Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam unatangaza kuanza kwa programu ya Diversity Visa kwa mwaka 2024 (DV-2024) hapo tarehe 6 Oktoba 2024. Kila mwaka, kupitia programu hii, Marekani hutoa viza za ukaazi wa kudumu (immigrant visas) zipatazo 55,000 kwa raia wa nchi ambazo kihistoria zina idadi...
Napendekeza serikali ya Tanzania ichukue hatua katika haya mapendekezo yangu.
1. Napendekeza serikali ya JMT itoe visa free kwa raia kutoka India, China, Japan na Korea
- katika mchakato wa visa free kwa mataifa mbalimbali tuanze na hayo mataifa manne kwanza kwa miaka 20 ya mwanzo.
2...
Haikuwa kazi nyepesi kuigiza movie za Yesu. Songombingo lilianza katika ile scene ya msalabani. Scenes zote ilikuwa rahisi sana isipokuwa ile ya msalabani.
Kwenye ile movie ya mwaka 1979 ya Yesu iliyoigizwa na Decon, Brian Deacon anasimulia kwenye interview kuwa wakati wa scene ya msalabani...
Inakuaje waheshimiwa?
Thread hii ipo kwa lengo la kuhadithiana visa mbali mbali tulivyokumbana navyo kati yetu, wazazi wetu na michepuko yetu.
Hapa juu naomba nianze na kisa cha kwanza 👇
Nikiwa na umri wa miaka 20, kuna kabinti fulani nilitokea kupendana nako. Kabinti hako kalikuwa kakali...
Dunia inaendeshwa kwa nipe nikupe, au kwa kauli nyingine nikune nikukune. Visa nayo ipo hivyo; tafsiri nyepesi ni makubaliano ya nchi na nchi kuhusu taratibu za kuingia na kutoka katika mataifa husika.
Rais wa Kenya amekaribisha wageni kuingia Kenya bila visa, lakini hakuna Sehemu kwenye...
Nimeona Rais wa Kenya Ruto amefuta visa entry requirement kwake.
Kuna faida yeyote ya kiuwekezaji?
Je dola 20 au 50 zilikua kikwazo kuingiza watu nchini?
Kwamba kuna wawekezaji serious walishindwa kwenda Kenya kwa kukosa dola 30?
Hii kwangu naiona kama njia ya kukaribisha magaidi nchini...
Habari ya wakati huu, wakuu?
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, na ni ndoto zangu kwenda nchi ya Canada au ughaibuni popote tofauti na bara la Asia kusoma na kutafuta maisha. Nina shahada ya sheria, lakini hata hela ya kwenda pale Law School ni tatizo. Kama kijana nisiye na manung'uniko na...
Madansa 3 wa Diamond Platnumz (Hbaajuni, Emma Platnumz na Rama Tosser) wamezamia Marekani kinyemela kwa kutumia Visa za WCB.
Inasemekana mara ya mwisho Diamond Platnumz alivyoenda Marekani aliwakatia Visa za mwaka mmoja mmoja, walivyomaliza kazi na kurudi bongo wakakata ticket za kurudi...
Kuna mzozo unaendelea kati ya Canada na India. Mzozo huu ulianza baada ya kiongozi wa Sikh, Hardeep Singh Nijjar, kuuawa mnamo Juni 2023 huko British Columbia. Waziri Mkuu wa Canada, Justin Trudeau, alitangaza kuwa kuna ushahidi wa kuaminika kwamba mawakala wa serikali ya India walihusika na...
Kina Mwabukusi na wenzake wametokea na inayoaminika kuwa ni agenda muarobaini wa matatizo yetu ya muda mrefu kama nchi:
"Kupambana na maadui zetu kwa vitendo."
Haipo siri kuwa hii itatuvusha, na hatimaye ushindi ni dhahiri.
"Kwani ni lini maneno matupu hata yalipata kuvunja mfupa?"
Ajabu na...
habari zenu ndugu zangu wa ukoo wa jf!
Facebook sasa naona visa haviishi, mimi siwaelewi
Juzi kati hapa walifunga account yangu wakidai kwamba waliona shughuli isiyokuwa ya kawaida kwenye account yangu (kwa mujibu wa maelezo yao)
Nikasema hivyo tu, nikarudisha akaunti yangu nikatembelea...
Wakuu kwa anayetumia Vodacom M-Pesa Visa kulipia online naomba kujua ada ni asilimia ngapi. Nimeuliza customer care kupitia Whatsapp yao naambiwa ni 10%. Siamini kama ni ghali hivyo maana naona Safaricom ya Kenya wanachaji 3.5%.
Zamani nilikuwa natumia Mastercard yao haikuwa ghali kiasi hicho...
Wabongo nyoso ni wananchi ambao hawana desturi ya kusafiri nje ya nchi. Wote tumesongamana hapa Nchini utafikiri watoto wanaosubiria nyumba ya urithi.
Nchi zinazotoa VISA ya bure kwa Watanzania.
https://www.instagram.com/p/CxC5PRyuwra/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==
Japokuwa Nchi yetu inashika...
Kwa wanaosafiri; Nataka kujua ni kweli Evisa ya Turkey imeondolewa na now kupata iyo visa ni 500k? Pia nilisikia Indonesia wame suspend visa free kwao which cc TZ tulikuwa tuna enjoy for 30 days Km Malaysia, Singapore na Philippines. Kuna yoyote aliyekwenda Indonesia Ivi karibuni au Uturuki...
Hawa UAE ni ndugu zetu wa damu kabisa, tumeoleana pia ni wajomba zetu hawa.
UAE wametoa orodha ya nchi ambazo raia wake wanaweza kuingia nchini mwao bila ya visa.
Nchi walizoziruhusu zote ni hizo hapo.
These are countries/states whose citizens can enter the UAE visa-free, as per the latest MOFA...
Serikali ya Canada imekaribisha maombi ya Visa maalum kwa mafundi mchundo, sorry I mean kwa wateknolojia katika fani ya welding, plumbing na carpentry. Vijana hii ni fursa ambayo hampaswi kuiacha ipite. Maisha ni malengo.
Kila la heri.
Dr Matola PhD unaona nilichokua nachangia kule kwenye uzi...
Kwa mujibu wa Ernest B. Makulilo wa EBM SCHOLARS kwa sasa muda wa kuprocess visa ya kwenda Marekani kwa raia wa Tanzania ni miezi Sita.
Kwa lugha nyepesi ni ukiomba visa ya kwenda Marekani leo utapokea majibu ya maombi yako baada ya miezi Sita (Februari 2024)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.