Pitso Mosimane hana timu sasa ila anayetafutwa na viongozi Simba sio kocha bali mzungu asiye na uamuzi kwenye timu ili dili za usajili ziendelee

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,657
2,252
Kama simba ipo siliasi kutaka kocha yupo Pitso Mosimane
Rcord zake hazina mashaka. Kaongoza timu ya taifa S. A 2010-2012.
Akaongoza mamelod 2012-2020.
Screenshot_2023_1121_084626.png

Viongozi hawana huruma na Ela za Mo dewji.
Dili zao zote hufanikisha kwenye Wazungu. Aliletwa mzungu Foward kwa karibu Billion 1. Hakuingia kikosini na kocha akaondoka zake.
Zolan kadumu Simba miezi 1 tu kasepa. Sifa iliyomleta simba kuwa kocha ni mzungu.
Robertinyo pia kaja Simba sababu ni mzungu. Hakuwa mkubwa kama simba ilivyo.

Juzi kaja kipa mwenye thamani ya € milion 1.3 zaidi ya billion 3 Tanzania shilingi. Ayoub Linkel.
Screenshot_2023_1121_102558.png

Ila wanajifanya hawana uwezo na kocha mzuri

Kama hawana ela ya kuleta kocha Apewe mzawa mwenye uwezo tu. Kama Sio Mgunda Basi MOROCO. Hawa wameonesha uwezo kimataifa vizuri sana.

Zisiwe takataka.

Ukiacha hao kuna mwamba moja tu mzungu wa Asec ana consistance nzuri sana. Julien Chevalier

Screenshot_2023_1121_101916.png

Licha asec kuuza wachezaji Potential kabisa lakini bado hakuna kinachoharibika toka Ameingia kikosini mwaka 2019 kama kocha mkuu.

Simba sasa inahitaji kocha ambaye atakuwa bora kama Meneger.
Sasa inapoteza fedha nyingi kwa pigaji za kisajili kwa kuwa na makocha wasiojielewa.

Kama shida ni bajeti basi Wamuachie Mgunda amalizie msimu wajipange na kocha wa uhakika. Naamini thamani ya Mgunda sasa haizidi milion 100
 
Mna timu wa kumshawishi akubali kuwa kocha? Kumbuka nae hataki kualibu CV yake ni kama ilivyo kwa gadiora sasa hivi kutokana na CV yake anataka timu ambayo ni ready-made yeye aje kubeba makombe tu. Hata ivyo mnaweza kumudu mshahara wake?
 
Kama simba ipo siliasi kutaka kocha yupo Pitso Mosimane
Rcord zake hazina mashaka. Kaongoza timu ya taifa S. A 2010-2012.
Akaongoza mamelod 2012-2020.
View attachment 2820478

Viongozi hawana huruma na Ela za Mo dewji.
Dili zao zote hufanikisha kwenye Wazungu. Aliletwa mzungu Foward kwa karibu Billion 1. Hakuingia kikosini na kocha akaondoka zake.
Zolan kadumu Simba miezi 1 tu kasepa. Sifa iliyomleta simba kuwa kocha ni mzungu.
Robertinyo pia kaja Simba sababu ni mzungu. Hakuwa mkubwa kama simba ilivyo.

Juzi kaja kipa mwenye thamani ya € milion 1.3 zaidi ya billion 3 Tanzania shilingi. Ayoub Linkel.
View attachment 2820520

Ila wanajifanya hawana uwezo na kocha mzuri

Kama hawana ela ya kuleta kocha Apewe mzawa mwenye uwezo tu. Kama Sio Mgunda Basi MOROCO. Hawa wameonesha uwezo kimataifa vizuri sana.

Zisiwe takataka.

Ukiacha hao kuna mwamba moja tu mzungu wa Asec ana consistance nzuri sana. Julien Chevalier

View attachment 2820497

Licha asec kuuza wachezaji Potential kabisa lakini bado hakuna kinachoharibika toka Ameingia kikosini mwaka 2019 kama kocha mkuu.

Simba sasa inahitaji kocha ambaye atakuwa bora kama Meneger.
Sasa inapoteza fedha nyingi kwa pigaji za kisajili kwa kuwa na makocha wasiojielewa.

Kama shida ni bajeti basi Wamuachie Mgunda amalizie msimu wajipange na kocha wa uhakika. Naamini thamani ya Mgunda sasa haizidi milion 100

Cadena na Matola unaambiwa wameifanya Simba kuwa mpya nenda uwanjani utaona
Nimeota simba wamewapiga ASEC bao 5 bila
 
Unaujua mshahara wake au unataka kufurahisha genge tu?
 
Simba mmekuwa wapumbavu kupitiliza!! Mshahara wake ni 100+m, wakati huo mnahenyeshwa kulipa vijibonasa vya wachezaji 😅😅
 
Kama simba ipo siliasi kutaka kocha yupo Pitso Mosimane
Rcord zake hazina mashaka. Kaongoza timu ya taifa S. A 2010-2012.
Akaongoza mamelod 2012-2020.
View attachment 2820478

Viongozi hawana huruma na Ela za Mo dewji.
Dili zao zote hufanikisha kwenye Wazungu. Aliletwa mzungu Foward kwa karibu Billion 1. Hakuingia kikosini na kocha akaondoka zake.
Zolan kadumu Simba miezi 1 tu kasepa. Sifa iliyomleta simba kuwa kocha ni mzungu.
Robertinyo pia kaja Simba sababu ni mzungu. Hakuwa mkubwa kama simba ilivyo.

Juzi kaja kipa mwenye thamani ya € milion 1.3 zaidi ya billion 3 Tanzania shilingi. Ayoub Linkel.
View attachment 2820520

Ila wanajifanya hawana uwezo na kocha mzuri

Kama hawana ela ya kuleta kocha Apewe mzawa mwenye uwezo tu. Kama Sio Mgunda Basi MOROCO. Hawa wameonesha uwezo kimataifa vizuri sana.

Zisiwe takataka.

Ukiacha hao kuna mwamba moja tu mzungu wa Asec ana consistance nzuri sana. Julien Chevalier

View attachment 2820497

Licha asec kuuza wachezaji Potential kabisa lakini bado hakuna kinachoharibika toka Ameingia kikosini mwaka 2019 kama kocha mkuu.

Simba sasa inahitaji kocha ambaye atakuwa bora kama Meneger.
Sasa inapoteza fedha nyingi kwa pigaji za kisajili kwa kuwa na makocha wasiojielewa.

Kama shida ni bajeti basi Wamuachie Mgunda amalizie msimu wajipange na kocha wa uhakika. Naamini thamani ya Mgunda sasa haizidi milion 100
Tatizo la Tz na pengine Africa kwa upana wake siyo coaches bali ni upigaji na ujanja ujanja usiokuwa na tija kwa maendeleo ya soccer na vilabu unaofugwa na kulindwa na viongozi wa soccer na vilabu.
 
Pitso Mosimane ali-sign mkataba na Al Ahly SC mwaka 2020 ambao alikuwa analipwa monthly salary - US$120,000 (US$2.9 million for two years). Bonus ya kushinda ligi kuu ya misri au ligi ya mabingwa (CAFCL) - US$480,000.

Pitso pia alikuwa na kipengele endapo Al Ahly SC wangevunja mkabata wake walipaswa kumlipa mshahara wa miezi 4 yaani - US$720,000. Pitso ana technical staffs wake 4 ambao ni non-negotiable with 10% increments every year.

Je, Simba SC inaweza kumudu gharama ya US$160,000 kwa mwezi kumlipa Pitso pamoja na wasaidizi wake 4? Technical team yake huwa wanalipwaga zaidi ya US$10,000/monthly kila mmoja. Kaizer Chiefs walimshindwa kabla ya kwenda Al Ahli.
 
Back
Top Bottom