Viongozi wa kuu wa ulimwengu huwa vichwa vyao vigumu. Wangewambia HAMAS kuwaachia mateka wa Israel ,kungekuwepo na ahuweni kwa watu wa GAZA

ZALEMDA

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
1,647
1,885
Ukiondoa taifa la America na baadhi ya mataifa ya ulaya, wengi wa viongozi wakuu wa taifa mbali mbali wang'angania kuilaumu Israel kwa uisambaratisha Hamas. Sasa israel inajipanga kuivamia RAFAH na bado viongozi wa kiarabu ,UN ,Afrika waniona israel kama nchi mbaya sana.

swali ni je israel ndiyo ilienda kuwachinja wapalestina tarehe 7 october 2023?
kama wangeshinikiza hamass kuwaachia huru mateka wa kisraeli ,kungekuwepo ahuweni kubwa sana kwa watu wa gaza kuliko kuwaacha wakiteseka pale Rafah

ulimwengu hauwatakii mema watu wagaza.kabla ya tarehe 7octyober 2023,waliishia kwa amani hata kama yamkini yalikuwepo manyanyaso kutoka israel ,lakini si kwa kiwango hichi tunachokishuhudia.watu zaidi ya 27000 wakufa.

unataka mateka wa gaza 10,000 waachie ,then una exchange na wafu 27000? very stupid
unang'ang'ania mateka wa israel 130 una exchange na watu wako vifo 27000?kukosa akili ni shida kwa kweli.hasira haisadia bali hukaa kifuani mwa mpumbafu. HAMAS ni wapumbafu kiwango cha kutisha
 
Unadanganya. Nia ya Isreal ni kuwaangamiza waislam wa Gaza na Mashiriki ya kati. Ndio maana wakiristo wa jf wanafurahia
 
Dhulma ina mwisho wake haijaanza leo hiyo vita ,inapause tu kidogo then inaendelea.
 
Ni kweli kama nchi zingepaza Sauti mapema na kuishinikiza hamas, maafa kwa wapalestina yasingefika kiwango hicho. Badala ya kulaani mashambulizi ya October 7 , baadhi ya nchi za kiarabu zinafanya maandamano ya kupongeza uvamizi, cha ajabu wameshindwa hata kutuma msada wa chakula, hata jeshi ili likasaidie hao Hamasi. Watu wanawapa kichwa Hamasa, yaani kwa akili ya kawaida Hamas vs Israel air force! Eti Hamas atashinda vita.
 
Back
Top Bottom