viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msanii

    JamiiForums Tanzania Katiba yetu ya leo inakosa MAMLAKA ya kuwajibisha. Katiba inapaswa kuunda Taasisi imara na siyo kinga kwa viongozi wasiowajibika ipasavyo

    Rais ambaye ndiye mlinzi namba moja wa KATIBA ya nchi anasema ni KIJITABU.... na hakuna uwajibikaji wowote kwenye hilo (Ibara ya 26.-(1) Kila mtu ana wajibu wa kufuata na kutii Katiba hii nasheria za Jamhuri ya Muungano.) Bunge letu linapokea na kupitisha kwa mbwembwe miswada yote ambayo ina...
  2. J

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Rushwa katika Taasisi za Dini hutokea wakati wa Uchaguzi wa Viongozi

    Rushwa katika Taasisi za Kidini ipo hasa katika Uchaguzi wa Viongozi. Wanaoenda kugombea ni watu wanaotoka katika Jamii ambayo inaelekeza kwamba huwezi kuchaguliwa bila kutoa Hongo, hivyo analazimika kutoa hela ili achaguliwe. Wakati huo huo Mgombea mwenza naye hupata taarifa kuwa Mwenzako...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi wengi wa kisiasa wanapost picha wakiwa na Hayati Magufuli lakini wanahofia kuposti hotuba zake, au zinawachoma?

    Viongozi wote nilipopitia post zao kwa miaka mitatu tangu atutoke Hayati Magufuli wamejikita kutuma picha zake na siyo hotuba zake. Hali hii ni tofauti na kumbukizi ya Nyerere na Mkapa ambapo sauti yake usikika zaidi. Kifalsafa nini chanzo cha kutopostiwa kwa hotuba zake mitandaoni kwa wingi...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ni viongozi gani waliaminiwa na JPM na ndani ya miaka mitatu tayari wamemsaliti kwa kauli na matendo?

    Kuna watu JPM aliwaamini akawateua na kuwapa madaraka kama wasaidizi wake. Leo ni miaka mitatu tangu kifo chake. Katika kumbukizi hii napenda kufungua mjadala wakuchambua viongozi waliokuwa wanamsifia JPM akiwa hai na sasa ameondoka wamegeuka na kuanza kudhihaki. Kiongozi mmoja wapo aliyewahi...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi Azam kukaa kwenu na wachezaji kwa ajili ya kuikabili Yanga leo ni danganya toto

    Juzi tumeona mmekaa na wachezaji mkaongea nao na kubwa zaidi mlitaka wachezaji wazingatie maslahi ya timu kwa kuipigania, mnataka angalau mshike nafasi ya 2 mcheze ligi ya making wa, mmewaambia kuwa tajiri amemwaga fedha nyingi sana lkn haoni matokeo. Mmewaomba wachezaji washing mechi kubwa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ni kigezo gani hutumika na viongozi wa kitaifa kutoa pole kwa familia iliyoondokewa na mpendwa wao?

    Pale unapotokea msiba wapo ambao viongozi utoa pole kupitia mitandao ya kijamii, ipo misiba Mhe Rais utumia barua ya Ikulu nk Napenda kufahamu ili Mhe Rais atoe pole kwa kupitia akaunti yake ya kijamii anapaswa kuzingatia vigezo gani? Je, anapotumia barua rasmi ya Ikulu kutoa pole utumia...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Mwina Kaduguda leo kuwa viongozi wa Simba wakitaka kuifunga Al Ahly ni lazima washirikishe watu wengine yamenifikirisha kinyama

    Mwina Seif Kaduguda, a socio- scientist cum Journalist anaijua Simba nje na ndani hivyo haiitaji saana kumuelezea. Leo akiongea na Wasaf Fm huku akichagizwa na Mnazi wa Yanga Maulid Kitenge amediriki kusema kuwa Yanga ina umoja sana kuliko Simba. Alisema Yanga inacheza mpira mkubwa ss hv...
  8. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia awe makini sana na viongozi wa EAC

    Nitaandika Kwa kifupi Tu. Hiv Karibun Rais wa Kenya William Somoe Ruto na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museven wameonekana kuwa Chanda na Pete. Kwa history ya nchi zao kuna kila dalili wameona huu ndio wakat wanaweza kuiingia Tanzania kuliko wakati mwingine wowote. Ikumbukwe awali Rais wa...
  9. Championship

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA haikufanya uchaguzi wa viongozi mwaka 2023?

    Mara kadhaa niliona matangazo kwamba uchaguzi utakuwa mwaka 2023, nini kilitokea mpaka haukufanyika? Mimi kama mpigakura ninapenda kuona safu mpya ya uongozi ili kuanza kwa maono mapya.
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole ni miongoni mwa Viongozi wa awamu ya 5 walioua Demokrasia ndani na Nje ya CCM

    Katika mwendelezo wa nyuzi zetu kwenye mwezi huu wa 3 , ambao unaitwa Mwezi wa Mungu , Hatimaye tumemfikia Ndugu Humphrey Polepole , Mjumbe wa kamati ya kuratibu Maoni ya Wananchi ya Mchakato wa katiba mpya au katiba ya Warioba , DC wa zamani wa Ubungo , Katibu wa uenezi na Itikadi wa ccm ...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kama Viongozi mnakula na wanaoharibu Bei ya Sukari acheni, shughulikeni na shida za wananchi

    Rais Samia amewataka Viongozi kuhakikisha wanasimamia Bei Elekezi ya Sukari na kuwachukulia hatua Wanaokiuka bei iliyotangazwa huku akiwataka Wanaoshiriki kuharibu bei kuacha mara moja Amesema "Tunashukuru Sukari imesambaa na nyingine inakuja nendeni kasimamieni, wale watukutu kashughulikaneni...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais Samia inaonesha Makonda kapewa baraka kuwaongoza viongozi wengine wote!

    Tunadhani hii case closed! Wengi ndani na nje ya CCM mmekuwa mkihoji kwa nini Mwenezi wa CCM Paul Makonda amekuwa akifanya ziara na misafara mirefu kuliko hata PM na Naibu PM. Katika ziara zake amekuwa akisikiliza kero za wananchi na kuwapigia simu papo kwa papo Waziri au Mkurugenzi na kutoa...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwaapisha Viongozi Wateule - Ikulu, Dar es Salaam, Machi 13, 2024

    https://www.youtube.com/watch?v=gB61__EG4Uo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule leo tarehe 13 Machi, 2024 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimuapisha...
  14. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Wakristo huyu msanii wa injili ayeimba yesu ninyandue mbona anaachwa? Na wala hatujasikia kauli kutoka kwa viongozi

    Huu ni mtihani kwakweli hivi inakuaje mtu anaimba yesu ninyandue na bado watu wa dini hiyo wapo kimya? Ingekuwa upande wa pili sasa hivi angekatwa kichwa au wamemrest in peace Tunaomba kauli zenu viongozi wa kikristo kutokana na huu ujinga wa huyu mwimbaji wa injili.ili tumle.kichwa sie# yesu...
  15. Pendragon24

    JamiiForums Tanzania Viongozi Young Africans Wavunja Katiba

    Mkurugenzi mpya wa masoko, wanachama na mashabiki wa klabu ya Young Africans ndugu Ibrahimu Samweli anatoa wapi mamlaka na uhalali wa kuvunja uongozi wa kuratibu shughuli za matawi ya yanga mkoani Morogoro..!!!? Ikiwa yeye mwenyewe ni mwajiriwa tu pale klabuni. Kitendo cha kumtoa Mratibu wa...
  16. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Haya ndio mambo Viongozi na Wanasiasa wanatufanyia

    They do nothing 😁!
  17. vvvv

    JamiiForums Tanzania Dube: Viongozi wa Azam wanashabikia timu mnayocheza nayo

    Akihojiwa Dube ameeleza kwamba ndani ya timu wapo viongozi wanaoshabikia timu zingine mnaocheza nao nje ya Azam Anaeleza kwamba mnapocheza viongozi wanasupport timu mnayocheza nayo, anasema bora aende sehemu ambayo watu wote ndani ya timu wanafikiria na kuwaza kitu kimoja. NB: Azam kwa mtindo...
  18. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Wilson Oruma: Viongozi Simba wafanye maamuzi magumu kwa Chama

    Mchambuzi wa soka Wilson John Oruma amesema umefika wakati wa Simba SC kuachana na kiungo wao mshambuliaji, Clotous Chama kwani hakuna cha ziada atakachowapa. Oruma amezungumza hayo ikiwa ni siku chache baada ya Chama kuubeba mchezo wao dhidi ya Jwaneng Galaxy na kuibuka na ushindi wa 6-0...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Makaburi ya Viongozi: Jeneza hugusana na udongo au ndani huwa kunakuwa na uwazi uliofunikwa na zege kwa juu?

    Mwenye kujua atujuze kwani nafahamu ipo miili ambayo hukaushwa na kubaki kama ilivyo na mingine sujui huwekewa vioo watu watazame, n.k. Kwa Tanzania yetu hii, viongozi majeneza yao hushindiliwa na udongo kama ya watu wa kawaida au wao huzikwa kwa namna tofauti majeneza yao hayakutani na udongo...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Marekani yawawekea Vikwazo Viongozi wakuu wa serikali ya Zimbabwe

    Waliowekewa vikwazo hivyo ni pamoja na Rais wa Nchi hiyo, Makamu wa Rais , Waziri wa Ulinzi na Katibu Mkuu wa chama cha ZANU PF . Viongozi hao wanakabiliwa na tuhuma za ufisadi , kukomba mali ya umma , ukiukwaji mkubwa wa Haki za binadamu, unyanyasaji uliopitiliza , utekaji na Mauaji ...
Back
Top Bottom