viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Salamu za rambirambi kutoka kwa viongozi, ofisi na watu mashuhuri Kufuatia kifo cha Rais Magufuli

    WAZIRI MKUU WA UINGEREZA Boris Johnson ameandika kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter kusikitishwa na taarifa za kifo cha Dkt. John Magufuli RAIS WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA Dkt. Akinwumi "Akin" Adesina ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Rais Magufuli kupitia ukurasa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Viongozi wa dini hatupingi chanjo ya Corona wala Sayansi bali tunataka tujiridhishe kwanza

    Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima ambaye pia ni Mbunge wa Kawe amesema viongozi wa dini hawapingi chanjo ya Corona bali wanashangazwa kwa namna chanjo hiyo ilivyotafitiwa kwa muda mfupi sana Askofu Gwajima amesema watakubali kupokea chanjo endapo patafanyika utafiti wa kutosha utakaobainisha...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi wateule waliomjadili Kiongozi Mkuu vibaya kwa siri watenguliwe ni wanafiki

    Taifa limepita wakati mgumu sana wa maneno yasiyo na ukweli ndani yake "minong'ono". Wakati hii minong'ono inaendelea nilitegemea na ninategemea Wataalamu wetu wa intelligence walijielekeza zaidi malangoni pa wateule kusikia misimamo na maoni yao kuhusu mjadala uliokuwa unaendelea mitandaoni...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Je, viongozi wa Serikali wanaweza kutumia ukimya wa Rais kupoka raslimali za taifa?

    Kuna uwezekano mkubwa baadhi ya viongozi hasa wakuu mbalimbali wa taasisi, idara na vitengo, nk. wakatumia huu ukimya wa Rais kupora mali kwa kisingizio cha kutumwa na Rais ama wakapora kinyume cha sheria kwa kuwa Rais kakaa kimya. Pia kuna uwezekano baadhi ya viongozi wenye kashfa wakatumia...
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mawazo ya viongozi wetu juu ya Covid-19

    UNPATRIOTIC! Mng'ang'ana hawajatangaza Corona ipo, Kwani Corona ni kama mwewe au mwizi unaweza kuifukuza kwa mayowe!? Eti hawajatoa takwimu, Hivi tukifanya sensa kila asubuhi nani anaumwa na kutaja kama mafungulio ya wafungwa ndio wanapona? Tukitaja waliopoteza Maisha hata wa magonjwa mengine...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Tunawafuatilia wanaopotosha na kuzushia viongozi vifo

    Waziri wa Katiba na Sheria amesema wanawafuatilia wote wanaozushia watu vifo. Na hatua kali zitachukuliwa dhidi yao. Mpaka sasa kuna baadhi wameanza kushughulikiwa. Mh waziri hata watoto wa vigogo utawachukulia hatua?
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Katika vitu ninavyopata shida kuviamini ni utetezi wa mwanaume anapochelewa kurudi na utetezi wa viongozi wa CCM

    Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Godwini Mollel amesema kwamba Corona kwa Tanzania imedhibitiwa, Serikali imetumia Bill. 28 kwaajili ya kununua vifaa vya Maabara kwaajili ya kupambana dhidi ya Corona. "Ugonjwa huu wa Corona kwa kawaida hauonekani kwa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nikiangalia picha za viongozi wa serikali mashambani kwao weekend, nakumbuka mashamba ya Mbowe yaliyovamiwa na wanasiasa wakaua mimea isiyo na hatia

    Binadamu ana tabia yakuona kitu flani kikamkumbusha Jambo fUlani la aina hiyo lililowahi kutokea miaka ya nyuma. Leo hii nikawaida kuona wanasiasa na baadhi ya viongozi wakisiasa wakipiga picha na kuposti wakiwa kwenye mashamba yao. Picha hizi unanifanya nijiulize hivi akienda mtu akaondoa...
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga ina tatizo la kocha, wachezaji au viongozi?

    Timu haifanyi vizuri, ushindi mwembamba, sare nyingi na sasa imefungwa, tena kiuhalisia ilipaswa iwe imefungwa na kagera sugar pia. Tatizo la Yanga ni kocha, wachezaji, wafadhili au viongozi wa Yanga?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaofaidi keki ya taifa ni nani hasa kati ya Wananchi na Viongozi?

    Nazungumzia kutoka maisha ya mtaani kabisa kule kwa akina bwashee Mrangi mgonga kokoto. Hii keki ya taifa anayeifaidi ni nani hasa? Huku chini tozo, ushuru na kodi ni nyingi sana na labda hizi ndio zinatengeneza hiyo keki, je kuna mrejesho wowote wa keki kwa hawa waponda kokoto wasiokwea V 8...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kuibuka kwa wananchi wakiwa na Mabango ya kero mbele ya Rais Magufuli. Je, ni Kushindwa kwa viongozi wa kisiasa na watendaji mbalimbali?

    Kumekuwa na tabia iliyozoeleka Sasa ya wanainchi wakiwa na Mabango ya kero mbalimbali mbele ya Rais Magufuli. Hii ni Ktk ziara zake mbalimbali za kuwatumikia wanainchi. Je, hali hii inamaanisha ni Kushindwa kwa viongozi wa kisiasa/ wawakilishi na watendaji/ watumishi wa umma katika kazi zao?
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Je, amri wanazotoa Wakuu wa Mikoa na viongozi wengine huwa zinadumu au wakiondoka nazo zinafutika?

    Paulo Makonda alipokuwa RC wa Dar es salaam aliwahi kuwapiga marufuku wale wasio na kazi kutoka Mikoa mingine kufika kwenye jiji hilo (sasa ni jiji la Ilala) , na kwa kweli wengi walitii amri ile na kuendelea kubaki kwenye vijiji vyao. Sasa hoja yangu ni kutaka kujua hatima ya amri ile "halali"...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Wimbi la viongozi kwenda Wasafi FM badala ya TBC

    Siku za hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa sana la viongozi wa kiserikali kushiriki mahojiano mbalimbali pale Wasafi FM. Yaani ni kama wanapishana vile, ukiangalia namba ya viongozi hawa hawa kwenda TBC FM ni kama haiko kabisa. Je, huku si kukosa uzalendo?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mjadala kuhusu asili za viongozi wetu una tija kwa Tanzania ijayo?

    Mjadala mkubwa umeibuka kuhusu asili za viongozi waandamizi wa sekta mbalimbali huku hoja zikianzia kwenye mwonekano wa nje wa watu. Wapo wanaofananisha baadhi ya wanafamilia wa wateule au hata wateule na nchi jirani. Je, vetting inapofanyika huzingatia hali ya ndoa au hujikita tu kwa mteule...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa upinzani akina Zitto, Mbatia, Mbowe nk hawahudhurii shughuli za kitaifa?

    Kwa sasa imekuwa ni vigumu sana kuwaona na hata kuwasikia viongozi wetu wakuu wa upinzani katika matukio muhimu. Kwa mfano katika shughuli muhimu kama msiba wa balozi Kijazi au katika tukio la kuapishwa Katibu mkuu kiongozi mpya balozi Bashiru walipaswa kuwepo lakini hawajaonekana. Ni Prof...
  16. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Magufuli kama Nebukadneza Mkuu wa Dola ya Babeli

    Mwaka 2015 niliandika habari iliyochapishwa na Gazeti la TAZAMA “Magufuli kama Nebukadneza mkuu wa dola ya Babeli” nairudia tena baada ya kusoma Gazeti la RAIA MWEMA. Mwandishi MWANA KIJIJI ameandika “sababu zilizowafanya mitume 11 wasimfuate Yesu majini” Amemshambulia sana Rais Magufuli. 1...
Back
Top Bottom