Economics books special thread: vitabu, majarida, uchambuzi

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,028
12,352
Huu ni uzi maalumu kwa yoyote yule mwenye kitabu, jarida, chapisho n.k linalohusu uchumi katika mfumo wa soft copy anaweza kutupia hapa ili kila mtu ajifunze mambo mbalimbali kuhusu uchumi.

Iwe ni kitaifa au kimataifa hakuna limit ya nchi au eneo lolote.

Nawakaribisha wote.
 
Huu ni uzi maalumu kwa yoyote yule mwenye kitabu, jarida, chapisho n.k linalo husu uchumi katika mfumo...
Kwa level gani? Unajua economics imegawanyika katika makundi mawili MACRO AND MICRO ECONOMICS Analysis, Ranging from introduction to Economics, to intermediate Economics, Econometrics, which books are you trying to suggest?
For secondary School level?

For first degree level.

Masters and PhD level?

Given the fact that, it is a science, economics subject matter,, is wide! Be specific about what you need!!?
 
Kwa level gani? Unajua economics imegawanyika katika makundi mawili MACRO AND MICRO ECONOMICS Analysis, Ranging from introduction to Economics...
Wewe weka level yoyote ile wewe unaona watu wanapaswa kujifunza.

Huu uzi sio special kwa ajili yangu bali kwa wote wanao penda kujifunza.
 
Huu ni uzi maalumu kwa yoyote yule mwenye kitabu, jarida, chapisho n.k linalo husu uchumi katika mfumo wa soft copy anaweza kutupia hapa ili kila mtu ajifunze mambo mbalimbali kuhusu uchumi.

Iwe ni kitaifa au kimataifa hakuna limit ya nchi au eneo lolote.

Nawakaribisha wote.
Ungeanza wewe mleta mada kwa kuleta machapisho/vitabu kadhaa
 
Hakuna kitabu Cha economics kilichoandikwa kwa kiswahili. Ila huu Uzi uko kwa kiswahili. Shangaa
 
Back
Top Bottom