chivala
JF-Expert Member
- Apr 13, 2021
- 772
- 2,333
Wana JF nawasalimu,
Wakuu nikiachana kwa upande wa dini zetu ISLAMIC na SABATO-CHRISTIAN uhalali na haramu wa NGURUWE, kuna mambo mengine yanayosemwa kuhusu nyama ya nguruwe.
Mimi sijui kama ni uzushi au ni kweli kwa hivyo nawaomba wana jamvi watufafanulie sifa hizi nzuri na mbaya zinazo bebeshwa nyama ya nguruwe.
Nyama ya nguruwe inasemekana ni tamu kuliko nyama zozote zile duniani. Ni kweli?
Nyama ya nguruwe inasemekana ina vimelea khatari vinavoweza kumsababishia mlaji ugonjwa wa ini. Ni kweli?
View attachment 1883744View attachment 1883745View attachment 1883747