Kwanini tanzania iligharamikia uganda baada ya vita vya kagera?

stakehigh

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
4,406
2,000
1620486657981.png


- Kutoka wikipedia inasemekana tanzania ilibidi kugharamikia uganda baada ya vita, ikiwa ni sharti kutoka OAU, japokua walikua wanajua yote tunayofanyiwa ila walitoa sharti ilo, kwa wenye uelewa nini zaidi juu ya sharti la OAU limetumia vigezo gan atuambie.
 

iMind

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
2,361
2,000
Najua umefundishwa kwamba Idd Amin ndo alivamia TZ na kutaka kuchukua eneo la kagera. Historia ilipindishwa mkuu. Nyerere ndo ali mchokoza Idd Amin, na hatimaye kumuondoa madarakani.
 

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
51,667
2,000
Hivi kuna watu humu walioshuhudia hiyo vita? Haya mambo ya Tz kupigana kuna muda mi huwa nahisi chai.... mbona sie ni wapole, waoga, hatupendi makuu, anaetuumiza tunamuachia Mungu hao waliopigana ni kina nani? hawakuacha kizazi chao cha kishujaa? Au wote walikufa kwenye vita?

Alieshuhudia anielezee (sio aliesoma kwenye vitabu wala Wikipedia)
 

cocastic

JF-Expert Member
Nov 30, 2019
19,053
2,000
Hivi kuna watu humu walioshuhudia hiyo vita? Haya mambo ya Tz kupigana kuna muda mi huwa nahisi chai.... mbona sie ni wapole, waoga, hatupendi makuu, anaetuumiza tunamuachia Mungu hao waliopigana ni kina nani? hawakuacha kizazi chao cha kichujaa? Au wote walikufa kwenye vita?

Alieshuhudia anielezee (sio aliesoma kwenye vitabu wala Wikipedia)
Muda mwingine huwa nawaza km wee yaan.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom