viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Melki Wamatukio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini ndiyo chanzo cha uvunjifu wa maadili kwenye nyumba za ibada

    Hivi hawa viongozi wetu wamepatwa na nini ndugu zanguni? Inasikitisha sana. Jioni ya leo nimekutana na moja ya dhehebu katika pita pita zangu, ikabidi niingie japo niiburudishe nafsi. Mara pap ni muda wa sifa. Wimbo uliokuwa unaimbwa umeniacha mdomo wazi. Cha kushangaza waumini wanaimba vizuru...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nikiangalia safu ya juu ya viongozi wa tume ya uchaguzi sioni dalili za uchaguzi huru na haki naona wizi utakaowakwaza wenye njaa

    Najaribu kutafakari mabadiliko ya sheria ya uchaguzi, kisiasa na tume ya uchaguzi dhidi ya uchaguzi huru na haki, Najaribu kuoanisha na nguvu kubwa ya umma iliyo nyuma ya CHADEMA, Nazingatia pia usaliti mkubwa uliofichwa kwenye miyoyo ya wana ccm, Nasema hakuna namna tutakuwa na uchaguzi huru...
  3. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba SC mbona akili zenu zimelala sana?

    Hii timu ina viongozi wasiokuwa na maono kabisa na upigaji uliokithiri, pale mo arena tayari pana pitch nzuri tu. Kilichobakia hapo ni maboresho madogo tu. Vyumba vya kubadilishia nguo wachezaji pamoja na vyoo, majukwaa mtaweka baadhi tu kwa kuwa mnaanza kidogo kidogo. Mkipata 1b hata kwa...
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tujihoji: Kwa nini hayati Julius Nyerere alitaka taifa letu liwe na Viongozi kama hayati Mkapa na hayati Magufuli na Sio Lowassa au Jakaya?

    Ukweli ni kuwa Nyerere alikuwa na maono, aliweza kujua nani kiongozi ambaye atatumikia wanyonge kwa manufaa ya taifa. Na nani atakuwa mpigaji. Wapigaji wanajulikana. Mfano Jakaya alipokuwa madarakani ilikuwa ni skendo za upigaji tu. kagoda, Richmond, Escrow na sasa Dp world ya Dubai. Hayati...
  5. Ze Heby

    JamiiForums Tanzania Bunge laazimia Serikali inunue ndege nyingine kwa ajili ya kuhudumia viongozi

    Bunge la Tanzania limeazimia kuwa Serikali iangalie umuhimu wa kununua ndege nyingine mpya kwa ajili ya kuwahudumia viongozi wakuu wa kitaifa. Taarifa hiyo imetolewa leo Februari 13, 2024 na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Joseph Mhagama, ambaye ameeleza...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda ni kipimo cha weledi mdogo wa viongozi wakuu wa nchini

    Tusizungumze mengi sana twende tu moja kwa moja kwenye pointi ninayotaka kusema. 1. Paul Makonda elimu yake inatiliwa mashaka. 2. Paul Makonda alifanya mambo yasiyo na weledi wa kiuongozi alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar, mojawapo ni kuvamia kituo na redio cha Clounds FM, kuwaweka chini ya ulizi...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania Viongozi 4 wa jeshi la Iran wauawa kwa sumu Syria

    Jamaa wanajua wanawindwa na Israel halafu wanakula kula hovyo hovyo, haya wamewahishwa kwa mabikira.... The poisoning appears to have targeted the leadership, as all four of those killed have been described as commanders or leaders. Several others were reported injured in the event, including...
  8. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Viongozi mnaosimamia elimu tumienzi Lowasa tukijiuliza yeye aliwezaje kwenye elimu nyie mnashindwaje kwenye elimu

    Kifo cha lowasa kimeibua mijadala ya mazuri yake na mabaya yake katika safari yake ya maisha katika siasa zake, uzuri wa siye wabantu marehemu asemwi kwa mabaya ni mwiko marehemu anasemwa kwa mazuri tu hata kama mabaya yapo basi mnatasemea gizani Kuna jambo zuri kuhusu marehemu linasemwa la...
  9. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa serikali wanatukanana kama wahuni wa Kariakoo

    Labda ipo njia ya kistaarabu zaidi ya kuandika haya mambo. Tunashangazwa wote nadhani katika haya maneno yanayosemwa kati ya Katibu Mwenezi Makonda na Waziri Bashe. Na pia wapo wengine. Haya ni mambo mabaya. Kama Mbunge Gwajima alivyokuwa anasema jana kwamba mtoto wa tajiri wa Unguja alitoweka...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wakatili upenda sana kuhubiri kulogwa, kuuawa, kudhurika na kumtaja sana Mungu?

    Watu wengi wasiotenda haki ni wepesi sana kuamini katika kulogwa na kudhurika. Upenda sana kuifanya jamii ionekane kama ina kizazi cha watu wakatili na ambao wasingependa wenzao wafanikiwe. Kwa upande wa pili viongozi hawa upenda sana simpathy na perfection huku walio chini yao wakitakiwa kuwa...
  11. Juma Wage

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Viongozi kuwa mstari wa mbele kwenye maandamano sio lazima

    ALIYEKUWA Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dkt.Wilbroad Slaa amesema pamoja na kutokushiriki katika siasa za jukwaani lakini hataacha kushirikisha uzoefu wake kwa vijana ili wautumie katika harakati zao. Slaa amezungumza hayo leo katika mahojiano maalum na Mwandishi wa JAMBOTV nyumbani kwake...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA ni Walaghai

    Viongozi wa CHADEMA wanakosa sifa ya kuaminika kwa umma kama chama mbadala. Wametanguliza maslahi binafsi kuliko ya wanachama wao. Kwenye masala ya Fedha CHADEMA hawajawahi kuwa wawazi. Hii ni dosari kubwa kwa chama kinachoikosoa Serikali. Hakuna operesheni hata moja ya michango ambayo imewahi...
  13. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wastaafu zanzibar wamesusia sherehe za miaka 60 ya mapinduzi Zanzibar?

    Mapinduzi ya Zanzibar yalitokea mnamo tarehe 12 hadi 14 Januari 1964, na yalikuwa harakati za kisiasa zilizosababisha kubadilika kwa utawala na kuanzishwa kwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar. Mapinduzi hayo yalikuwa na muktadha wa kisiasa na kijamii ambapo kulikuwa na mivutano kati ya Waarabu na...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Malumbano ya viongozi HAMAS: Walioko ndani wanataka vita visitishwe, walio nje wanataka muda uvutwe

    Viongozi wa HAMAS walio ndani ya Gaza wapo radhi vita visitishwe na mikataba itiwe saini, wao wameshaonja joto la jiwe, hawana hamu tena, ila wale wanaoishi kwa raha kule nje wanataka muda uvutwe kwanza wapate dili nzuri... ===================== Hamas's top leaders are arguing about the...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Utamaduni wa kututanganzia viongozi wakuu na wastaafu wanapoumwa haupo, inapotokea tunapata mashaka

    Ukweli usemwe tu! Kiongozi anapoumwa hapa nchini kwetu imekuwa kama kasumba kuficha ficha sana kutoa taarifa. wakati ni haki ya umma kufahamishwa alipo mtumishi wao wanayemlipa! Hata taarifa zinapotoka huwa kwa mbinde sana! Na taifa hilihili linapotoa taarifa kirahisi pasipo kuombwa ombwa...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Mbeya tunaumia Sana Umeme kutokuwepo. Viongozi hamueleweki

    MBEYA Umeme haupo Kila Siku unakatika Serikali Acheni mizaha. Hii Ni aibu Sana Kwa Serikali,, mnapiga porojo tuu.
  17. kibangubangu

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari wa Tanzania, baadhi wasivyojua namna ya kusimamia maudhui ya taarifa za viongozi wa juu kama Raisi

    Wakati mwingine nadhani ni vizuri au busara kuto alika waandishi wa habari katika matukio ya ndani,au nyeti...Ambayo yatahitaji weredi wa nini kirushwe au nini kisirushwe.... Uvivu wa baadhi ya waandishi wa habari kuhariri,kulingana na muktadha kunasababisha baadhi ya watu kutoa taarifa ambazo...
  18. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini wana nafasi ya muhimu kusaidia harakati za kuidai Tanganyika

    Kama ambavyo wapigania uhuru wa awali waliiwezesha Tanganyika kupata uhuru kwa njia ya amani, hata sasa njia za kidiplomasia zinaweza kusaidia Tanganyika kurejeshewa uhuru wake. Katika mapambano ya awali, viongozi wa dini walishiriki japo si kwa uwazi sana. Historia inaonesha kuwa viongozi wa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Muungano igeni Utaratibu mzuri wa Kujiuzulu kama Zanzibar

    Salaam, Shalom! Ziku chache zilizopita, palitokea taarifa njema za uwajibikaji Kwa waziri wa Serikali ya MAPINDUZI Zanzibar Kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kuadimika Kwa Pombe visiwani humo akituhumu kubadilishwa waagizaji. Waziri aliyejiuzulu ni Waziri wa Utalii na mambo ya kale ndugu Siami...
  20. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi achukizwa na tabia ya viongozi kujiuzulu kimya kimya

    Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Ali Mwinyi amesema Kiongozi akitaka kujiuzulu anapaswa kumpa taarifa Boss wake kwanza badala ya kukurupuka kwenda kutangaza kwenye Vyombo vya Habari huku akitoboa siri kuwa hata yeye akiwa Waziri wa Ulinzi aliwahi kumwandikia barua ya kujiuzulu Rais Mstaafu Kikwete...
Back
Top Bottom