Bidhaa za Tanzania huwa zinapigwa vita sana Kenya

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
2,638
2,000
Industries goods za Tanzania huwa hazipati nafasi Kenya na huwa zinapigwa vita mbaya mno, tofauti na Tanzania ambako zimejaa bidhaa za Viwandani kutoka Kenya.

Nakumbuka bia za TBL zilipigwa vita sana Kenya, ilihali huku Tuska na Prisner zinazwa na hakuna aye zipiga vita.

Wakenya kutoka Tanzania wanataka raw Material na si kingine kile, wanataka raw materia za kwenda kuprocess bidhaa zao na kuuza nje au kwa nchi jirana kama South Sudan.

Hawa jamaa sio wa kuwachekea kabisa na hapa do tunaweza sana kumkumbuka sana mwenda zake
 
Godo

JF-Expert Member
Apr 11, 2017
229
500
Tizalishe kwa wingi hizo malighafi maana soko lipo na mipaka iwe wazi katika suala zima la kibiashara naimani Mh. Raisi analifanyia kazi,ku export bidhaa kunalipa kuliko kuangaika na bidhaa ndani ambazo zimejazana na wateja hakuna na tuanze na mahindi ambayo tunalima kwa kiwango kikubwa sana na wenzetu wanahitaji.
 
Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
5,361

Jiwe alikuwa na Sera mbovu tuu , sometyme unafanya unachoweza Kwa kiwango cha juu, Tanzania haiwez kushindana na Kenya in term of industry right now, wakata tunajipanga kwenda kwenye viwanda basi tujikite pale tunapoweza upande wa malighafi, watu wameivisha mpunga na mahindi, soko lipo nje unawazuia wasiuze kisa nchi yako itapata njaa, mkulima anabak Tu na Hali ya umaskini mana soko la ndani hamna, mahindi yanakarbia kuharibika ndo unaruhusu yauzwe nje, wenzako wanayazuia wewe unakimbilia vita ya uchumi ...haya masuala ya ujamaa yatatufanya tufe maskini tu. Kila mmoja ale Kwa urefu wa kamba yake
 
Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
13,491
2,000
Industries goods za Tanzania huwa hazipati nafasi Kenya na huwa zinapigwa vita mbaya mno, tofauti na Tanzania ambako zimejaa bidhaa za Viwandani kutoka Kenya.

Nakumbuka bia za TBL zilipigwa vita sana Kenya, ilihali huku Tuska na Prisner zinazwa na hakuna aye zipiga vita.

Wakenya kutoka Tanzania wanataka raw Material na si kingine kile, wanataka raw materia za kwenda kuprocess bidhaa zao na kuuza nje au kwa nchi jirana kama South Sudan.

Hawa jamaa sio wa kuwachekea kabisa na hapa do tunaweza sana kumkumbuka sana mwenda zake
kwann na sisi tusifanye kama wao. only raw material? si tuna viwanda bwana?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom