thatHUMBLEguy
JF-Expert Member
- Nov 25, 2023
- 223
- 522
Binafsi napenda sana kujisomea. But, bado sijawahi elewa kwanini wasomaji wenzangu wana huu utamaduni wa kuset malengo ya kusoma Idadi fulani ya vitabu kwa mwaka. I find the whole idea as flawed sababu unaufanya usomaji kuwa racing and not grasping the knowledge!
Mfano, ukiweka malengo ya kusoma vitabu 50, maana yake ni vitabu vi4 kwa mwezi. Kila wiki kitabu kimoja. Hii itakufanya usome kwa speed ili tu ufikie malengo yako. I'm sure knowledge-wise, hutakua unafanya chochote. Mfano, mwaka juzi, nilisoma kitabu cha Atomic Habit. Nilikirudia mara tatu, kwa takribani mwezi mzima I was just reading the same book. Sababu ya ideas ambazo nilikuwa nazipata na kuzifanyia reflections.
Kuweka malengo ya idadi ya vitabu vya kusoma, mantiki hasa nini?