Ndio inaweza onekana kauli ya kushangaza lakini ndio ukweli halisia kwa asilimia nyingi tu.
"Viongozi wetu ndio picha halisi ya jamii yetu"
Kwa asilimia kubwa viongozi wetu wanawakilisha tamaduni,malezi,tabia na fikra za watu wa jamii yetu kwa kiwango kikubwa.
Vile wafikiriavyo viongozi wetu...
Chama cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA) kimejibu tuhuma kuwa kuna baadhi ya viongozi wa juu wa chama hicho wanafuja fedha za michango ya Wanachama kwa kugawana zaidi ya Tsh. Milioni 400.
Kufahamu zaidi kilichosemwa kuhusu tuhuma hizo, soma hapa - CHAKUHAWATA wawageuza...
Stendi ya Bukoba ni moja miradi ninayo amini ni midogo sana kwa mkoa kama Kagera ila ni kati ya miradi ambayo imetembelewa na watu wengi kwa mwaka huu.
Amekwenda Waziri Mkuu kuikagua, wameenda wabunge wote wa Kagera kupiga picha eneo husika,ameenda mara kadhaa Waziri Bashungwa, amekwenda...
Wakati shujaa wa Tanganyika, Chuma Cha Mjerumani akiwa Hoi Bin Taaban[POMBE] 2015-21 watanganyika waliohoji walitishiwa kufunguliwa kesi, kipindi kilikuwa zama za giza, watu waliogpa hata watsup calls.
Walihoji na wengine walisema pace maker imekata moto, walijitokeza akina Waziri namba moja na...
Habari wanajamvi.
Moja kwa moja kwenye mada.
Hivi karibuni kumezuka taharuki ambayo haikuwa na sababu ya msingi, juu ya wapi alipo Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Isdory Mpango. Makamu huyu alikuwa hajaonekana hadharani kwa takribani mwezi mzima kwa mujibu ya vyanzo vya habari ikiwamo...
Na ili Kutuzuga zaidi Waafrika anatafutwa Mtu kisha anazusha Jambo fulani la taharuki hasa la Ugonjwa au Kifo ili Waafrika tuweke huko Akili zetu na tusijue kuwa kutokana na nchi za Afrika kudaiwa mno na Wazungu Wanaotudai sasa hata Viongozi wetu Waandamizi nao wakienda Ulaya Wanakamatwa mpaka...
Ujumbe wangu ni huo fanyeni utafiti, wachawi na wafuasi wa mashetani hawana utu na ubinadamu na mioyo yao haina huruma. Mbele ya mchawi binadamu yeyote ni chakula chao.
Wenye macho ya rohoni na utambuzi mtaongezea mengine.
Ni hayo tu
(Kwa hisani ya Shirika la Utangaji la Uingereza - BBC)
Viongozi wote walio madarakani kuongoza nchi zao,taasisi na mashirika mbali mbali ya kiserikali hupewa ulinzi .
Hata hivyo inafahamika kwamba marais na wakuu wa serikali ndio kitengo cha watu wanaopewa ulinzi wa juu kabisa kuliko wote ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko katika Mji wa Katesh Wilaya ya Hanang Mkoa wa Manyara na Kuzungumza na Wananchi Katika Uwanja wa Shule ya Msingi Katesh.
https://www.youtube.com/watch?v=5Glwj_n88M8
Rais Samia...
amiri jeshi mkuu
ccm
hanang
huzuni
jeshi
kipaumbele
kuongea
kuzungumza
manyara
mimi
mji
mkoa
mkuu
mtu
peke yangu
rais
rais samia
samia
sare
shughuli
viongoziviongozi wa ccm
vitu
wahanga
wananchi
yangu
ziara
Hamasa miongoni mwa nchi za kiislamu kuhusu vita vinavyoendelea Gaza zimepanda zaidi.
Viongozi watatu ndio waliozungumza kwa hasira kwenye mkutano wa mazingira unaoendelea huko Dubai.
Raisi Erdogan amesema vita vikimalizika Benjamin Netanyahu itabidi ashtakiwe kwenye mahakama ya uhalifu wa...
Viongozi wa serikali waliokwenda Hanang hakuna kazi serious waliyokwenda kufanya; Jeshi limetekeleza wajibu wakuokoa Raia viongozi wametekeleza wajibu wakupigwa picha na vyombo vya habari.
Picha za viongozi zinazosambaa zimezima kabisa coverage ya uharibifu uliofanyika. Naamini wapo viongozi...
Wakati wa majanga kumekuwepo na kasumba viongozi kutangulia na makamera yao wakielekeza wataalam namna ya kufanya uokoaji!
Hii haina afya kabisa!
Kwa waliosomea elimu ya majanga watanielewa!
Wakati wa majanga ingekuwa vyema zaidi wataalam wetu wangepewa nafasi ya kuonesha utaalam wao...
Sijasema wakubwa wasiende ila napenda watakaokuwa front ndio watangulie plus Mahitaji ya Waathirika badala ya kwenda kuleta taharuki nyingine.
Huko PM yupo
Mkuu wa Majeshi yupo
Mawaziri wapo
Na wengine wanaendelea kumikinika ,Sasa sijajua Kama Kasi ya wakubwa kumikinika inaendana na Kasi ya...
Kwa mfano kukitokea Kiongozi Mwandamizi yoyote akatudanganya Watanzania Kimakusudi kuwa Kiongozi fulani Hajafa au Haumwi na mzima wa Afya anaendelea na Majukumu yake Ofisini huyu GENTAMYCINE sipendekezi tu aishiye Kunyongwa hadharani bali kama ni Mwanaume basi Ahasiwe kabisa na akiwa ni Mwanamke...
Walianza leta sababu za ukame na mabwawa kukauka,Leo hii mvua Hadi za mafuriko ila mgao is the worst,wikiend yote mmekata nkadhani leo jumatatu mtatuachie tufanye kazi Ili tulipe Kodi mueze jiendesha ila mmekata tena.
Tanesco mnafanya nn ofisini?Shame on you,let me remind you hampo hapo kuchukua...
Kwa takriban miaka 5 kumekuwa na ahadi kutoka kwa Mamlaka mbalimbali juu ya kuanza kwa huduma za usafiri wa Treni yenye Kasi zaidi (SGR) lakini utekelezaji wake umekuwa na mabadiliko ya muda mara kwa mara yanayotajwa kusababishwa na kutokamilika kwa baadhi ya Miundombinu.
Hapa kuna mtiririko wa...
Salaam wana JF,
Niende direct kwenye point. Tanzania imepeleka watu 736 katika mkutano wa mabadiliko tabia ya nchi huko Dubai #Cop28
Msafara ambao unajumiasha viongozi,wafanyabiashara,makatibu,wasaidizi nk.. Je nani anagharamia tiketi? Maradhi? Posho? Za kwenda na kurudi mpaka mkutano huo...
TUZO ZA PONGEZI KWA VIONGOZI WETU WA UWT TAIFA
Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) na Makamu Mwenyekiti wa UWT Ndg. Zainab Khamis Shomari (MNEC) tarehe 01 Disemba 2023 wamepokea Tuzo za Pongezi kutoka kwa Viongozi wa UWT Mkoa wa Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya kuwapongeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.