viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Wasomi wengi kuburuzwa na viongozi tatizo ni ubovu wa elimu yetu au nini

    Wadau habarini za jioni, poleni na jukumu la kujenga taifa, Ndiyo tunaelekea mwisho wa mwaka bado siku 30 tu mwaka uishe je umefikia malengo yako au ndio kuishi kwa mazoea kama watanzania wengi tulivyozoea niende kwenye mada. Hivi karibuni kumetokea tabia au mazoea ya wanasiasa kuwazarau...
  2. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kosa alilofanya Mgunda Simba ni Kuongea na Mo kuhusu mkataba kamili kihalali kabla viongozi hawajaweka cha juu

    Inasemekana baada ya kupewa timu kwa Muda. Mo aliridhika na kiwango cha Timu. Akaamua kumpigia kujua vitu anavyotaka ili awe kocha. Mgunda akasema gharama zote na mahitaji. Mo akaona huyu ndio anayefaa sasa. Kwasababu viongozi hawakupata cha juu zikaanza figisu. Kuchonganishwa na baadhi...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Dkt. Dugange: Viongozi Waelezeni Wananchi Mafanikio Sekta ya Afya

    Viongozi wa sekta ya afya wametakiwa kuwaeleza wananchi mafanikio yanayopatikana katika sekta ya afya ili kufahamu namna serikali ilivyoboresha huduma za afya nchini. Naibu waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Festo Dugange ametoa maagizo hayo alipokuwa...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Jinsi shangwe za teuzi za viongozi wa CCM zinavyozimika mithili ya Mshumaa nyikani

    Kwenye nchi ambazo utendaji wa taasisi hauhitaji masihara, mteule mpya hasherehekei uteuzi wake. Mteule hatumii uteule wake kuwasimanga wengine ama kutengeneza mipasuko. Mteule wa huko hutumia uteuzi wake kutafakari namna atakavyotumikia cheo kipya kwa unyenyekevu na kwa mujibu wa sheria...
  5. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kusema hapa propaganda za viongozi wa Simba kuna siku wataumbuka na sasa arobaini zao zimefika!

    Viongozi wa Simba wamekuwa wakiishi kwenye tabia za ovyo sana kwenye kuendesha klabu yao, uongo uongo umekuwa sehemu ya maisha yao kwa muda mrefu wakiwadanganya wanachama wao mambo mengi na kwa bahati mbaya ni wanachama wachache wenye akili timamu waliokuwa wanagundua ilo jambo! Viongozi hawa...
  6. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba acheni hivyo vikao na wachezaji, zungumzeni na mameneja wao

    Sijui huu ni utaratibu wa wapi unaotumiwa na Simba kufanya vikao vya kila siku na wachezaji. Hauwezi kujua shida za mchezaji kwa utaratibu huu. Tukisema siasa imezidi pale Simba kuna watu hawatuelewi. Kila mchezaji wa Simba ana manager wake anayejua kila issue ya mteja wake. Mimi nadhani klabu...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za Uteuzi wa Viongozi zinadhihirisha wazi kuna tatizo kwenye utaratibu wa "Vetting"

    Kwa muda wa miaka 3 ya utawala wa Rais Samia, kumekuwa na Teuzi na Tenguzi au kubadilishwa kwa nafasi za Kiutawala kwa wanaoteuliwa na wakati mwingine bila hata kuelezwa sababu. Samia amekuwa akiteua na kutengua au kuwarejesha watu walioondolewa kazini kwa sababu mbalimbali. Na wapo ambao...
  8. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Makabila yenye JUJU KALI, ndo yanatoa viongozi na wateuliwa wengi nchini. Nipe maoni yako

    Wasukuma, Wapemba ,Wangoni, Wanyaki, Wakurya,Wanyiramba,na Wahaya ndo Kabila zinaongoza kwa kuwa na viongozi wengi Serikalini kwa sasa. Nipe maoni yako, Je, sababu ni nini?
  9. C

    JamiiForums Tanzania Intelijensia ya Viongozi wa Simba SC ingekuwa imara ingeshalijua hili mapema na kuliwahi

    ukweli ni kwamba huko katika magrupu ya WhatsApp ndiko kulikoanzia mkakati na mpaka mnaona leo hii kuna kusuasua kwa ununuaji wa tiketi meseji nyingi tu zinatumwa huko kuhimiza mashabiki wasusie kwenda uwanjani na kiukweli kwa 60% wamefanikiwa na Kesho kwa mkapa wala hakutojaa kivile viongozi...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa dini wamejikita kushirikiana na viongozi wa chama tawala pekee? Mungu alikataza kushirikiana na wapinzani?

    Viongozi wa dini dua na sala zao zimeambatana zaidi na wana chama tawala. Na hata hao chama tawala siyo wote isipokuwa wale tu wenye madaraka. Ukishirikiana nao kisha ukapokonywa madaraka na wao wanakuacha na kuambatana na mteule mpya. Maeneo mengi viongozi wa dini wanapokwekwenda kutoa huduma...
  11. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Pitso Mosimane hana timu sasa ila anayetafutwa na viongozi Simba sio kocha bali mzungu asiye na uamuzi kwenye timu ili dili za usajili ziendelee

    Kama simba ipo siliasi kutaka kocha yupo Pitso Mosimane Rcord zake hazina mashaka. Kaongoza timu ya taifa S. A 2010-2012. Akaongoza mamelod 2012-2020. Viongozi hawana huruma na Ela za Mo dewji. Dili zao zote hufanikisha kwenye Wazungu. Aliletwa mzungu Foward kwa karibu Billion 1. Hakuingia...
  12. Shark

    JamiiForums Tanzania Masuria wa Viongozi nao walipwe ili kuwatia moyo

    Nimefurahi muswada wa kuwalipa wenza wa viongozi wa nchi. Ni uzalendo wa hali ya juu sana. Hii itachochea maendeleo makubwa ya nchi. Pia Ndugu yangu na Kaka yangu Robert Heriel Mtibeli ameshauri Watoto wa viongozi wakuu wa nchi walipwe ili kuwatia moyo pia watoto wa hao wakubwa nao wawe...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel: Viongozi wa Sekta ya Afya simamieni ubora wa Huduma za Afya Nchini

    Naibu Waziri wa Afya Dk. Godwin Mollel, amewataka Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuhakikisha wanasimamia ubora wa huduma katika Hospitali na Vituo vya kutolea Huduma za afya na kuhakikisha wanawajengea uwezo watumishi ili kuepuka changamoto na uzembe unaofanywa na baadhi ya wataalamu wa afya...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katavi: Viongozi wa Elimu watakiwa kupandisha kiwango cha uandikishaji wa Wanafunzi

    Viongozi na Wadau wa Elimu Mkoa wa Katavi wametakiwa kuhakikisha kila mtoto mwenye sifa za kuanza darasa la kwanza anaandikishwa haraka ili aweze kuanza masomo Januari 2024. Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Wilaya ya Mpanda, Jamila Yusuf wakati akimwakilishi Mkuu wa Mkoa wa Katavi wakati wa kikao...
  15. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ni yaleyale mlete mzungu. Fernando Da Cruz kocha Mbovu eti ndio kocha mpya Simba, basi Viongozi hawajitambui

    Wametafuta mzungu asiye na timu anayezulula tu mtaani wakaongea nae. Ifikie sehemu tuheshimu wazawa. Dili la viongozi kupiga Pesa ndefu kwa Mo limekaribia kutiki. Huyu kocha hajawahi kuongoza timu yoyote ile kwa miaka miwili mfululizo. Anaishiaga nusu msimu. Viongozi wanaweka siri ili watu...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu Tanzania wanafanya kazi nzuri sana wapongezwe, waombewe kwa Mungu

    Ni dhahiri na ukweli usiopingika, Dr.Samia Suluhu Hassan, Rais na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalamaTZ, na safu yake nzima ya viongozi serikalini. Wanaiongoza nchi kwa umahiri mkubwa, uwazi sana, weledi wa viwango, upendo, bidii na mapenzi ya dhati sana. Mipango yao inachochea...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Watoto wa viongozi wakuu wa nchi walipwe ili kuwatia moyo

    WATOTO WA VIONGOZI WAKUU WA NCHI WALIPWE ILI KUWATIA MOYO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nimefurahi muswada wa kuwalipa wenza wa viongozi wa nchi. Ni uzalendo wa hali ya juu sana. Hii itachochea maendeleo makubwa ya nchi. Lakini ninaishauri pia serikali, isiishie tuu hapo iende mbali...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Ukilinganisha matumizi ya viongozi na mahitaji ya wananchi yanaweza kuwa sawa na zaidi

    Tumpate mtakwimu atuwekee orodha ya matumizi ya viongozi! (bajeti) Huenda wanatumia 80% ukilinganisha na mahitaji ya wanamchi nchi nzima! Maana haiwezekani hadi Leo miaka 60 ya Uhuru tuna umeme wa mgao, barabara mbovu, Hosp zetu hazina uhakika wa huduma! Mfano; Ebu filkilia hapo ulipo sasa...
  19. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Je viongozi wengi kuwaponda vijana ni mbinu ya kuwanyong'onyeza ili waendelee kula keki ya taifa peke yao?

    Kumponda kijana, kumvunja moyo na kumtamkia kauli za kumkatia tamaa ni kushambulia uti wa mgongo wa taifa. China imepromote vijana, hadi leo ndio nchi inayoongoza kuwa na malaki ya mabilionea under 30. Tukumbuke wakina Nyerere, Salim etc walianza kung'aa wakiwa vijana. Kumeibuka kundi la...
  20. 5 Nyingi

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga na Salamu za Dini moja

    Yanga ni timu ya Wananchi wa dini zote, hii si mara yakwanza kwa kiongozi wa Yanga kutumia salamu inayotumiwa zaidi na watu wa imani moja na kuacha ku balance. https://youtu.be/Lr62C4kTXW8?si=oL3v9IoGM2dFGwDl Hii ni kero iliyowahi kuripotiwa hapa jf ila mods wakafuta uzi as if wanatupangia...
Back
Top Bottom