Mamlaka za Uhamiaji yaanza kutekeleza sheria ya kuoneshwa akaunti za Mitandao ya Kijamii ya ya wanaoingia nchini kama watembezi au kazi, wanafunzi n.k :
Ili kutii Agizo tamko la Januari 2025 14161 (Kulinda Marekani dhidi ya Magaidi wa Kigeni na Vitisho Vingine vya Usalama wa Kitaifa na Usalama...
Department of State imefuta VISA kadhaa za raia wa kigeni walio Marekani ambao walishangilia kifi cha Charles Kirk.
==============
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani (@StateDept)
Machapisho tena: 17.3K Majibu: 3,949 Walioipenda: 131K Walioweka alama: 7,977
Wizara ya Mambo ya Nje (ikijibu kwa...
Niwapongeze sana Idara ya uhamiaji kuwafutia viza watu wawili wenye mahusiano na taasisi ya KAS.
kwa mapitio yangu watu hawa walianza harakati muda mrefu ikiwemo kutoa mafunzo kwa CHADEMA ambayo
leo tunaiona ikikiuaka kanuni za msingi za chama cha siasa ...kukataa kuingia kwenye uchaguzi na...
Kuna baadhi ya Watu wamekuwa na tabia ya kwenda Marekani na wakifika huko wanazamia au wanachelewa kurejea ndani ya muda wa Visa ambayo walipewa.
Serikali ya Marekani imeamua kuweka mabadiliko ya maombi ya Visa kwa Nchi kadhaa kama tano au sita, chanzo ni ndugu zetu wanaokwenda na hawarudi...
Serikali ya Mali imetangaza kuwa raia wa Marekani watakaotembelea nchi hiyo ya Afrika Magharibi kwa shughuli za biashara au utalii watalazimika kuweka bondi ya hadi dola 10,000 (sawa na takribani pauni 7,500). Hatua hii imechukuliwa kama jibu kwa sera kama hiyo iliyowekwa na utawala wa Rais wa...
Hivi karibuni Trump amepitisha sheria kwa baadhi ya nchi raia wake wakiingia Marekani waingie kwa Visa bond. Imewekwa bayana ni dola5000 naomba anayejua hii maana yake nini hasa.
Anachofanya Trump ni sahii kwa asilimia 100 tena ikiwezekana hata wale ambao wana-documents anatakiwa anawakimbize warudi wakajenge nchi zao sababu sisi waafrika tumeshindwa kuzipigania nchi zetu wako watakaosema ni ngumu jibu ni kwamba hakuna kitu kirahisi
Ukifuatilia habari ni kawaida kuona...
Unapoomba Visa ya Marekani (US Visa Interview) katika Ubalozi au Konseli ya Marekani, mahojiano ni sehemu muhimu. Afisa wa ubalozi atauliza maswali ili kuthibitisha kuwa taarifa ulizoandika kwenye fomu ni sahihi na kujua nia yako ya kweli ya kusafiri Marekani.
🔹 Maswali ya kawaida unayoweza...
Ushawahi kuona mtu ana lalamika na asie na shukrani zaidi ya mtoto wa kambo.
Ushawahi kuona mtu ana kihele hele zaidi ya mtoto wa nje ya ndoa?
Ushawahi kuona mtu ana roho mbaya zaidi ya mtoto wa mamdogo?
BASTARD CHILD.🚮
Huu ni mkusanyiko wasimulizi zangu ambazo nimewahi kuzileta humu na zile ambazo nitakuwa nazileta huko mbeleni.
Lengo la uzi huu ni kurahisidha ufuatiliaji wa simulizi zangu kwa wale wapenzi wa simulizi lakini pia kutokupoteza simulizi zangu ambazo nimewahi kuziandika humu.
Kumbuka humu...
Ni visa ambavyo vimewahi kufanya watu wanisikilize kwa umakini mkubwa, kuwa na hamu ya kuendelea kuwasimulia nilipoishia na kuniomba updates.
Sioni haja tena ya kusimulia visa vyangu kama hakuna pesa, ni wapi naweza kuuza hivi visa ambavyo ni true life stories na nipate motivation ya kuingia...
Sheria mpya kutoka uhamiaji Marekani inawataka raia wa Zambia na Malawi wanaotaka kwenda Marekani kwa kutembea ama kibiashara ku deposit kwanza kiasi cha dollars za marekani elfu 15 kabla ya kupewa Visa ya mwaka mmoja.
Baada ya Visa kukaribia kuisha wanatakiwa kuondoka Marekani na kurudishiwa...
Nimejaribu masaa kadhaa leo kuweka pesa kwenye M-Pesa Visa card inasema tatizo la kiufundi. Ni kwangu tu au kuna mtu pia amekutana na hili tatizo? Simpati mhudumu wa Vodacom anipe jibu.
Kumekuwa na changamoto kubwa kwenye mfumo wetu wa Visa kwa watalii na ndio sababu kwa sasa watalii wengi wanakuja bila VISA (na ndio msimu umeanza hatujui huko mbeleni itakuwaje?)
Wageni wanalipia VISA ila wiki mbili hadi mwezi unapita hawajapata majibu, Status pending/in process? Na ujue...
Chad, imetangaza kusitisha utoaji wa visa kwa raia wa Marekani kama hatua ya kulipiza kisasi, baada ya kugundua kuwa imewekwa kwenye orodha ya mataifa 12 ambayo raia wake wamepigwa marufuku kusafiri kwenda Marekani.
"Chad haina ndege za kutoa wala mabilioni ya dola ya kugawa, lakini Chad ina...
Serikali imeingia makubaliano na nchi mbalimbali ili kurahisisha utaratibu wa viza ambapo raia wa Nchi 71 hawahitaji viza wanapoingia nchini.
Kwa sasa watalii kutoka mataifa mengi zaidi duniani wanaruhusiwa kupata visa wanapowasili (visa on arrival) kwenye viwanja vya ndege vya kimataifa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.