Kuna taarifa inaendelea katika mtandao wa YouTube ikilalamikia kuwepo kwa kundi la baadhi ya Wakristo waliowafuturisha baadhi ya Waislamu kwa kuwakaribisha Pilao ya Kitimoto na mahubiri ya Kikristo
https://youtu.be/AUGORT9jeF8?si=mEeR6SdYrf78df_-
Imechapishwa na:
Tulia hapa nikuelekeze jinsi ya kupika kitimoto kizuri cha geto na ugali
Kwanza tafuta chainizi au mchicha ukate kama hivi nilivyo kata mimi
Kisha anza kukaanga kitimoto chako usiwek mafuta na baada ya hpo weka zako vitunguu kaanga mpaka vilainike na uwke karoti na nyanya usiweke hoho...
Wakati kabla ya mambo ya kushinda na njaa hayajaanza ilikua ukienda hata sa12 tuu huikuti.
Je, wakina nani hua wanakula sana Nguruwe hadi kwasasa iwe inabaki nyingi? Nini kimetokea?
Karibu katika mjadala.
Mapovu pia napokea nitafulia kanzu yangu.
Ni haramu sio haramu?
Uharamu wake unatokana na nini?
Je kuna mazingira haramu inaweza kuwa halali?
Je ndio nyama tamu zaidi duniani?
Je ndio nyama inayoliwa zaidi duniani?
Je ni kweli ndio nyama inayobeba magonjwa mengi?
Je ni kweli inafukuza mapepo na kusafisha nyota?
Je ni kwanini mganga...
Kwa mujibu wa TAPIFA (2024)
🐖 Tanzania hutumia takribani tani 79,000 za nyama ya nguruwe kila mwaka,
lakini huzalisha tani 27,000 pekee.
👉 Tani 52,000 huagizwa kutoka nje kila mwaka.
Huu si upungufu wa kawaida —
👉 ni fursa kubwa ya biashara kwa wafugaji wa ndani.
🔴 Changamoto si soko...
Achana na biashara za kukaanga kitimoto na sema bucha la kitimoto chenye chuki kubwa duniani ila ndio nyama tamu ya kumtoa ubwabwa jikoni.
Watu wanasema fursa hakuna ila fursa zipo japo nchi ya utawala wa ovyo ndio shida.
Bucha classic ambalo utatoa maelekezo wasio tumia kuwa sio sehemu yao...
Hapa nilipo kitimoto inayopatikana ni ya kukaanga iliyo kavu au rosti tu, ya kuchoma inapatikana kwa nadra sana, na hivyo ndivyo hali ilivyo sehemu kubwa ya nchi.
Kwa hakika tunahitaji ubunifu zaidi katika mapishi ya kitimoto katika hii nchi, karibia kila mahali wanapouza kitimoto mapishi ni...
Hii hadithi ni ya kweli kabisa. Kwa wakazi wa Ilala wachache wanaweza kuwa wanaikumbuka. Sitotaja details nyingi lakini kwa wale wanaofahamu maeneo yale ya Shariff. Nilipanga kule
Si haba miaka hiyo nina kausafiri kangu kama mnazifahamu Toyota Baloon. (Kama sasa vijana wanavyohangaika na Toyota...
Jana usiku kuna mahali nimefika watu wanauza kitimoto na ndizi mzuzu ngumu sana(zisizo mbivu ambazo zimekaangwa).
Hawana kitu kingine cha kulia kitimoto zaidi ya hizo ndizi mzuzu ngumu mbichi au ugali, niliweza kula hizo ndizi moja na nusu mpaka sasa hivi nahisi zimesimama tumboni.
Mandizi...
Wakuu nimenunua eneo la biashara mji X na lipo pembezoni mwa barabara nzuri tu, moja ya biashara nayotaka kufanya eneo hilo ni kuweka kibanda cha kisasa cha nyama ya kitimoto.
Sasa najiuliza Je, nitakuwa nimevunja sheria yoyote kwa kufanya hivyo ikiwa watakaokuwa wanapita eneo hilo ni ndugu...
Chuki dhidi ya huyu mnyama ni kubwa sana, sijui huyu mnyama aliwakosea nini kikubwa waislamu. Nahitaji kujifunza umahsusi wa dhambi ya kitimoto ni upi kulinganisha na dhambi zingine.
Muislamu atamvumilia mtu mlevi, mzinzi, muongo lakini hawezi kuvumilia kusikia kuhusu kitimoto.
Nimekuja lodge...
Serikali fanyeni mpango wa kuhasi paka wa Bar ili kuwapunguza, wamekuwa wengi sana mpaka kero, kuna paka leo kaniparua kiwiko cha mkono anataka nimpe kitimoto kwa lazima! hii haikubaliki.
Hili suala la mtu mmoja kula kitimoto nusu kilo na ndizi mbili au ugali peke yake na akamaliza limekaaje kiafya? Huu sio ulafi na matumizi mabaya ya pesa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.