Naomba kujua ada za malipo kwa M-Pesa Visa card

raslimali

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
1,344
1,012
Wakuu kwa anayetumia Vodacom M-Pesa Visa kulipia online naomba kujua ada ni asilimia ngapi. Nimeuliza customer care kupitia Whatsapp yao naambiwa ni 10%. Siamini kama ni ghali hivyo maana naona Safaricom ya Kenya wanachaji 3.5%.

Zamani nilikuwa natumia Mastercard yao haikuwa ghali kiasi hicho. Kwa anayetumia naomba kupata uhakika.
 
Back
Top Bottom