Serikali ya Canada imekaribisha maombi ya Visa maalum kwa mafundi mchundo, sorry I mean kwa wateknolojia katika fani ya welding, plumbing na carpentry. Vijana hii ni fursa ambayo hampaswi kuiacha ipite. Maisha ni malengo.
Kila la heri.
Dr Matola PhD unaona nilichokua nachangia kule kwenye uzi...
Kwa mujibu wa Ernest B. Makulilo wa EBM SCHOLARS kwa sasa muda wa kuprocess visa ya kwenda Marekani kwa raia wa Tanzania ni miezi Sita.
Kwa lugha nyepesi ni ukiomba visa ya kwenda Marekani leo utapokea majibu ya maombi yako baada ya miezi Sita (Februari 2024)
Wadau nipo ovest ichi kipengele kinanichanganya wakuu. Nashindwa kuelewa nakitambukaje.
Kila kitu nipo sawa isipokuwa tu iyo Bima ya afya wanayoitaka wao ya €30,000 sawa na Tsh 80m.
Kunatips za kuitambuka hii. Nataka kwenda kama mtalii au mwanafunzi wa kujilipia.
Moderator nisaidie kupunguza...
Wakuu naombeni kujua jimbo sahihi kuanzia maisha, ntashukia Toronto Pearson International Airport, simjui yeyote na hii ni visa ya matembezi tu kwenye documents niliwaambia ntakaa wiki 1 ila nimeapa abadani afe kipa afe beki sirudi bongo labda waniue.
Mkisha nijulisha jimbo, mnijulishe na jinsi...
Mimi intelli Kama nijulikanavyo ni mzee wa kauli ya "I mean no malice to nobody" - ila nilijuta Baada ya kwenda kumtembelea Jamaa yangu wa mkoa fulani.
Aisee Kuna watu wanapenda Shari na ugomvi Kama vile ni chakula, nami nikaona SI mbaya nikishare nanyi niliyo yaona huko. Namnukuu
Kisa Cha...
Hii Dunia isikie vituko na majanga yake kwa wengine yasikukute.
Dada Jenifa amepitia visa na mikasa vya housegirls wachawi kwa uchache ntaweka visa vitatu (3).
1. Huyu alimtoa kijijini kwao kwa ant yetu alikuwa na kawaida yq kuharibu kila aina ya mmea dawa uliopo bustanini hasa ukifikia hatua...
Wakuu nategemea kwenda US tarehe 7 mwezi wa 7 kama ntapata VISA ya B1, swali langu, nikijaza DS-160 leo, nawezaitwa kwenye interview kwa wakati au foleni imesha jaa? Documents zote ziko vizuri.
Habari zenu wakuu, naomba msaada hapa jinsi ya kufile kwa ajili ya kuomba visit visa.
Mfano: Ikiwa mtu muda huu hana kazi wala biashara yoyote, yaani hayupo vizuri kichumi, ikiwa ina maana hawezi kuuthibitishia ubalozi kupitia taarifa za benki, kwa maana salio la benki ni chini ya millioni 2...
1. Mwanaume ukionesha unampenda sana mwanamke, mwanamke ataanza kuleta visa kisa anajua unampenda ila siku ukibadilika Mwanamke atasema Mme wangu sikuelewi mbona siku hizi umebadilika.
2. Huwezi kuona umuhimu wakitu kwa ukubwa mpaka kiondoke, ndo walivyo wanadamu wote sio mwanAmke au...
Habari wana-JF. Ningependa kufahamu kwa nchi ambazo hazina balozi hapa nchini (Portugal) ni njia zipi za kufuata kufanya application hasa kwa Visa ambazo inakubidi application ufanyie nchini kwako.
Retirement Visa / Portugal D7 Visa.
Tanzania ukifanya vizuri Sana lazima kuna sehemu utabutua. Uhamiaji mmefanya vizuri Sana kusogeza huduma za Pasipoti na Visa za kielekronikia kwenye mtandao. Utaratibu wa kuomba na kukamilisha maombi upo fresh na unaendana na mahitaji ya Dunia Kwa sasa.
Lakini wakati mnatengeneza mfumo mzuri...
Mara ya kwanza ilikuwa ni likizo yangu December 2018, nikiwa na mwenyeji wangu ( mzambia) baada ya kupeleka mchele na kumaliza kuuza, mwenyeji wangu alinishauri tusogee Rukwa, tununue dagaa then tuwapeleke Kasumbalesa kwa kipindi hicho akadai wanalipa na yeye anawafahamu dagaa ila shida lugha...
Imechukua uamuzi huo ambao utaendelea hadi vikwazo walivyoita vya ‘kibaguzi’ dhidi ya Wachina wanaotaka kuingia katika Nchi hizo vitakapoondolewa.
Japan na Korea Kusini ni baadhi ya mataifa ambayo yameweka vikwazo dhidi ya wasafiri wanaotoka China kutokana na taifa hilo kulegeza msharti ya...
Maisha ya Sunday school yalikuwa raha sana, pamoja na raha zake kulikuwa na vituko na vioja vya hapa na pale.
Mimi nilikuwa na allergy na mama mmoja hivi, yeye alikuwa kiwaki sana akitusalisha anatumia dakika nyingi sana kusali kwake kama dakika 5 hivi ambazo zilitosha mimi kuimaliza Atlas...
Hivi kuna anayejua kwa nini mgeni akifika TANGANYIKA haruhusiwi kulipa Visa kwa kutumia Credit card ni hadi awe na hela Cash? Hii hulazimu wageni wasio na Visa wajazane kiwanjani wakipanga foleni kwenye ATM kupata hela cash kwa ajili ya kulipia Visa.
Nimeandika TANGANYIKA kwa kuwa, kwa upande...
Habari za muda, naombeni maelekezo ya jinsi ya kuafutatilia na kupata Visa.
-Je niwe na Documents zipi?
-Naweza kupata kwa kupitia online? Link ni ipi? Au ni kwenda Ubalozini?
-Niwe na kiasi gani ajili ya Visa (ya mwaka tu)?
Binafsi nipo mkoani, so kiujumla ningependa kujuzwa taratibu na mambo...
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) akifanya mazungumzo na Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Visa International, Alfred Kelly kuhusu ushirikiano baina ya taasisi hizo katika kuanzisha huduma za malipo ya kidijitali katika sekta ya utalii. Mkutano huo ulifanyika...
Habari yenu Wakuu. Naomba msaada wenu wa maelekezo vitu gani vinahitajika kupata visa ya kwenda aidha Cyprus,Turkey au Holland.
Kati ya hizo nchi 3 ipi ni rahisi kidogo suala la kupewa visa kwa Mtanzania?
Nikitumiwa Barua ya Mualiko na Mwenyeji wangu akisema yeye atakua Responsible kwangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.