Mpaka sasa tuna wajane wangapi wa viongozi?

Kabla ya jibu huwa mnapenda age gap mume miaka 40 mke miaka 28 au mume miaka 30 mke miaka 21. apo mnatagemea nani atawahi kufa?
kumzidi mwanamke miaka mingi si lazima utangulie kufa japo graph of growth itaonesha umefika ukomo wa kuishi. Sio mbaya kutangulia kufa ukamuacha mwanamke uliomzidi umri naye graph yake ikifika ukomo atakufa
 
Ni assumption tu kwamba ukiwa umemzidi mkeo umri we ndio utatangulia kufa. Hakuna ubaya kwani wanaume tunaweza kuoa wanawake sawa na watoto wetu tunaoweza kuwazaa kwa umri tulio nao. Wengine tunawazidi wake zetu nusu ya umri tulio nao. Kwa hiyo hata tukitangulia kufa tukaacha wake zetu tuliowazidi umri si mbaya
 
Sio viongozi tu hata wananchi wa kawaida. Ukifika kule kwetu Maeneo ya majengo, sokomatola, ghana na kwingineko asilimia 90 ya nyumba hazina wanaume. Wote walishatangulia. Ni jambo la kufanyia utafiti kwa kweli. Sijui sababu ni nini.
 
Hii ni kweli, siku hizi kuna vifo vinatokea vya rika la vijana wa kati ya 30 - 45 yrs. Na ktk rika hili wapo walioa. Kwahiyo kuna wajane vijana pia.
 
Sio viongozi tu hata wananchi wa kawaida. Ukifika kule kwetu Maeneo ya majengo, sokomatola, ghana na kwingineko asilimia 90 ya nyumba hazina wanaume. Wote walishatangulia. Ni jambo la kufanyia utafiti kwa kweli. Sijui sababu ni nini.
niko mtaa mmoja hapa nyumba nyingi hazina wanaume, ni wanawake tu, balozi akiitisha msaragambo wanawake ndio wengi hutoka, wanaume ni wa kuhesabu tena na wao hawana wake. Wajane ni wengi kwa kweli. Ukienda kwenye magenge/yale masoko madogomadogo ya mitaani utakuta wakina mama ndio wengi wanauza, na walio wengi ni wajane
 
LOTH HEMA ina maana na kuna wanaume wengi hawana wake mtaani kwenu? Wanaume wengi pia wamefiwa na wake au hawana ndoa?
 
Wanaume wanaongoza KWA kunywa pombe,kuvuta sugars,kurogwa kwenye utafutaji(kiranga asiione hii)
 
Mwanaume ukitaka kuishi maisha marefu usioe. Kuoa ni sawa na kunywa sumu ambayo itakuua taratibu.

Marriage is suicide.
 
Hapo ndio mtaelewa maana ya allah kuruhusu wanaume kuoa mke zaidi ya mmoja
Laiti ingekuwa kila mwanaume na mwanamke wake hao wanaofiwa na waume zao inatakiwa wakae tu bila kuolewa hadi kifo?
 
Back
Top Bottom