Kumbe hivi sasa Wanaotudai Waafrika hawakamati tena Ndege zetu, bali wanakamata Viongozi hadi Madeni yalipwe?

Status
Not open for further replies.

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,689
109,117
Na ili Kutuzuga zaidi Waafrika anatafutwa Mtu kisha anazusha Jambo fulani la taharuki hasa la Ugonjwa au Kifo ili Waafrika tuweke huko Akili zetu na tusijue kuwa kutokana na nchi za Afrika kudaiwa mno na Wazungu Wanaotudai sasa hata Viongozi wetu Waandamizi nao wakienda Ulaya Wanakamatwa mpaka Fedha zilipwe na zikilipwa tu ndiyo Wanaachiwa kurejea nchi zao na Kuungana na Wajukuu zao Wanaowapenda.

GENTAMYCINE namalizia kwa kusema ukiona Mbili imekamatwa hadi Deni Kubwa lilipwe. jua hata Moja nayo haiko mbali Kudakwa juu kwa juu na Waafrika tutaendelea Kuzugwa kuwa wana Kazi Maalum au wako katika Matibabu ya matatizo yao ya Vifua na Kukohoa kusikopona

Waafrika tulipeni Madeni ya Wazungu ili Ndege zetu na Viongozi wetu wasikamatwe Wakisafiri huko na tukaanza kupandikiziwa Propaganda kuwa Wanaumwa au Wamekufa ili tu kuruficha Waafrika na Aibu ya Viongozi wetu Wakubwa na Waandamizi kabisa Kukamatwa huko Ughaibuni.

Wenye Akili Kubwa, Wadadisi wa Masuala na Wafukuaji wa Taarifa zilizofichwa huwa Hawafichwi na Hawadanganyiki na wala Hawazugwi kizembe kizembe hali wakitaka kuujua Ukweli wataujua tu kama ambavyo sasa Umejulikana kwa Bara letu la Afrika.
 
Wewe Mjita mwenzangu nimekushindwa tabia 😅😅

Unataka kusema hata namba 1 anaweza kukamatwa kwa madeni ?😅😅🙌
Huoni sasa hivi anasafiri kwa Timing na akishtukia nae Kudakwa kama Mwenzake anamsakizia Muongo wa Taifa namba Tatu akiwakilisha?

Halafu GENTAMYCINE siyo Mjita bali Mimi ni Mzanaki, Myao na Mtutsi na Jina langu halisi ni Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo Kisungura ambayo yako NIDA, RITA na UHAMIAJI NCHI pia.
 
Ila wewe jamaa hapana kwakweli 😂😂😂🙌🙌
Wazungu wamelipwa chao ( Deni ) na Mwafrika mwenzetu kaachiwa na sasa kwa Madeni yao yajayo Wanamvizia Mwafrika mwenzetu mwingine na wa safari hii atakuwa ni Muislamu na huyu nae kwakuwa ni Mbishi wa kulipa Madeni yao ila ni Mfujaji mzuri wa Fedha zao hawatomshikilia kwa Siku 30 kama Mwenzake Mkristo badala yake wanaweza wakakaa nae hata kwa Siku 90 hivi.
 
Na. ili Kutuzuga zaidi Waafrika anatafutwa Mtu kisha anazusha Jambo fulani la taharuki hasa la Ugonjwa au Kifo ili Waafrika tuweke huko Akili zetu na tusijue kuwa kutokana na nchi za Afrika kudaiwa mno na Wazungu Wanaotudai sasa hata Viongozi wetu Waandamizi nao wakienda Ulaya Wanakamatwa mpaka Fedha zilipwe na zikilipwa tu ndiyo Wanaachiwa kurejea nchi zao na Kuungana na Wajukuu zao Wanaowapenda.

GENTAMYCINE namalizia kwa kusema ukiona Mbili imekamatwa hadi Deni Kubwa lilipwe. jua hata Moja nayo haiko mbali Kudakwa juu kwa juu na Waafrika tutaendelea Kuzugwa kuwa wana Kazi Maalum au wako katika Matibabu ya matatizo yao ya Vifua na Kukohoa kusikopona

Waafrika tulipeni Madeni ya Wazungu ili Ndege zetu na Viongozi wetu wasikamatwe Wakisafiri huko na tukaanza kupandikiziwa Propaganda kuwa Wanaumwa au Wamekufa ili tu kuruficha Waafrika na Aibu ya Viongozi wetu Wakubwa na Waandamizi kabisa Kukamatwa huko Ughaibuni.

Wenye Akili Kubwa, Wadadisi wa Masuala na Wafukuaji wa Taarifa zilizofichwa huwa Hawafichwi na Hawadanganyiki na wala Hawazugwi kizembe kizembe hali wakitaka kuujua Ukweli wataujua tu kama ambavyo sasa Umejulikana kwa Bara letu la Afrika.
Hii ni conspiracy theory yako tu
 
Wazungu wamelipwa chao ( Deni ) na Mwafrika mwenzetu kaachiwa na sasa kwa Madeni yao yajayo Wanamvizia Mwafrika mwenzetu mwingine na wa safari hii atakuwa ni Muislamu na huyu nae kwakuwa ni Mbishi wa kulipa Madeni yao ila ni Mfujaji mzuri wa Fedha zao hawatomshikilia kwa Siku 30 kama Mwenzake Mkristo badala yake wanaweza wakakaa nae hata kwa Siku 90 hivi.
Okay, kwahiyo nini kifanyike kuepusha usumbufu wa namna hiyo
 
HIGH LEVEL STUPIDITY from The STUPIDY MAN
You're dealing with a Certified Genius GENTAMYCINE so you better keep your Pig Mouth shut okay?

My blessed IQ, Exposure and Knowledge can't be compared with yours Uncircumcised Baboon okay?

I'm done.
 
Hivi gentamacin ni dawa ya kutibu ugonjwa gani vile?
Ugonjwa wa Wapumbavu kama alionao TUKANA UONE ambaye kila Siku anadhani anaweza kujifananisha Kiakili Kubwa na hiki Kichwa changu cha GENTAMYCINE kilichobarikiwa na Mwenyezi Mungu.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom