Viongozi Azam kukaa kwenu na wachezaji kwa ajili ya kuikabili Yanga leo ni danganya toto

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
438
1,752
Juzi tumeona mmekaa na wachezaji mkaongea nao na kubwa zaidi mlitaka wachezaji wazingatie maslahi ya timu kwa kuipigania, mnataka angalau mshike nafasi ya 2 mcheze ligi ya making wa, mmewaambia kuwa tajiri amemwaga fedha nyingi sana lkn haoni matokeo.

Mmewaomba wachezaji washing mechi kubwa zote mkianza na Yanga leo.

Najiuliza ni kweli mliyoyasema yalitoka kwenye sakafu za moyo wenu?

Yanga wamekuwa wakiwafunga kwenu pale Chamazi kila siku, hamjawahi kupata sare pale uwanjani kwenu ndio mtaweza kwa Mkapa?

Nyie Azam muwafunge Yanga nyie, nyie, nyie, nyie, nyie, nyie, nyie, nyie, nyie, nyie,nyie, nyie, nyie, nyie, thubutuuuuuuuu.
 
Hii Yanga inawatesa watu wengi sana.
 
Kwa mara ya kwanza leo Azam anamfunga Yanga goli 2 au 3 mawili yakifungwa na Feisal. Nasema hivi kwasababu Azam ikifungwa itakuwa ni aibu sass, hivyo inyeshe au liwake leo ushindi ni wa Azam , hata marefarii wa leo wanalijua hili na huenda Azam + Simba + Tff wanalishughlikia hili jambo
 
Juzi tumeona mmekaa na wachezaji mkaongea nao na kubwa zaidi mlitaka wachezaji wazingatie maslahi ya timu kwa kuipigania, mnataka angalau mshike nafasi ya 2 mcheze ligi ya making wa, mmewaambia kuwa tajiri amemwaga fedha nyingi sana lkn haoni matokeo.

Mmewaomba wachezaji washing mechi kubwa zote mkianza na Yanga leo.

Najiuliza ni kweli mliyoyasema yalitoka kwenye sakafu za moyo wenu?

Yanga wamekuwa wakiwafunga kwenu pale Chamazi kila siku, hamjawahi kupata sare pale uwanjani kwenu ndio mtaweza kwa Mkapa?

Nyie Azam muwafunge Yanga nyie, nyie, nyie, nyie, nyie, nyie, nyie, nyie, nyie, nyie,nyie, nyie, nyie, nyie, thubutuuuuuuuu.
Ajabu,

Kapigwa Dada mtu Mbumbumbu 5 sembu huyu Azam.
 
Back
Top Bottom