Katika makuzi yangu nlikua nkiaminishwa kua viongozi wa nchi huchaguliwa na Mungu,
Pindi nasoma advance bahati nzuri uchaguzi wa rais, wabunge pamoja na madiwani nlikua kidato cha sita pale shinyanga high school maarufu kama SHY BUSH , nlishiriki kupiga kura lakin majibu yaliyobandikwa ktk...
Akizungumza kwenye kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya Uchaguzi linaloendelea Jijini Dar es Salaam, Pascal Mayalla amesema;
“Ndugu zangu wa vyama vya siasa, wenzetu nchi za Ulaya utumishi wea chama ni wa kujitolea, chama sio ajira, vyama vya siasa tangu TANU havikuwa vinapewa ruzuku...
Makundi mbali mbali hasa feminists wamekuwa mstari wa mbele kutetea haki za wanawake na usawa hasa katika masuala ya uongozi na wengi wao wamewatolea mfano Rais wa nchi na Spika wa bunge kwamba ni mfano wa wanawake viongozi.
Basi niko hapa kuwakosoa na kuwaambia kama lengo ni kutaka usawa wa...
Yaani Israel ni balaa.......
After an Israeli airstrike killed senior IRGC commander Sayyed Razi Mousavi, Iran International published names of who could be Israel's next targets.
Following Prime Minister Benjamin Netanyahu's speech on Saturday night, in which he warned Iran and stated he would...
Naomba nitoe angalizo mapema" mimi siyo mtu wa mpira" hili ninaloandika nimepewa taarifa na chanzo changu cha taarifa.
Kwa mujibu wa chanzo changu cha taarifa ni kwamba ukimya wa Simba ktk dirisha hili dogo siyo kwamba kuna cha maana wanachofanya. Hakuna.
Kanuni za usajili zinasema ktk dirisha...
1. Samia Suluhu Hassan
Huyu ndiye Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,pia mwenyekiti wa chama cha mapinduzi,chama kikongwe na cheye heshima kubwa sana barani Afrika,taarifa zisizo rasmi zinasema chama hiki kina wafuasi zaidi ya millioni 35 ndani na nje ya mipaka ya Tanzania,kwa mtazamo...
UTANGULIZI
TAHLISO ni Jumuiya ya Wanafunzi wa elimu ya Juu (Vyuo na Vyuo Vikuu) Tanzania. Ilisajiliwa mwaka 2004 ili kuwa sehemu ya kuziunganisha serikali hizi/wanafunzi hawa kwa ajili ya kuwasilisha changamoto, maoni na mapendekezo yanayogusa maslahi ya wanafunzi wote wa Elimu ya Tanzania...
Israel bana, wana nguvu, wana uwezo, wanayo nia. Na wanatekeleza.
=======
Eleven leaders of the Iranian Revolutionary Guard Corps (IRGC) were killed in an airstrike targeting Damascus International Airport on Thursday evening, Saudi media reported the following morning.
The commander of the...
Kuna hii Tanzania ambayo utaikuta kuanzia darasa la kwanza mpaka chuo kikuu.
Na kuna Tanzania halisi ambayo viongozi hawataki ifundishwe mashuleni.
Tafakari haya matukio machache huenda utaiona hiyo Tanzania halisi.
1. Mama mmoja alifungwa miaka 22 kwa kosa la kukutwa na kg 1 ya nyama ya swala...
Chama cha mapinduzi kilipuuza tukio la imani za kishirikina na ukatili lililofanywa na Mbunge Gekul kwa kuvikataza vyombo vya dola kuchunguza wala kuchukua hatua.
Leo tena wana CCM wamerekodiwa huko Singida wakipanga njama za mauaji kwa njia ya ajali au radi. Haya yanafanywa na viongozi wakubwa...
Waache waendelee tu kujenga majungu huku watani wanajenga timu. Madhaifu ya yanga yanatibika na Siku wakisimama Africa watahodhi vitu vingi sana.
Uongozi wa kutafutana na Akina Chama, Phiri na Okra. Wa kijinga sana. Wachezaji sio gari kwamba utaliuza utanunua lingine zuri.
Uongozi utafukuza...
AirtelTanzania
Wekeni sawa kwenye app yenu ya Kyc ya usajili.
Wekeni file ianze sehemu ya kuweka alama ya kidole alafu ndio idhini ya TCRA kama mitandao mingine.
Au kama inaanza na uidhinishaji basi ikubali kurudia kuweka kidole kilichokataa pale tu baada ya kukituma.
Maana kuna wateja...
Hiki ni kilio Cha miaka mingi kwa watumishi wa umma, wamekuwa wakiomba Shahada ya Pili na PhD itambuliwe kimaslahi kwenye Baadhi ya idara bila mafanikio yoyote, huko Tamisemi Tunaomba mlichakate Jambo hili.
"Najua hili swala akifikishiwa Rais wetu mpendwa, Dr. SSH, ataagiza lifanyiwe kazi Mapema"
BASHUNGWA AWANYOOSHEA KIDOLE VIONGOZI WANAORUDISHA NYUMA MAENDELEO KAGERA
Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameendelea kuwanyooshea kidole baadhi ya Viongozi wanaochangia kurudisha nyuma maendeleo ya mkoa wa Kagera na kutoa wito kwa Wananchi wa mkoa huo kusimama...
Walai naapa baada ya chama anaenda kumwagwa Phiri kwa karanga za kuonjeshwa za Onana.
Naaapa mkimaliza kuwafukuza timu inaenda kufikinika. Fitna hazijengi na Uongozi unaenda kufikinika.
Nawaombea mkimaliza fitna na msivuke makundi kabisa.
Baada ya kuja kocha Cadena Chama na Phiri waliwekwa kwenye presha kubwa sana. Lengo wateswe kisaikolojia watoke mchezoni.
Kweli bana fitina zikakuzwa kwa kocha Chama akaanza kutemwa mara Benchika alipokuja.
Mechi nne zimetumika kumwaga chama. Na wanavumisha kagombana na kocha sio kweli bali...
Tuache unafiki kama nchi something has to be done kukomboa hii jamii. Kati ya malengo makuu ya Elimu ni kufanya mhusika kujiamini na kuyakabiri mazingira anayoishi.
Jamii yetu kwa miaka ya hivi karibuni imeonyesha kwa kiwango kikubwa wasomi wake kupoteza mwelekeo kutokana na neno uchawa.
Haina...
Kwa mamlaka niliyojipa nimeona nitoe orodha yangu ya viongozi nilioona wamefanya vizuri majukumu yao kwa taifa. Hii orodha inajumuisha viongozi kutoka upinzani pia. Sijamweka Mama Samia kwasababu isingewezekana viongozi wa chini yake kufanya vizuri kama yeye mwenyewe asingekuwa anaupiga mwingi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Maryam Ahmed Muhaji kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.