Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,871
- 6,477
Wasalaam,
Juzi nlikuwa napitia mambo kadhaa wa kadhaa juu ya Mfungo wa Ramadhan kwenye mitandao na haswa masahibu wanayopata watu mbalimbali juu Mfungo na Mlipuko huu wa magonjwa(COVID).
Kwakuwa nlikuwa nimebase kwenye, Islamic informations ikaja notification moja nikapitia kwa Uchache. Kwamba Huruhusiwi kuingia Maka katika msimu wa Hijja hadi uwe Vaccinated, from COVID hapa nikapata mgutuko kidogo.
Nikaanza kusoma mengine mengi mengi Ambayo tutakumbana nayo (hapa namaanisha watu wote na sio Islamic), vizuizi na masahibu tele endapo hauta Accept Vaccine.
Naona Vita wanayotaka kutupiga nayo ni rahisi mno kwao mchezo mdogo, si yale mabunduki na Manuclear kama ya Hiroshima na Nagasaki.
..RAMADAN KAREEM