa Rais

    Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa Nishani za Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuzindua Kitabu cha Miaka 60 ya Historia ya Ofisi ya Makamu wa Rais katika Viwanja vya Ikulu - Chamwino Dodoma tarehe 24 Aprili 2024...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini vitabu vya historia vinadanganya waarabu walichukua watumwa wa kiafrika, mbona hakuna Waafrika waliobaki nchi za kiarabu kama Marekani?

    Sioni hoja yenye nguvu kuthibitisha hili maana nao watumwa walikuwa watu wenye viungo vya uzazi vya kuendeleza vizazi vya waafrika. Hata waafrika wengi unaowakuta nchi za kiarabu ni wale waliohamia kikazi, biashara, n.k. na wengine wana wajukuu tayari. Mfano Marekani, Brazil, n.k. tunaona...
  7. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya dini vinamuonaje/vinatoaje taswira ya Mungu?

    Maandiko ya dini yanaamini kuwa binadamu wa kwanza ni adamu hii inakubaliwa katika pande zote za imani ya kiislamu na ukristo. Kwenye maandiko ya Bibilia yanasema kuwa mungu amekuumba kwa mfano wake na hata ukiangalia mwanzo wa ulimwengu aliummbwa adamu hivyo kwa nadharia hii wengi wa waandishi...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa kudownload mitandaoni naombeni mnisaidie pdf za vitabu hivi

    Edit: Nimshukuru thesym kwa kuweza kushare nasi link muhimu yenye vitabu kibao, nimeweza kupata vitabu nilivyohitaji nawe waweza kujaribu. link ya vitabu
  9. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Yanga waningia kwenye vitabu vya guiness record

    Yanga imeweka record mpya kwenye vitabu vya kumbu kumbu ndio timu pekee duniani iliyoshinda ndani ya dk 90 then ikatolewa kwenye matuta jumatatu nafikiri washabiki wote wa yanga watakua ofisi za caf halafu watakwenda fifa kuulizia sheria ilikaaje hapo hivi sasa wapo kwenye kikao na waziri FA ili...
  10. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kusoma vitabu kunaweza kubadilisha maisha ya mtu? una ushahidi wowote?

    Wakuu habari, Kwanini watu waliowahi kufanya makubwa hawakufanikisha hayo kupitia kusoma vitabu. Unakuta mtu anasoma kitabu cha How to influence people lakini hadi anakimaliza hana influence yoyote. Mtu anaandika kitabu cha how to get rich fast afu pesa ya kuchapisha hicho kitabu amekopa...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Makatibu Kata Mkoa wa Simiyu Wakabidhiwa Vitabu vya Kanuni za CCM

    Simiyu: Makatibu Kata Mkoa wa Simiyu Wakabidhiwa Vitabu vya Kanuni za CCM MJUMBE wa Mkutano Mkuu Taifa (MNEC), kutoka Mkoa wa Simiyu, Gungu Silanga amekabidhi vitabu vya kanuni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Makatibu Kata wa mkoa huo ili waendelee kusimamia Utekelezaji wa Ilani ya chama...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Tatizo la madereva siyo pasipoti bali gharama kubwa za vibali Zambia wanapotumia pasipoti za vitabu.

    Nimeona Makonda akisema madereva wapatiwe pasipoti kwa gharama za Mhe. Rais nikashtuka sana kwamba nchi ina viongoz wasiojua tatizo la watu wake Nchi ya Zambia ukiingia kama dereva kwa kutumia pasipoti kubwa ya Tanzania unalipishwa zaidi ya milioni moja kama gharama za vibali. Hii kero hata...
  13. Raphael Kalolo

    JamiiForums Tanzania Nina uhitaji wa soft copies vitabu vifuatavyo

    1. Personal MBA - Josh Kaufman 2. $100 start up - Chris Guillebeau Natanguliza shukrani
  14. Troubleshooter

    JamiiForums Tanzania Tunachapa vitabu, mabango, brochures kwa bei nafuu

    Habari GStar publishers ni kampuni inayojihusisha na uchapaji wa vitabu, mabango, brochures na business cards kwa bei nafuu. Tunapatikana Kariakoo mtaa wa Jangwani au tupigie kwa simu. 0719682352. Unapata kazi kwa uharaka na kwaubora wa hali ya juu, vitabu tunaprinti kuanzia kopi 10 na...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Kiingereza kimetuaibisha tena, Mzungu kugawa vitabu kwa watoto na kuzushiwa vitabu havifai bila kuelewa kilichoandikwa ni fedheha na aibu kwa taifa

    UZI UMEFUNGWA >> Kuna ushahidi usio na shaka kwamba ni kweli vitabu vinahusu mmonyoko wa maadili
  16. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Mzungu akamatwa kwa kugawa vitabu vya ushoga kwa watoto

    Hii ni video inayosambaa mitandaoni inayoonyesha Mwanamke mmoja wa kizungu akiwa amekamatwa na Wananchi kwa shutuma za kusambaza vitabu vyenye kueneza tabia ya Ushoga kwa watoto. ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako? Written by Mjanja M1
  17. Benson GS

    JamiiForums Tanzania Soko la vitabu mtandaoni likoje?

    Nimeandika kitabu cha hisabati Kwa shule zinazotumia lugha ya kingereza, lakini changamoto ni Soko. Naomba mwenye uzoefu wa kufanya na kutangaza biashara mtandaoni anipé uzoefu au namna bora ya kufanya biashara ya academic books. Nipo Arusha.
  18. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Nimeshawahi kulogwa ila kuna vitabu nikisoma najihisi kuwa sijarogwa ila ni akili pandikizi, waswahili wenzangu mnasemaje?

    366 meditation on wisdom- stoicism, law of universal n.k nimejaribu kusoma baadhi ya vitabu lengo ni kuongeza maarifa zaidi kwenye nature law na kujua kwa undani kuhusu akili inafanyaje kazi na vipi naweza kuisaidia jamii yangu kupitia elimu yangu ila by then I was dumb na haswa kuhusu mambo ya...
  19. Trainee

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za kwenye vitabu vya siku hizi mbona hatujui zinaimbwaje

    Nimejaribu kufuatilia nimegundua pamoja na maendeleo makubwa ya sasa na njia za mawasiliano kuboreshwa, bado kuna kitu watu wa elimu wameyumba sana. Zamani vitabu viliandikwa vinyimbo nyimbo na takribani kila sehemu uliyokwenda ungekuta watu wanajua toni ya wimbo husika lakini siku hizi...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Askofu Malasusa: Suala la ndoa za jinsia moja tuachieni sisi, vitabu vinasema ndoa ni ya mume na mke full stop!

    Katika sherehe za kukabidhiwa kazi leo, Askofu Malasusa amesema; "Kumekuwa na majadiliano mengi kuhusu suala la ndoa za jinsia moja na kwamba jambo la ndoa za jinsia moja tuachieni viongozi wa dini kwasababu ni letu, sisi tunajua vitabu vimesema ndoa ni mume na mke full stop. Tunahitaji...
Back
Top Bottom