orodha ya vitabu nilivosoma 2023

Nanyaro Ephata

JF-Expert Member
Jan 22, 2011
1,221
1,788
Nimekuwa nina desturi ya kushirikisha orodha ya vitabu ninavyosoma kila mwaka. Desturi hii inaonesha juhudi za kushirikisha maarifa, ukuaji wa kiakili, na kuhamasisha utamaduni wa kusoma ndani ya jamii. Kila mwaka, nikusanya mkusanyiko tofauti wa vitabu vinavyojumuisha mada mbalimbali, ikiwa ni pamoja na maendeleo binafsi, biashara, saikolojia, upelelezi, uongozi, historia, na zaidi.

Orodha ya Mwaka huu 2023 nimesoma Jumla ya vitabu 34 ikiwa ni pungufu ya vitabu 26 ya mwaka 2022

Orodha ya vitabu kila mwaka, huchangia katika kujenga utajiri wa maarifa ndani ya jamii , huchochea hamu ya kufikiria masuala mapya, na huwapa wengine motisha ya kujihusisha na mawazo na mitazamo mbalimbali inayopatikana katika kurasa za vitabu hivyo. Kwa ujumla, desturi hii inaonesha jitihada za kushiriki furaha ya kusoma na dhamira ya kujifunza maisha yote.


1. Unplugged by Jacob Aliet

2. The Charisma Myth.How anyone can master the art and science of personal magnetism by Olivia Cabane

3. The Psychology of Selling by Brian Tracy

4. The Psychology of Money by Morgan Housel

5. How to hug a Porcupine by Sean Smith

6. How we make it in Africa by Jack Maritz

7. Excellence wins by Horst Schulze

8. The Intelligence trap by David Robson

9. Inside the Mind of a master procrastinator by Tim Urban

10. 16 Undeniable laws of communication by John Maxwell

11. Sell or be Sold by Grant Cardnone

12. The Paradox of Success by John O’Neil

13. The Hard thing about Hard thing.Builiding a business when there are no easy ansers by Ben Horowitz

14. Battlefield of the mind by Joyce Meyer

15. The power of Discipline by Daniel Walter

16. Beyond Entrepreneurship by Jim Collins

17. Models by Mark Manson

18. The Life and times of Abdulwahid Sykes by Mohamed Said

19. Killer Spy by Peter Maas

20. Tiger Trap by David Wise

21. The Spy and Traitor by Ben Macintyre

22. Oil, power and War by Matthieu Auzanneau

23. Pipelines flowing Oil and crude politics by Rafael Kandiyoti

24. The Prize The epic quest for oil,money and power by Daniel Yergin

25. The world for sale, money, power and the trader who barter the earths resources by Javier Blas and Jack Farchy

26. The Idolatry of God by Peter Rollins

27. Zonal Marking from Ajax to Zidane by Michael Cox

28. Encyclopedia of Espionage, Intelligence and Security by K. Lerner and Brenda Willmoth

29. How to think like Roman Emperor by Donald Robertson

30. Do not Disturb the story of a political murder and and an African regime gone

31. From Desert to the City the innovative leadership of Sheikh Mohamed Maktoum by Saeed Al Mansoori

32. Muhanga wa Msumbiji by Japhet Nyangoro

33. Badiliko la mtazamo by Emanuel Akyoo

34. Zanzibar Kitendawili cha Historia by Abdul Sheriff
 
Nzuri sana mkuu. Ungalikua muislam ningalikuuliza hivi mas hafu umeisoma mara ngapi?
 
Haijalishi umesoma vitabu vingapi. Kama huyaishi unayoyasoma bora huo muda ungepiga nyeto tu.

Kuna dogo mmoja blogger amelist almost 90 books lkn siku moja alikuja ofisini kwangu nikaona bado ana akili za mtaani tu haendani na anachosema amesoma.
 
Haijalishi umesoma vitabu vingapi. Kama huyaishi unayoyasoma bora huo muda ungepiga nyeto tu.

Kuna dogo mmoja blogger amelist almost 90 books lkn siku moja alikuja ofisini kwangu nikaona bado ana akili za mtaani tu haendani na anachosema amesoma.
Sasa piga picha angekuwa hajisomei!
 
Umesoma vitabu vingi, lakini mada unazotoa hapa JF hazioani na hivyo vitabu. Hatuvioni vitabu vikiishi na wewe kichwani.
 
Haijalishi umesoma vitabu gani na vingapi kama hauna NIDHAMU, UTHUBUTU, UTAYARI na UJASIRI ni bure tu.
 
Back
Top Bottom