vitabu

  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Tarehe 30 mwezi wa 9 kila mwaka ni siku ya utafsiri duniani. Hivi hapa ni vitabu kumi vilivyotafsiriwa zaidi duniani na nchi kumi zinazotafsiri zaidi

    Siku hii ilianzishwa kumuenzi St. Jerome. Huyu alikuwa mtu wa mwanzo mwanzo kutafsiri biblia. Tarehe 30/9 ni siku yake ya kufa. Utafsiri umechangia sana katika kusambaza maarifa duniani. Hata vitabu maarufu na vilivyopendwa na wengi Tanzania kama Alfu Lela Ulela, Hekaya za Abunuwasi, Mashimo ya...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bosi mpya TANESCO Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga asema: Tunatarajia changamoto ya upungufu wa umeme imalizike Machi 2024

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga ametambulishwa mbele ya waandishi wa Habari leo Septemba 27, 2023 na kuelezea kuhusu mipango ya shirika hilo na kugusia kuhusu changamoto ya umeme. Kuhusu changamoto ya umeme Nchini, amesema “Tunatarajia...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jasusi anayejinasibu kuwa shushushu mbobebezi, alishindwaje kujua ukweli wa Sifika Daniely

    Yericko Nyerere, aliandika huko Facebook Mh Waziri wa Elimu Prof Adolf Mkenda okoa mstakabali wa maisha ya binti huyu. "Kaka Yericko pole na Majukumu, Naomba kaka nisaidie, mtoto huyu kwenye picha anaitwa SIFIKA DANIELY RUBEN, naomba apate Haki zake, Ipo hivi kaka, Nilikuwa natafuta binti wa...
  4. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Kuvunja undugu na ndugu zako wa damu wanaokutakia mabaya ni kosa?

    Wasalam ndugu zangu wana JamiiForums, ni mara nyingine naleta kwenu mada nyingine. Vitabu vya dini vimekuwa vikituhusia sana tusivunje undugu kwa matatizo au changamoto za hapa na pale zinazotokea aidha kwenye jamii zetu au familia zetu, lakini kumekuwa na sababu nyingi zinazopelekea ndugu...
  5. My Honest Book

    JamiiForums Tanzania Nifute kwenye kitabu cha kuzimu, niandike kwenye kitabu cha uzima" Hivi vitabu vikoje na uhalisia wake?

    Mimi ni mkatoliki japo mara ya mwisho kwenda kanisani ni almost two years ago,haimaanishi nimepoteza imani la hasha niko vzuri, Japo sio mzuri sana wa vifungu vya biblia km tulivyo wakatoliki wengi. Kwa kumbukumbu zangu zilizosahihi enzi za ukuaji wangu enzi hizo niko primary mpk mitaa ya form...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Hii Dharau kwa Vitabu vya Dini (Biblia/Msahafu) na Katiba, haitatufikisha mbali

    Habari wana jamvi wa JF, Sisi kama binadamu, tumeumbwa kufuata miongozo. Miongozo hiyo imo katika vitabu vitakatifu kama vile Biblia na Msahafu kwa upande wa dini na Katiba kwa upande wa kisiasa. Bila miongozo hii, tusingekuwa hapa tulipo na dunia pasingekuwa mahali salama pa kuishi. Hivyo...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sheria na Katiba ya nchi sidhani kama inatambua kuna vitabu vitakatifu. Utakatifu wa vitabu unapimwa na nini?

    Kwema Wakuu! Nimeona tujadili Jambo hapa kuhusu baadhi ya kauli za Watu hasa viongozi wa kisiasa wanaposema vitabu vitakatifu, sijajua wanazungumzia vitabu vipi. Na hivyo vitabu vinavyozungumziwa je kisheria au Katiba ya nchi yetu inatambua kuna vitabu vitakatifu? Nini vigezo vya kitabu...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kweli vitabu vya dini havituruhusu tutukane viongozi wetu; je, vinaruhusu viongozi watuibie na wawe mafisadi wa kutupwa?

    "Kama Vitabu vyetu vya Dini Quran na Biblia vinatufundisha kuwa na Maadili, kuheshimiana, kuvumiliana, Kusameheana na Kutotukanana iweje Wewe Mwanadamu uende navyo Kinyume kwasababu tu ya Maslahi yako ya Siasa?" amesema Rais Mmoja wa duniani ambaye kwa sasa GENTAMYCINE nimemsahau Jina ila najua...
  9. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Naomba vitabu Kama "Rich dady poor dady " vifundishwe mashuleni ili Kupata wasomi smart .

    Ili kuiokoa Elimu yetu vitabu vinavyomjenga Mtu Kama kitabu Cha 50 cent hustler harder hustler smater vifundishwe mashuleni kwa ngazi zote Bila kusahu kitabu Cha Ricu "dady poor dady"
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda, Uongozi wa Bodi ya Huduma za Maktaba msifanye Ujenzi tu, badala yake Mjikite katika ununuzi vitabu

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameutaka uongozi wa Bodi ya Huduma za Maktaba kutoendelea na ujenzi wa majengo na badala yake wajikite katika ununuzi vitabu mbalimbali vya maktaba. Prof. Mkenda ametoa agizo hilo Julai 28, 2023 Jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na...
  11. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Soma vitabu au novels, download vitabu au novels kwenye website hii

    https://www.you-books.com/ Sample novel: TRUE COLOURS https://www.you-books.com/bookepub/D-Palmer/True-colors/truecolors_fm01.html https://www.you-books.com/bookepub/D-Palmer/True-colors/truecolors_ch01.html CHAPTER ONE MEREDITH STOOD by thewindow watching the rain beat down on Chicago...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Je, hawa waandishi wa hivi vitabu vinavyohusu mazuri ya Hayati Magufuli wote wanatumiwa na wafuasi wake?

    Habari jf ,tuweke hisia pembeni. Je, wanatumika au shujaa anastahili sifa zake?
  13. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Watu walionufaishwa na Usomaji wa Vitabu

    Msomaji wa Vitabu anafahamu jinsi Vitabu vilivyo na umuhimu mkubwa sana katika maisha ya kila siku. Vilikuwa muhimu tokea zamani, lakini katika zama hizi, umuhimu umeongezeka mara nyingi sana. Pamoja na umuhimu huo, kungali kuna idadi kubwa ya Waafrika, Watanzania wakiwemo, ambao hawaupi vitabu...
  14. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Asikudanganye mtu, vitabu ni chakula muhimu sana cha akili

    Sijasoma vitabu vingi sana, lakini alau nimevisoma soma kidogo. Katika kipindi cha miaka kumi iliyopita, nimeweza kusoma Vitabu vichache, vikubwa kwa vidogo, vinavyozidi mia nne. Nimeiona faida yake. Kuna faida sana. Ni CHAKULA muhimu sana cha akili, hakika!. Mara tu baada ya kuianza hiyo...
  15. Gudasta

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa kuanzisha biashara ya vitabu kwa Taasisi za elimu ya juu

    Wana jf naomba muongozo na ushauri wa kuanzisha biashara ya vitabu, vitabu hivi ni vile vya masomo vinavyotumiwa na vyuo vikuu na taasisi nyingine za elimu ya juu, naomba ushauri kwenye: Mtaji Jinsi ya kuagiza kutoka publishers mbalimbali. Vibali husika vya biashara Kodi za bandarini na tra kwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania UZI MAALUMU: Kwa ajili ya ku-share Vitabu vya kilimo na ufugaji

    Habari zenu, Uchumi wa nchi yetu unategemea sana sekta ya kilimo na ufugaji hivyo nimeona sio vibaya kama tukisaidiana kuweka softcopy za vitabu mbalimbali vya kilimo na ufugaji ili kusaidia kupanua maarifa na ujuzi katika sekta hizi. Vitabu hivyo viwe katika mfumo wa (softcopy) yaani PDF...
  17. Wakwetu03

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa napoweza kupata vitabu vya social work na community development

    Naomba kujua sehemu/maduka yanayouza vitabu vya SOCIAL WORK na COMMUNITY DEVELOPMENT kwa hapa Dar es salaam
  18. dosho12

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwepo wa Vitabu na Makala kwa Lugha ya Kiswahili na Ongezeko la Maktaba Katika Kukuza Maendeleo

    UWEPO WA VITABU NA MAKALA KWA LUGHA YA KISWAHILI NA ONGEZEKO LA MAKTABA KATIKA KUKUZA MAENDELEO Elimu ni ufunguo wa maisha ni kauli ambayo wote tumezoea kuisikia, ila unajua asilimia kubwa ya elimu inapatikana kwenye vitabu. Vitabu hubeba historia na mitazamo mbali mbali ya watu ulimwenguni...
  19. Lidafo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye vitabu vitakavyosaidia kutanua uelewa wa vita, ujasusi na maswala yanayohusu intelijensia.

    Habari wana jamii forum! Kama title inayojieleza hapo juu, Mwenye vitabu vitakavyosaidia kutanua uelewa wa masuala ya mbinu za vita, ujasusi pamoja na masuala ya intelijensia atupie humu tafadhali. Ninataka kufanya research & analysing ya hayo maswala sasa kabla sijaanza nahitaji kutanua uelewa...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Naomba Orodha ya Vitabu vyote vya Willy Gamba.

    Heshima kwenu. Naomba kwa anayejua orodha yote ya riwaya za kipelelezi za Willy Gamba katika mtiririko wake kuanzia cha kwanza mpaka cha mwisho anitajie. Nataka nianze kusoma ningependa kuanzia mwanzo. Asanteni.
Back
Top Bottom