Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.
Pamoja na kuondolewa kwa vikosi vya kigeni nchini Afghanistan na taifa hilo kuchukuliwa na Taliban,
tunaangalia ni kiasi gani Marekani na washirika wake wa Nato wametumia katika nchi hiyo kwa miaka 20 ya operesheni za kijeshi.
Vikosi gani vilitumwa?
Marekani ilivamia mnamo Oktoba 2001...
Hivi karibuni Waziri Mkuu wa Ethiopia amewaomba wananchi waungane na wale wenye uwezo wajiunge na majeshi ya Ethiopia ili kupambana na waasi wa TPLF.
Hii imetokea baada ya kuonekana kuzidiwa kwa jeshi la Ethiopia kwenye mapambano dhidi ya wahasimu wao wa TPLF. Vita hii mwanzoni ilionekaba...
Leo kuna tukio nimeshuhudia ndani ya daladala asubuhi, tukio ambalo limenipa tafakari ya kujiuliza kweli hii vita dhidi ya COVID-19 tutaishinda kweli; tuko makini sisi kama wananchi na mamlaka kwa ujumla.
Ni hivi daladala limejaa, abiria Wameshona lakini makonda bado wanataka lipakie abiria...
Tukiachana na unafiki, hakika nikiri kusema Serikali ya Rais Samia ni imara na madhubuti kwenye kusimamia amani na usalama wa nchi yetu.
Jukumu la Rais kama amri jeshi mkuu ni kuhakikisha usalama na amani vinalindwa kwa nguvu zote na yeyote anayeonesha viashiria vyovyote vya kuvunja amani...
Unajua wakati mwingine wanadamu tunaangamia kwa kukosa maarifa tena sometimes kwa kukosa maarifa madogo tu.
Mfano halisi wa hiki ninachosema ni sisi wanadamu kutumia nguvu kubwa kuhimiza watu kunawa mikono/kutakasa mikono katika kudhibiti maambukizi ya corona na kutumia nguvu kidogo kuhimiza...
Mkutano wa uchumi na biashara kati ya Marekani na Afrika ulimalizika hivi karibuni. Wachambuzi wanasema kuwa serikali ya awamu mpya ya Marekani inayoongozwa na rais Joe Biden inatarajia kutumia fursa ya mkutano huo kudhoofisha ushawishi wa China barani Afrika. Hii ina maana kuwa Marekani...
Wana bodi,
Mengi yamejadiliwa kuhusu kukamatwa kwa kiongozi wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mashtaka ya ugaidi yanayo mkabili.
Je, uanaharakati tunaoushuhudia haswa kutoka kwa wapinzani unaweza kudumu kwa muda mrefu na kuleta mabadiliko ya aina yoyote?
Mchakato wa kupata katiba mpya miaka...
Juzi nilikutana na mbio za Mwenge pale Mkata, watu wamekusanyika balaa na msafara umezuia magari yasiende.
Jamani mbona hatuko serious na afya za watu wenyewe? Dunia itatuelewaje sisi jamani?
Kwani kwenye Mwenge kuna nini kiasi hiki?
afya
corona
covid
covid 19
gwajima
kipindi
kuepuka
kusambaza
mbio
mbio za mwenge
mikusanyiko
mwenge
mwenge wa uhuru
serikali
vita
waziri
waziri wa afya
Tangazo la tamthilia ya Sultan toka Uturuki
MWAKA 2010 nilifanya mawasiliano na kampuni ya Sony Pictures yenye makao yake Los Angeles (Culver City) nchini Marekani. Sony Pictures ni kampuni kubwa ya burudani huko Hollywood iliyoanzishwa Agosti 7, 1991 baada ya kujitenga kutoka kampuni ya...
Luteni wa jeshi la Uganda (UPDF) alivyo ziingiza vitani Tanzania na Uganda.
#Sehemu #ya - 1
Kuanzia leo nitawaletea makala mfululizo zinazohusu Vita ya Kagera kati ya Tanzania na Uganda iliyodumu kwa miezi sita kati ya mwaka 1978 hadi 1979.
Vita hiyo ilianzia mkoa wa Kagera unaopatikana...
vita vya pili vya dunia viliua watu milioni 60 na mpaka leo madhara yake bado yanaendelea kuonekana
Anaitwa Yang Kyoungjong amepigana vita vya pili vya dunia akiwa na uniform za mataifa za mataifa manne tofauti
In June 1944, a young soldier surrendered to American paratroopers in the Allied...
"Kengele inalia, ikimwita arudi nyumbani, kama ni kusikitika na maisha yake. Kitu ngozi nyeusi inachomletea ni pambano la kujitolea kwa watu wa rangi zote.” Miaka 31 iliyopita, aliyeguswa na hadithi ya Nelson Mandela, Wong Ka Kui, mwimbaji mkuu wa bendi ya BEYOND kutoka Hong Kong, China...
Uliwengu umekuwa na muda mrefu wa utulivu isipokuwa mizozo ya vita katika mataifa machache vilivyohusisha nchi katika mabara tofauti miaka ya hapo nyuma.
Tangu kukamilika kwa vita vya pili vya dunia mwaka wa 1945 hapajawahi kuwa na vita vikubwa vilivyohusisha nchi nyingi kote duniani kuweza...
Hatimaye serikali ya awamu ya sita ilitangaza rasmi uwepo wa ugonjwa hatari wa Corona hapa nchini. Hii ikienda sambamba na kutolewa kwa maelekezo thabiti ya hatua gani za kuchukuliwa tunaposubiria kuwasili kwa chanjo.
Hatua hii ni njema kabisa ya kupongezwa na kila mzalendo na hasa kila...
Katika siku 100 kwanza za Rais SSH alipata uungwaji mkono mkubwa kutoka makundi mengi kwa muda mfupi. Ilikuwa kama nchi ndo imetoka kupata uhuru kutoka kwa mkoloni. Kumkosoa katika jambo lolote lilikuwa kosa kubwa sana maana ungepewa majina kama Mataga, Sukua gang nk. Ilionekana kama alipata...
Viongozi TPLF katika jimbo la Tigray wamepuuza tangazo la kusitisha vita lililotolewa na serikali kuu mjini Addis Ababa jana, na wameapa kuendeleza mapambano hadi pale watakawafurusha kikamilifu wanajeshi wa Ethiopia.
Wanajeshi wa Ethiopia wakipiga doria katika mji wa Mekele (07.03.2021)...
Mhariri Mwananchi anaandika 'Diamond aangukia utosi huko Marekani'
Unafikiri ungekuwa muhariri leo ungekuja na kichwa gani cha habari kwenye gazeti lako?
Mabibi na mabwana kumekuwa na vita vikali vya mitandaoni.
CCM, Chadema, Corona, Legacy, tuzo za BET nk.
Kwa hakika imekuwa ni patashika nguo kuchanika. Hata hivyo pana haja ya kufanyika tathmini za msingi.
Kuna uwezekano mkubwa kuwa waungwana, letu sote ni moja. Yawezekana ni kwa sababu ya...
Sina mda na salamu.
Kiza kimetanda, wananchi wanahaha mitaani, hawajui watakula nini kesho.
Mama anaamka, huku amelala na njaa ya siku mbili. Maziwa ya mtoto yamekata. Anajikokota kutafuta unga apike uji wa mwanae wa miezi 7.
Ikiwa takribani wiki mbili tangu rais Museveni atangaze lockdown...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.