Kwanini Trump alipokuwa madarakani kulikuwa hamna vita na violence?

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,067
2,000
Yaani dunia ilikuwa shwari mpaka Trump mwenyewe akawa ndio gumzo. Establishment wamerudi madarakani vita vishaanza. Wakimuuliza Biden Netanyahu vipi anajibu Sisi tunateta Israel. I meant madarakani
 

Science Priest

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
2,068
2,000
Yaani dunia ilikuwa shwari mpaka Trump mwenyewe akawa ndio gumzo .Establishment wamerudi madarakani vita vishaanza .Wakimuuliza Biden Netanyahu vipi anajibu Sisi tunateta Israel .I meant madarakani
Kwani vita vya Israel na Palestine vimeanza 2021 acha uzwazwa
 
  • Love
Reactions: BAK

Sang'udi

JF-Expert Member
May 16, 2016
2,991
2,000
Vita vinastawisha biashara ya silaha na teknolojia... Then sehemu ya hayo mapato wanapewa funds za career zao za kisiasa.
 

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
9,915
2,000
Alikuwa akiwapa Wsisrael kila wanachokitaka, including Mji wa Jerusaem, kufunga ubalozi wa Palestine Marekani, Kuhamishia ubalozi wa Marekani Jerusalem, Aliwapa Waisrael Golan heights. Kwa hiyo strategically Waisrsel waliona wasimsumbue Trump maana anacheza mlemle kwenye plan zao
 

hukumundo

JF-Expert Member
Oct 8, 2011
845
500
Si kweli kwamba hapakuwa na vita au umesahau
1. Syria
2. Uturuki ilivyoshambulia Syria
3. Marekani ilivyowatungua Waajemi
Ushabiki !!!!
 

Come27

JF-Expert Member
Dec 1, 2012
5,995
2,000
Si kweli kwamba hapakuwa na vita au umesahau
1. Syria
2. Uturuki ilivyoshambulia Syria
3. Marekani ilivyowatungua Waajemi
Ushabiki !!!!
Umesahau Baba ake Zainabu Suleiman alivyouwawa na drones za USA kule Iraq
Mzeee General Qasiem Suleiman
 

Tango73

JF-Expert Member
Dec 14, 2008
1,753
2,000
Mtanzania mmmatumbi kumshabikia Trump..

Hai make sense kabisa
TRUMP kachukua dunia sasa wewe ulitaka amshabikie nani?china? mbona wewe ulimtukuza sana osama na kulia alipokufa,hiyo siyo haibu kwa mmatumbi
 

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
117,339
2,000
Kwa lipi? Kudharau watu weusi na wahamiaji? Kuunga mkono uminywaji wa haki za wapiga kura ili kurahisisha ushindi kwa GOP? Kudharau authorities? Kusema uongo kwamba alishinda uchaguzi wakati kesi 60 alizofungua kupinga matokeo zote ziligonga ukuta?
Mimi namkubali sana Trump mkuu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom