visa

  1. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Vedeo - Rubio -Marekani yasema NO VISA ya kuingia Marekani kwa wenye chuki binafs na Israel waisahau Marekani

    Free Free Palestina Lengo lake ni Kuiangamiza Israel from the river to the Sea ni Kosa la kimahesabu uhuru hauombwi hivyo na chuki hazijawahi kushinda vita vya muda mrefu.. Mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe. Wenye Chuki watasaidiwa kufika Gaza wapigane na Israel na kama hawawezi basi...
  2. Myahudi Jr II

    JamiiForums Tanzania No US (Student) VISA until further notice, China ndio inapige kelele na kulia lia

    Jana na juzi mitandao imepiga kelele ikiongozwa na Serikali ya China baada ya DONALD TRUMP kuagiza balozi zote kusitisha visa appointment zote na kutopanga new appoitnments mpaka maelezo mengine yatakapotolewa CHAKUSHANGAZA China imetoka kimbelembele na kusema ni kinyume na haki na "China...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Heche: Golugwa aachiwe mara moja. Hakuna kosa alilofanya maana ana visa na ticket halali

    👇
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Visa vya pedophiles vinazidi kuongezeka kwa kasi hapa bongo. Kama mzazi hivi ndivyo unavyoweza fanya angalau kulinda mabint ako wadogo dhidi ya pedos

    Cha kwanza usikubali mtoto wako mdogo awekwe katika mazingira kama ya hii video hapa chini. Hauwezi kuamini idadi ya comments chafu nilizoziona nilipotoa hii video. pili, haijalishi udogo wa mtoto ila usimu expose na kuchezea simu yako na kufahamu mienendo ya social media. Siku izi watoto...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Marekani na canada waungana na saudia na india

    Marekani na Kanada waungana na India, Saudi Arabia, Cuba, Misri, Kenya, Pakistan, na Oman huku Brazil ikisitisha safari za bila visa – Hatua mpya za kukuza utalii na usalama: Mambo mapya unayopaswa kujua Brazil imetangaza kusitisha rasmi safari za bila visa kwa raia wa mataifa mbalimbali ikiwa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa China wabadili utaratibu wa maombi ya Visa

    Kwa wale ambao mara kadhaa tumesafiri ama kuomba visa ya kwenda China, kuna mabadiliko ya kuomba na kupata visa ya China kuanzia tarehe 31 March 2021. Hapo awali ilikuwa tunajaza taarifa zetu online na kisha ku-print ile fomu na kuiwasilisha pale ubalozini pamoja na viambatanishi vingine...
  7. Half american

    JamiiForums Tanzania Tumeshaachana wivu na vituko vyanini? Ila ke wembamba wana visa sana.

    Jana night nikatoka na chaguo la moyo tubadili hata dinner tuupumzishe ugali dagaa kidogo, hao tukaenda kiwanja fulani jina kapuni kwa ajili ya kulinda brand. Tukiwa tunaingia pale tunaangalia wapi pa kukaa ukizingatia ni sikukuu watu ni wengi karibia kila meza imejaa wadau, ghafla mbele yetu...
  8. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Wazungu huwa wanaomba visa kuja huku kwetu?

    Wazungu huwa wanaomba visa kuja huku kwetu? Maaaana sisitunavoteseka kuomba hizo viza ni aibu kila mwez ubalozin
  9. E

    JamiiForums Tanzania Watanzania sasa mnaweza kuingia Congo bila Visa

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kuufahamisha Umma kwamba, Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imeondoa hitajio la visa kwa Raia wa Tanzania wanaoingia DRC kuanzia March 20, 2025. Taarifa iliyotolewa na Wizara imesema baada ya Jamhuri ya...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Taarifa kuhusu kuondolewa kwa hitajio la VISA kwa Watanzania wanaoingia nchini DRC kuanzia Machi 20, 2025

    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUONDOLEWA KWA HITAJIO LA VISA KWA WATANZANIA WANAOINGIA NCHINI JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO (DRC) KUANZIA TAREHE 20 MACHI, 2025 Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kuufahamisha Umma kwamba, Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
  11. snake

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani limewahi kukustaajabisha ama uliliona la ajabu

    Naanza na mimi kuna wakati nilikua safari kutokea Same nikielekea Arusha nilipanda coaster na kupata siti ya nyuma kabisa na sababu yenyewe nikwamba tulikua wawili hivyo tulipendelea kukaa pamoja mbele yetu kulikua na siti ya watu 2 ambayo yadirishani mtu alikaa ikabakia hiyo ya mwanzo. Mpaka...
  12. H

    JamiiForums Tanzania KERO Tanzania eVisa website kuna changamoto gani?

    Kuna wageni wanalalamika kuwa zaidi ya wiki sasa kila wakijaribu kuomba e-visa wanakuta website ipo down; wahusika tunaomba mcheki tafadhali Mwingine kaandika hivi "May I please ask for your help on who we can email or call to check on the evisa portal? We are trying to access the website but...
  13. Mbwichichi

    JamiiForums Tanzania Mdingi wangu alikua kauzu sana…ila alisaidia kunijenga, soma visa vyake kadhaa

    Habarini wakubwa wa kazi,maandalizi ya watani kunyoana kesho nadhani yanaenda kwa kasi nzuri….Rada za huku kwangu zinasoma kwamba bado tabu iko palepale,ila mwishoni mwa ligi watakaoteseka kesho watafurahia. Binafsi ninapenda sana kushare mambo mbalimbali kuhusu maisha ya kila siku katika mfumo...
  14. Slim

    JamiiForums Tanzania UK Visa

    Naomba kujua utaratibu mpya wa kupata Visa UK kama standard visitor
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Tupeane visa na mikasa ulivyowahi kukutana navyo kwenye pilika za kusaka utajiri

    Miaka hiyo nikiwa ni kijana mwenye nguvu, walikuja kijijini kwetu jamaa wawili wameongozana na MZUNGU. Muda wote MZUNGU yuko kimya tu, zaidi ya salamu yake ya Jambo Toto, hata wazee aliowakuta aliwasalimia hivyo. Jamaa wakatoa photo album iliyokuwa na picha ya vitu kadhaa walivyokuwa...
  16. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Leo ngoja nikupe visa, misukosuko na mikasa ya hawa emoji (😪😭😩😂😅

    😶‍🌫️ - hii inapiga chabo kwa dirisha 😩 - Iko kwenye sexy vile inaona raha 🏃 - imetoka fumaniwa na mke/mume wa mtu 😂 - inachekea salio jipya kwa m-pesa 😭 - inalia vile inamdanganya mtu kwenye mahuy 🤧 - imechapwa shule venye inarudi 😕 - hii mdada ilitumiwa pesa kwa makosa kabla ya kutoa...
  17. GadoTz

    JamiiForums Tanzania Simulizi, Mikasa, Vitimbi na Visa vya wasanii wa zamani wa bongo fleva - A special thread

    Hii ni thread maalum ya simulizi mbalimbali pamoja na visa, mikasa na vitimbi vya wasanii wa zamani wa bongo fleva. Stay tuned....
  18. home is everywhere

    JamiiForums Tanzania Msaada kupata visa za Egypt, Algeria na Morocco

    Hello Niko interested kutembelea nchi hapo juu za Africa kaskazini kwa utalii. Ningependa kujua visa za nchi hizo zinapatkana wapi kama kwenye mabalozi au evisa na kwa gharama gani? Niko Tanga, Tanzania Nb:Nimejaribu kuangalia website zao mtandaoni sioni details zaidi. Ningependa kwa wenye...
  19. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka visa vya wamba hawa lodilofa madenge ndumilakuwili cmrd kipepe dr love pimbi zena & betina

    Hawa wamba ndio walikuwa wakileta burdani sana enzi hizo hamna Facebook Instagram Tiktok wala Youtube. Unavyokaribia mwanzo wa mwaka mnasubiri kwa hamu toleo la jarida jipya lililobeba katuni zilizojaa visa na vitimbi vya hao wamba. Mwanzo wa mwaka kama hivi jarida linakuwa tayari limeshatoka...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC Mpanda aagiza Mgodi wa Madini ufungwe kutokana na mlipuko wa Kipindupindu

    Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi, Jamila Yusuf amesitisha shughuli za uchimbaji madini katika Mgodi wa Lumuka uliyopo Kijiji cha Dirifu, Manispaa ya Mpanda kutokana na mlipuko wa Ugonjwa wa Kipindupindu uliozuka katika maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo. Agizo hilo amelitoa mara baada ya...
Back
Top Bottom