Tuliowahi kusumbuliwa na wazazi wetu kwa sababu ya michepuko yetu tujuane hapa kupitia visa vyetu

Akilihuru

JF-Expert Member
May 20, 2022
1,447
2,838
Inakuaje waheshimiwa?

Thread hii ipo kwa lengo la kuhadithiana visa mbali mbali tulivyokumbana navyo kati yetu, wazazi wetu na michepuko yetu.

Hapa juu naomba nianze na kisa cha kwanza 👇

Nikiwa na umri wa miaka 20, kuna kabinti fulani nilitokea kupendana nako. Kabinti hako kalikuwa kakali kweli kweli, kiasi ya kwamba kila mtu alihitaji kuwa nako kimapenzi.

Tatizo ni kwamba kabinti hako hakakuwa na adabu kwa watu wazima, na kibaya zaidi wazazi wake wote wawili walikuwa wakorofi. Wakati naanza nako nilifanya siri, lakini mwisho wa siku ikaja kujulikana mpaka bimkubwa akafahamu kuwa nagonga kabinti hako jeuri.

Kwa vile kabinti hako hakakujaaliwa heshima ilibidi bimkubwa anisihi niachane nae huyo binti kwani hakana adabu na pia wazazi wake ni wakorofi mno. Bimkubwa alinishauri kuwa mimi kama mtoto wa kiume nipambane kwanza kujitengenezea mfumo wangu wa maisha vizuri halafu sasa ndio ni deal na watoto wa kike tena asiwe huyo binti ambae yeye alimuona kuwa hafai kuwa mkwewe.

Kutokana na heshima niliyonayo kwa bimkubwa basi mimi nilimkubalia, lakini nikawa naendelea kula uroda na huyo binti kimya kimya.

Siku moja nilimvusha huyo binti katika chumba changu kilichomo uani, kumbe kimkubwa alituona kupitia dirisha lake, akaja haraka kuniomba nifungue mlango aingie kuangalia kama kuna binti, nikamwambia kua binti hayupo na wala sipo nae tena. Bimkubwa akang'ang'ania nikaona isiwe tabu, nikamficha binti katika kabati langu la nguo, nikafungua akaingia akaniambia nimemficha wapi binti nikaendelea kukanusha kama kuna binti yoyote nilieingia nae pale ndani. Bimkubwa hakutaka tubishane akatoka.

Baada ya muda mimi nikatoka ili kwenda kununua chips na soda kwa ajili ya mgeni wangu. Kumbe nilivyotoka bimkubwa alienda akagonga, binti akajua ni mimi akafungua mlango ghafla akakuta ni mama mkwe ikabidi awe mpole. Mama nae hakutaka kumfanya kitu, mtoto wa watu, akaingia na kuketi pembeni yake.

Mimi nikiwa sina hili wala lile nikafika home fasta na kumgonga mrembo anifungulie, ile naingia namkuta bimkubwa na binti wamekaa pamoja, daa nikatepeta mfano wa chapati ya maji, basi bimkubwa akataka kunionesha kuwa yeye ni mzazi na mimi ni mtoto ambae siwezi kumfanya lolote, alianza kwanza kwa kunivuta mashavu huku akiniambia kwamba "wewe si nilikuwa nishakuonya uachane na huyu binti asiekuwa na adabu ukaniambia kuwa ushaachana nae, sasa mbona leo nakukamata nae?", wakati nikijiandaa kujitetea nikasikia kofi ambalo lilifanya sikio lipoteze uwezo wa kusikia sauti, daa yaani sikujua pale ndani nilitokaje tokaje, maana nilijikuta nishakuwa kwa jirani huku sina ndala. Binti nae akapigwa mkwara aachane na mimi kwanza nikimjaza asitegemee kupata ushirikiano wowote kutoka kwao (wazazi wangu)

Kisa cha pili hapo chini 👇

Nilikuwa natembea na mtoto wa mpangaji wetu, bimkubwa haku complain sana kuhusu huyu binti zaidi ya kunishauri niachane na zinaa, kama najiona nimeshakuwa mwanaume wa kuishi na mke basi nioe tu kuliko kuchovya chovya tu bila sababu. Pia na hili nikamkubalia ila nikawa naendelea kumega kimya kimya kupitia mageto ya washkaji, maana kwa pale nyumbani nilihofia yasije kutokea kama yale yaliotokea kwa yule binti mwingine.

Ebwana yule binti siku moja mama yake amekosa hela ya kodi, wakaanzisha mzozo kuwa nimemjaza binti yake upepo wa tumbo, hivyo hawawezi kulipa kodi, kwani hiyo hela ambayo wangelipa kodi ndo wataitumia kwa masuala ya clinic nk.

Bimkubwa aliposikia hivyo kimbembe kikahamia kwangu, nyumbani kukawa hakukaliki, ila baadae tukaja kugundua kwamba binti hana ujauzito wala ujamwepesi, ilikuwa ni mbinu zao tu za kukata wakae bure pindi wanapokosa kodi.

Yule mama na binti yake walihama na kodi bimkubwa aliwasamehe 🤣🤣🤣🤣

Je wewe msomaji kisa chako ni kipi.....?
 
Nikiwa na umri wa miaka 20, kuna kabinti fulan nilitokea kupendana nako. Kabinti hako kaliwa kakali kweli kweli, kiasi ya kwamba kila mtu alihitaji kuwa nako kimapenzi.

Tatizo ni kwamba kabinti hako hakakuwa na adabu kwa watu wazima, na kibaya zaidi wazazi wake wote wawili walikuwa wakorofi. Wakati naanza nako nilifanya siri, lakin mwisho wa siku ikaja kujulikana mpaka bimkubwa akafahamu kuwa nagonga kabinti hako jeuri.

Kwa vile kabinti hako hakakujaaliwa heshima ilibidi bimkubwa anisihi niachane nae huyo binti kwani hakana adabu na pia wazazi wake ni wakorofi mno. Bimkubwa alinishauri kuwa mimi kama mtoto wa kiume nipambane kwanza kujitengenezea mfumo wangu wa maisha vizuri alafu sasa ndio ni deal na watoto wa kike tena asiwe huyo binti ambae yeye alimuona kuwa hafai kuwa mkwewe.

Kutokana na heshima niliyonayo kwa bimkubwa basi mimi nilimkubalia, lakin nikawa naendelea kula uroda na huyo binti kimya kimya.

Siku moja nilimvusha huyo binti katika chumba changu kilichomo uani, kumbe kimkubwa alituona kupitia dirisha lake, akaja haraka kuniomba nifungue mlango aingie kuangalia kama kuna binti, nikamwambia kua binti hayupo na wala sipo nae tena. Bimkubwa akang'ang'ania nikaona isiwe tabu, nikamficha binti katika kabati langu la nguo, nikafungua akaingia akaniambia nimemficha wapi binti nikaendelea kukanusha kama kuna binti yoyote nilieingia nae pale ndani. Bimkubwa hakutaka tubishane akatoka.

Baada ya muda mimi nikatoka ili kwenda kununua chips na soda kwa ajili ya mgeni wangu. Kumbe nilivyotoka bimkubwa alienda akagonga, binti akajua ni mimi akafungua mlango ghafla akakuta ni mama mkwe ikabidi awe mpole. Mama nae hakutaka kumfanya kitu, mtoto wa watu, akaingia na kuketi pembeni yake.

Mimi nikiwa sina hili wala lile nikafika home fasta na kumgonga mrembo anifungulie, ile naingia namkuta bimkubwa na binti wamekaa pamoja, daa nikatepeta mfano wa chapati ya maji, basi bimkubwa akataka kunionesha kuwa yeye ni mzazi na mimi ni mtoto ambae siwezi kumfanya lolote, alianza kwanza kwa kunivuta mashavu huku akiniambia kwamba "wewe si nilikuwa nishakuonya uachane na huyu binti asiekuwa na adabu ukaniambia kuwa ushaachana nae, sasa mbona leo nakukamata nae?", wakati nikijiandaa kujitetea nikasikia kofi ambalo lilifanya sikio lipoteze uwezo wa kusikia sauti, daa yan sikujua pale ndani nilitokaje tokaje, maana nilijikuta nishakuwa kwa jirani huku sina ndala. Binti nae akapigwa mkwara aachane na mimi kwanza nikimjaza asitegemee kupata ushirikiano wowote kutoka kwao (wazazi wangu)

Kisa cha pili hapo chini 👇

Nilikuwa natembea na mtoto wa mpangaji wetu, bimkubwa haku complain sana kuhusu huyu binti zaidi ya kunishauri niachane na zinaa, kama najiona nimeshakuwa mwanaume wa kuishi na mke basi nioe tu kuliko kuchovya chovya tu bila sababu. Pia na hili nikamkubalia ila nikawa naendelea kumega kimya kumya kupitia mageto ya washkaji, maana kwa pale nyumbani nilihofia yasije kutokea kama yale yaliotokea kwa yule binti mungine.

Ebwana yule binti siku moja mama yake amekosa hela ya kodi, wakaanzisha mzozo kuwa nimemjaza binti yake upepo wa tumbo, hivyo hawawezi kulipa kodi, kwani hiyo hela ambayo wangelipa kodi ndo wataitumia kwa masuala ya clinic nk.

Bimkubwa aliposikia hivyo kimbembe kikahamia kwangu, nyumbani kukawa hakukaliki, ila baadae tukaja kugundua kwamba binti hana ujauzito wala ujamwepesi, ilikuwa ni mbinu zao tu za kukata wakae bure pindi wanapokosa kodi.

Yule mama na binti yake walihama na kodi bimkubwa aliwasamehe 🤣🤣🤣🤣

Je wewe msomaji kisa chako ni kipi.....?
Mchepuko ni mwanamke uliye na mahusiano naye ya kimapenzi kando na mkeo. Hivo ulivosimulia hapo ni visa vya mademu sio michepuko.
 
Inakuaje waheshimiwa?

Thread hii ipo kwa lengo la kuhadithiana visa mbali mbali tulivyokumbana navyo kati yetu, wazazi wetu na michepuko yetu.

Hapa juu naomba nianze na kisa cha kwanza 👇

Nikiwa na umri wa miaka 20, kuna kabinti fulani nilitokea kupendana nako. Kabinti hako kalikuwa kakali kweli kweli, kiasi ya kwamba kila mtu alihitaji kuwa nako kimapenzi.

Tatizo ni kwamba kabinti hako hakakuwa na adabu kwa watu wazima, na kibaya zaidi wazazi wake wote wawili walikuwa wakorofi. Wakati naanza nako nilifanya siri, lakini mwisho wa siku ikaja kujulikana mpaka bimkubwa akafahamu kuwa nagonga kabinti hako jeuri.

Kwa vile kabinti hako hakakujaaliwa heshima ilibidi bimkubwa anisihi niachane nae huyo binti kwani hakana adabu na pia wazazi wake ni wakorofi mno. Bimkubwa alinishauri kuwa mimi kama mtoto wa kiume nipambane kwanza kujitengenezea mfumo wangu wa maisha vizuri halafu sasa ndio ni deal na watoto wa kike tena asiwe huyo binti ambae yeye alimuona kuwa hafai kuwa mkwewe.

Kutokana na heshima niliyonayo kwa bimkubwa basi mimi nilimkubalia, lakini nikawa naendelea kula uroda na huyo binti kimya kimya.

Siku moja nilimvusha huyo binti katika chumba changu kilichomo uani, kumbe kimkubwa alituona kupitia dirisha lake, akaja haraka kuniomba nifungue mlango aingie kuangalia kama kuna binti, nikamwambia kua binti hayupo na wala sipo nae tena. Bimkubwa akang'ang'ania nikaona isiwe tabu, nikamficha binti katika kabati langu la nguo, nikafungua akaingia akaniambia nimemficha wapi binti nikaendelea kukanusha kama kuna binti yoyote nilieingia nae pale ndani. Bimkubwa hakutaka tubishane akatoka.

Baada ya muda mimi nikatoka ili kwenda kununua chips na soda kwa ajili ya mgeni wangu. Kumbe nilivyotoka bimkubwa alienda akagonga, binti akajua ni mimi akafungua mlango ghafla akakuta ni mama mkwe ikabidi awe mpole. Mama nae hakutaka kumfanya kitu, mtoto wa watu, akaingia na kuketi pembeni yake.

Mimi nikiwa sina hili wala lile nikafika home fasta na kumgonga mrembo anifungulie, ile naingia namkuta bimkubwa na binti wamekaa pamoja, daa nikatepeta mfano wa chapati ya maji, basi bimkubwa akataka kunionesha kuwa yeye ni mzazi na mimi ni mtoto ambae siwezi kumfanya lolote, alianza kwanza kwa kunivuta mashavu huku akiniambia kwamba "wewe si nilikuwa nishakuonya uachane na huyu binti asiekuwa na adabu ukaniambia kuwa ushaachana nae, sasa mbona leo nakukamata nae?", wakati nikijiandaa kujitetea nikasikia kofi ambalo lilifanya sikio lipoteze uwezo wa kusikia sauti, daa yaani sikujua pale ndani nilitokaje tokaje, maana nilijikuta nishakuwa kwa jirani huku sina ndala. Binti nae akapigwa mkwara aachane na mimi kwanza nikimjaza asitegemee kupata ushirikiano wowote kutoka kwao (wazazi wangu)

Kisa cha pili hapo chini 👇

Nilikuwa natembea na mtoto wa mpangaji wetu, bimkubwa haku complain sana kuhusu huyu binti zaidi ya kunishauri niachane na zinaa, kama najiona nimeshakuwa mwanaume wa kuishi na mke basi nioe tu kuliko kuchovya chovya tu bila sababu. Pia na hili nikamkubalia ila nikawa naendelea kumega kimya kimya kupitia mageto ya washkaji, maana kwa pale nyumbani nilihofia yasije kutokea kama yale yaliotokea kwa yule binti mwingine.

Ebwana yule binti siku moja mama yake amekosa hela ya kodi, wakaanzisha mzozo kuwa nimemjaza binti yake upepo wa tumbo, hivyo hawawezi kulipa kodi, kwani hiyo hela ambayo wangelipa kodi ndo wataitumia kwa masuala ya clinic nk.

Bimkubwa aliposikia hivyo kimbembe kikahamia kwangu, nyumbani kukawa hakukaliki, ila baadae tukaja kugundua kwamba binti hana ujauzito wala ujamwepesi, ilikuwa ni mbinu zao tu za kukata wakae bure pindi wanapokosa kodi.

Yule mama na binti yake walihama na kodi bimkubwa aliwasamehe 🤣🤣🤣🤣

Je wewe msomaji kisa chako ni kipi.....?
Umenivunja mbavu 😂😂😂😂😂😂Jf bwana!!!!
 
We mzee mbona una kiranga hivyo?
Kaka yangu anaye mtoto mmoja tu wa kiume na vituko vyake ni kama vyako. Inawezekana na wewe ni Kaka wa Madada?
 
Back
Top Bottom