Niliwahi kusema hapa propaganda za viongozi wa Simba kuna siku wataumbuka na sasa arobaini zao zimefika!

Majok majok

JF-Expert Member
Aug 3, 2023
618
1,570
Viongozi wa Simba wamekuwa wakiishi kwenye tabia za ovyo sana kwenye kuendesha klabu yao, uongo uongo umekuwa sehemu ya maisha yao kwa muda mrefu wakiwadanganya wanachama wao mambo mengi na kwa bahati mbaya ni wanachama wachache wenye akili timamu waliokuwa wanagundua ilo jambo!

Viongozi hawa wamekuwa magwiji wa kupika taarifa zao nyingi kuanzia kwenye mikataba wanayoingia, usajili, na ata namna wanavyoiongoza iyo klabu,

Uhalisia wa mikataba ya udhamini wanayoingia na makampuni mengi imekuwa ni ya uongo uongo wamekuwa wakiongeza sifuri ili waonekane wao wamewapiga bao wenzao wa upande wa pili, Niliwai kusema uhalisia wa mikataba hii ya hivi vilabu utaonekana kwenye shughuli nzima za uendeshaji wa hivi vilabu na sio vinginevyo,
Leo hii Simba inadaiwa bonus walizowahaidi wachezaji kwenye mechi za AFL mpaka Leo awajalipwa na michuano yenyewe ilishakwisha kitambo, Kama kweli wanazo pesa za m.bet kwanini wasiazime fungu kule wakawalipa wachezaji alafu wakilipwa za AFL wanazodai awajapewa wakazirudisha kule walikoazima?

Na siwezi kuamini kwamba awa viongozi ni kweli zile pesa awajapewa mpaka Leo, Ile michuano ilikuwa na udhamini wa uhakika na sio wa kubabaisha Kila timu ilipewa fungu lake ililostahili ivyo viongozi bado wanaendelea kufanya drama zao Kama kawaida na wachezaji wanayo haki ya kufanya mgomo baridi wakimchekea nyani watavuna mabua!

Unasema unao msuli wa fedha kwa udhamini mnono lakini ukienda sokoni kununua wachezaji unawaleta kina Onana, kina ayoubu, wakina saidoo, na wenzako wanafanya usajili usiokuwa na makandokando wanaleta vyuma vya maana matokeo yake unaendelea kushuka kiwango Kila siku iitwayo Leo!

Ayo yote Yanachangiwa pakubwa na propaganda za viongozi awa maana wanachama wanachoaminishwa na wanachokwenda kukutana nacho uwanjani ni vitu viwili tofauti, uwezi kuleta siasa kwenye mambo ya mpira utakwama tu linakuwa ni suala la muda kuumbuka!

Na Sasa AROBAINI zao zimefika ndio Aya yanayoendelea, Kuna wanachama walikuwaga wanahoji lakini walikuwa wanaonekana sio wenzao wengine walikuwa wanazuiwa kuhojiwa kwenye vyombo vya habari na wale machawa wa viongozi kina kisugu na kundi lake Sasa hivi awaonekani wamejificha kusikojulikana!

Ndio maana yanga ataendelea kupiga hatua kwenda mbele na kuwaachia vumbi na Simba hatua zake zitaendelea kurudi nyuma kwakuwa wamechagua uongo ndio kimbilio lao badala ya uhalisia, wanachama wanataka waone matunda ya uwekezaji kiuhalisia na sio siasa!

Simba ilivyo kwa sasa ni Kama vile akuna mwekezaji wanazidiwa na yanga mbali ambayo bado aijapata mwekezaji lakini mwendo wao ni super kweli kweli na vipi wakikamilisha zoezi la transformation ndio watakuwa awashikiki kabisa!

Viongozi wa Simba mbadilike Dunia ya Sasa kwenye mpira aitaki siasa ukiendekeza siasa timu yenu mtaikuta inashuka daraja Kama sio kuwa Kama Ruvu shooting iliyochangamka!!!
 
1. Bajeti ya simba inabadilika km teuzi za mama abdul
Mwanzo waliweka bajeti Tzs billion 12, baada ya yanga kutangaza bajeti ya Tzs billion 20, simba wakabadili bajeti na kuwa Tzs billion 25 ilimradi waonekane wamewazidi yanga.

2. Na mkataba wa m-bet mwanzo ulifichwa baada ya yanga na sportpesa kutanganza billion 15, simba nao wakaongeza sifuri ili ionekane wameizidi yanga.

3. Manzoki saga

Mangungu (51%) na MO (49%) ni wanakwama pakubwa
 
Viongozi wa Simba wamekuwa wakiishi kwenye tabia za ovyo sana kwenye kuendesha klabu yao, uongo uongo umekuwa sehemu ya maisha yao kwa muda mrefu wakiwadanganya wanachama wao mambo mengi na kwa bahati mbaya ni wanachama wachache wenye akili timamu waliokuwa wanagundua ilo jambo!

Viongozi awa wamekuwa magwiji wa kupika taarifa zao nyingi kuanzia kwenye mikataba wanayoingia, usajili, na ata namna wanavyoiongoza iyo klabu,

Uhalisia wa mikataba ya udhamini wanayoingia na makampuni mengi imekuwa ni ya uongo uongo wamekuwa wakiongeza sifuri ili waonekane wao wamewapiga bao wenzao wa upande wa pili, Niliwai kusema uhalisia wa mikataba hii ya hivi vilabu utaonekana kwenye shughuli nzima za uendeshaji wa hivi vilabu na sio vinginevyo,
Leo hii Simba inadaiwa bonus walizowahaidi wachezaji kwenye mechi za AFL mpaka Leo awajalipwa na michuano yenyewe ilishakwisha kitambo, Kama kweli wanazo pesa za m.bet kwanini wasiazime fungu kule wakawalipa wachezaji alafu wakilipwa za AFL wanazodai awajapewa wakazirudisha kule walikoazima?

Na siwezi kuamini kwamba awa viongozi ni kweli zile pesa awajapewa mpaka Leo, Ile michuano ilikuwa na udhamini wa uhakika na sio wa kubabaisha Kila timu ilipewa fungu lake ililostahili ivyo viongozi bado wanaendelea kufanya drama zao Kama kawaida na wachezaji wanayo haki ya kufanya mgomo baridi wakimchekea nyani watavuna mabua!

Unasema unao msuli wa fedha kwa udhamini mnono lakini ukienda sokoni kununua wachezaji unawaleta kina Onana, kina ayoubu, wakina saidoo, na wenzako wanafanya usajili usiokuwa na makandokando wanaleta vyuma vya maana matokeo yake unaendelea kushuka kiwango Kila siku iitwayo Leo!

Ayo yote Yanachangiwa pakubwa na propaganda za viongozi awa maana wanachama wanachoaminishwa na wanachokwenda kukutana nacho uwanjani ni vitu viwili tofauti, uwezi kuleta siasa kwenye mambo ya mpira utakwama tu linakuwa ni suala la muda kuumbuka!

Na Sasa AROBAINI zao zimefika ndio Aya yanayoendelea, Kuna wanachama walikuwaga wanahoji lakini walikuwa wanaonekana sio wenzao wengine walikuwa wanazuiwa kuhojiwa kwenye vyombo vya habari na wale machawa wa viongozi kina kisugu na kundi lake Sasa hivi awaonekani wamejificha kusikojulikana!

Ndio maana yanga ataendelea kupiga hatua kwenda mbele na kuwaachia vumbi na Simba hatua zake zitaendelea kurudi nyuma kwakuwa wamechagua uongo ndio kimbilio lao badala ya uhalisia, wanachama wanataka waone matunda ya uwekezaji kiuhalisia na sio siasa!

Simba ilivyo kwa sasa ni Kama vile akuna mwekezaji wanazidiwa na yanga mbali ambayo bado aijapata mwekezaji lakini mwendo wao ni super kweli kweli na vipi wakikamilisha zoezi la transformation ndio watakuwa awashikiki kabisa!

Viongozi wa Simba mbadilike Dunia ya Sasa kwenye mpira aitaki siasa ukiendekeza siasa timu yenu mtaikuta inashuka daraja Kama sio kuwa Kama Ruvu shooting iliyochangamka!!!
Umeongea uhalisia wa mambo, ngoja wenye timu yao waendelee kupinga.
 
Kudhani timu inayolipa mshahara wa kocha million 88 haina hela ni Upumbavu.
Usikurupuke ndio maana tunawaambia timu yenu Kuna siku itashuka daraja kwa maana propaganda imekuwa tabia yenu, una uhakika uyo kocha analipwa iyo pesa? Uwezo wa kumlipa kocha iyo pesa akuna kaulize vizuri analipwa shingapi kabla ujakurupuka hapa!
 
Viongozi wa Simba wamekuwa wakiishi kwenye tabia za ovyo sana kwenye kuendesha klabu yao, uongo uongo umekuwa sehemu ya maisha yao kwa muda mrefu wakiwadanganya wanachama wao mambo mengi na kwa bahati mbaya ni wanachama wachache wenye akili timamu waliokuwa wanagundua ilo jambo!

Viongozi awa wamekuwa magwiji wa kupika taarifa zao nyingi kuanzia kwenye mikataba wanayoingia, usajili, na ata namna wanavyoiongoza iyo klabu,

Uhalisia wa mikataba ya udhamini wanayoingia na makampuni mengi imekuwa ni ya uongo uongo wamekuwa wakiongeza sifuri ili waonekane wao wamewapiga bao wenzao wa upande wa pili, Niliwai kusema uhalisia wa mikataba hii ya hivi vilabu utaonekana kwenye shughuli nzima za uendeshaji wa hivi vilabu na sio vinginevyo,
Leo hii Simba inadaiwa bonus walizowahaidi wachezaji kwenye mechi za AFL mpaka Leo awajalipwa na michuano yenyewe ilishakwisha kitambo, Kama kweli wanazo pesa za m.bet kwanini wasiazime fungu kule wakawalipa wachezaji alafu wakilipwa za AFL wanazodai awajapewa wakazirudisha kule walikoazima?

Na siwezi kuamini kwamba awa viongozi ni kweli zile pesa awajapewa mpaka Leo, Ile michuano ilikuwa na udhamini wa uhakika na sio wa kubabaisha Kila timu ilipewa fungu lake ililostahili ivyo viongozi bado wanaendelea kufanya drama zao Kama kawaida na wachezaji wanayo haki ya kufanya mgomo baridi wakimchekea nyani watavuna mabua!

Unasema unao msuli wa fedha kwa udhamini mnono lakini ukienda sokoni kununua wachezaji unawaleta kina Onana, kina ayoubu, wakina saidoo, na wenzako wanafanya usajili usiokuwa na makandokando wanaleta vyuma vya maana matokeo yake unaendelea kushuka kiwango Kila siku iitwayo Leo!

Ayo yote Yanachangiwa pakubwa na propaganda za viongozi awa maana wanachama wanachoaminishwa na wanachokwenda kukutana nacho uwanjani ni vitu viwili tofauti, uwezi kuleta siasa kwenye mambo ya mpira utakwama tu linakuwa ni suala la muda kuumbuka!

Na Sasa AROBAINI zao zimefika ndio Aya yanayoendelea, Kuna wanachama walikuwaga wanahoji lakini walikuwa wanaonekana sio wenzao wengine walikuwa wanazuiwa kuhojiwa kwenye vyombo vya habari na wale machawa wa viongozi kina kisugu na kundi lake Sasa hivi awaonekani wamejificha kusikojulikana!

Ndio maana yanga ataendelea kupiga hatua kwenda mbele na kuwaachia vumbi na Simba hatua zake zitaendelea kurudi nyuma kwakuwa wamechagua uongo ndio kimbilio lao badala ya uhalisia, wanachama wanataka waone matunda ya uwekezaji kiuhalisia na sio siasa!

Simba ilivyo kwa sasa ni Kama vile akuna mwekezaji wanazidiwa na yanga mbali ambayo bado aijapata mwekezaji lakini mwendo wao ni super kweli kweli na vipi wakikamilisha zoezi la transformation ndio watakuwa awashikiki kabisa!

Viongozi wa Simba mbadilike Dunia ya Sasa kwenye mpira aitaki siasa ukiendekeza siasa timu yenu mtaikuta inashuka daraja Kama sio kuwa Kama Ruvu shooting iliyochangamka!!!
Mbunifu wa ubabaishaji huu ni Mo Dewji.
 
Back
Top Bottom