Intelijensia ya Viongozi wa Simba SC ingekuwa imara ingeshalijua hili mapema na kuliwahi

Cognizant

JF-Expert Member
Aug 13, 2022
491
1,056
ukweli ni kwamba huko katika magrupu ya WhatsApp ndiko kulikoanzia mkakati na mpaka mnaona leo hii kuna kusuasua kwa ununuaji wa tiketi

meseji nyingi tu zinatumwa huko kuhimiza mashabiki wasusie kwenda uwanjani na kiukweli kwa 60% wamefanikiwa na Kesho kwa mkapa wala hakutojaa kivile

viongozi wa simba sc laiti wangekuwa na akili hili wangeshalijua kitambo na kuliwahi ila wamekumbuka shuka wakati kumeshakucha

na hata wafuatiliaji wa mambo ndani ya simba sc tunayajua hadi na matokeo ya kesho japo kuna mzigo wa maana umewekwa na tajiri ili kumhonga pilato kwa kuhofia kuwa kama simba sc ikifungwa kesho moto mkubwa utawaka na safari hii hata tajiri nae ataambiwa bila aibu kuwa kachokwa na aachie timu
 
Shida iko palepale.
 
Attachments

  • IMG-20231123-WA0005.jpg
    IMG-20231123-WA0005.jpg
    50.8 KB · Views: 1
Nimeshuhudia mashabiki wa ovyo duniani, ila mashabiki wa Simba ni mashabiki wa ovyo zaidi duniani,

Arsenal kateseka ila hatukuwahi ona akisusia uwanjani,

Yanga wenyewe hapa bongo kateseka sana ila hajawahi susa, yan ninyi kipigo kimoja tu mnaanza kuhimizana kutoenda uwanjani? What kind of trash fans are you? Hamtaki hata mfungwe game moja? Hamuwez kuwa team kubwa kwa style hii
 
Ukiona ujue waliaminishwa ukubwa hewa

Shida ya Simba ni kuishi kwenye maisha ya uongo
 
Nimeshuhudia mashabiki wa ovyo duniani, ila mashabiki wa Simba ni mashabiki wa ovyo zaidi duniani,

Arsenal kateseka ila hatukuwahi ona akisusia uwanjani,

Yanga wenyewe hapa bongo kateseka sana ila hajawahi susa, yan ninyi kipigo kimoja tu mnaanza kuhimizana kutoenda uwanjani? What kind of trash fans are you? Hamtaki hata mfungwe game moja? Hamuwez kuwa team kubwa kwa style hii
Tulia wew hujui chochote. Yanga waliteseka wakavumilia kwakuwa hali yao ya uchumi hadi mtoto mdogo aliijua. Arsenal sio Tanzania. Sisi tunafikisha ujumbe kwa viongozi wetu kwa namna hii
 
ukweli ni kwamba huko katika magrupu ya WhatsApp ndiko kulikoanzia mkakati na mpaka mnaona leo hii kuna kusuasua kwa ununuaji wa tiketi

meseji nyingi tu zinatumwa huko kuhimiza mashabiki wasusie kwenda uwanjani na kiukweli kwa 60% wamefanikiwa na Kesho kwa mkapa wala hakutojaa kivile

viongozi wa simba sc laiti wangekuwa na akili hili wangeshalijua kitambo na kuliwahi ila wamekumbuka shuka wakati kumeshakucha

na hata wafuatiliaji wa mambo ndani ya simba sc tunayajua hadi na matokeo ya kesho japo kuna mzigo wa maana umewekwa na tajiri ili kumhonga pilato kwa kuhofia kuwa kama simba sc ikifungwa kesho moto mkubwa utawaka na safari hii hata tajiri nae ataambiwa bila aibu kuwa kachokwa na aachie timu

Viongozi ndio wanataka kuiua Simba. Maana hawana vision ya miaka mitano ijayo.
 
Nimeshuhudia mashabiki wa ovyo duniani, ila mashabiki wa Simba ni mashabiki wa ovyo zaidi duniani,

Arsenal kateseka ila hatukuwahi ona akisusia uwanjani,

Yanga wenyewe hapa bongo kateseka sana ila hajawahi susa, yan ninyi kipigo kimoja tu mnaanza kuhimizana kutoenda uwanjani? What kind of trash fans are you? Hamtaki hata mfungwe game moja? Hamuwez kuwa team kubwa kwa style hii
Ni huyo huyo tuu sio wote...ni maneno tuu ya mtandaoni...ni wanaume wachache wa hovyo wenye tabia za kike kususa susa ndo hawataenda...yani ususe kwenda uwananjani mbona wao walipugwa 5 kwa 0 hajawahi acha kwenda kiwanjani
 
Ni upumbavu na ushamba kususia kwenda uwanjani kwa sababu ya kufungwa na Yanga. Hakuna timu isiyofungwa hapa duniani. Washabiki wa kweli wanakuwa na timu yao kwa nyakati zote.
 
viongozi na wanachama wa Simba ni wapumbavu na upumbavu wao unaleta maumivu kwa simba. Ili timu ikae sawa inabidi wajue kitu gani wanachohitaji mashabiki wa Simba. Timu msimu iliopita ilikaa na kocha msaidizi mpaka duru la kwanza linaisha, haikuwa na kocha wa makipa wala viungo na safari hii ni hivyohivyo kama wanashindwa mambo madogo wako pale kufanya nini?
 
Nimeshuhudia mashabiki wa ovyo duniani, ila mashabiki wa Simba ni mashabiki wa ovyo zaidi duniani,

Arsenal kateseka ila hatukuwahi ona akisusia uwanjani,

Yanga wenyewe hapa bongo kateseka sana ila hajawahi susa, yan ninyi kipigo kimoja tu mnaanza kuhimizana kutoenda uwanjani? What kind of trash fans are you? Hamtaki hata mfungwe game moja? Hamuwez kuwa team kubwa kwa style hii
Ujumbe unafikishwa kwa viongoz kwa njia nyingi pia unachagua njia yenye nguvu.

Simba kwasasa kiuchumi yupo vizur kavuna pesa supercup na Ana wadhamin iweje utuletee wachezaj wa kuokoteza?
Pesa zinaenda wapi?
Watu washatoa maoni juu ya namba 6 original pamoja na beki za pembeni ajab wao wanaenda kuleta mawinga Tena wabovu wabovu .

Watu wanamind Sabab Simba inajiweza tofaut na kipind alichopitia yanga ambayo haikua na chochote kiuchumi.

Club kubwa unaleta wachezaji nane wapya kwenye hao nane wawili ndio angalau.

Kwann wasinunue wachezaj wachache lakin wa viwango.
Nunua beki mbili za pembeni ,nunua namba 6 nunua striker mmoja jumla wanne Ila vyuma kweli kweli na sio kutuletea wale wa kuokota Rwanda huku ukila chochote kwenye mishahara yao
 
Mwambie ajue sio analeta story za arsenal na man u....aache ushamba
 
Viongozi walistuliwa hapa hakuna timu wakaufyata ..NI yaleyale "kumekucha kajisaidie nje wao wamedanganywa kwa giza la panzia wakayajaza ndani " saivi wanatuletea "marehemu kufa na mavuzi ni uzembe wa ndugu " wakati super rungu shimia
 
Back
Top Bottom