sababisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Barugize

    Natamani kujua kinachosababisha umasikini kwa vijana wasomi

    Habari za Muda huu wana JamiiForums. Mimi ni kijana mjasiliamali kwa muda wa mika 10, kuna mambo huwa najiuliza kila siku nikiwa peke yangu sasa leo nimona ni changie na wana JamiiForums wenzangu. Suala la Umasikini na Utajiri. Kwanini vijana wengi hususani Wasomi ndio wanao hangaika sana...
  2. N

    Kukosa bima ya chombo cha moto kwasababisha nyumba zipigwe mnada kulipa majeruhi

    Kuna jamaa kule maeneo ya Ununio nasikia ni mgambo pale Kunduchi Pwani, mwaka 2020 aliwagonga watu wawili na gari lake akawajeruhi vibaya, na gari haikuwa na bima. Juzi Mahakama imetoa amri, zimepigwa mnada nyumba zake tatu ili kuwapa wahanga fidia ya milion 105, nyumba tatu zishauzwa...
  3. FlyingDutchman

    Vidokezo vya kuingia katika mahusiano yenye afya 2023

    Guys hi kitu inaitwa solitude (upweke) ni kibaya sana, it's healthy but harmful as well. This year sababu ya upweke nljikuta nmeingia in a very toxic relationship, huwa inanitesa sana psychologically sababu huwa nashindwa kuwa na power of letting go especially nikimzoea mtu, in nature mimi ni...
  4. eliakeem

    USHUHUDA: JINSI EU, US NA NATO WALIVYO SABABISHA MAJANGA LIBYA

    Ifike mahala sasa lazima tuelewe jinsi nchi za magharibi zilivyo wanafiki na wauaji wakubwa katika dunia hii. Wengi walishuhudia jinsi nchi za magharibi na miungano yao ikishiriki kuhatarisha amani ya dunia. Lakini wengi wa watu duniani wako gizani kuhusiana na hilo. Wakati maharamia yakivamia...
  5. royal tourtz

    Polisi hamasisheni bodaboda kutoa ushirikiano kwa kukamatana pale mwenzao anapogonga au sababisha ajali

    Imekuwa ni kama kawaida sana kwa siku hizi na tokea zamani pale inapotokea mwendesha pikipiki za abilia maarufu kama bodaboda. pale inapotea bodaboda yeyote kugonga mtu au kusababisha ajari,na bodaboda huyo kutoweka kabisa na hakuna wa kumfatilia. Tatizo kuu ambalo lipo,huyu bodaboda anaweza...
  6. mshale21

    #COVID19 Uviko-19 wadaiwa kusababisha upungufu wa nguvu za kiume, tukachanje tuepuke tatizo

    Dar es Salaam. Madaktari wamebaini kuwa virusi vipya vya Uviko-19 vinaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume. Hata hivyo takwimu za mwisho zilizotolewa na Wizara ya Afya nchini Agosti 15, zilionyesha kuwa walengwa 207,391 wamepatiwa chanjo ya Uviko-19 mpaka kufikia Agosti 14 mwaka huu...
  7. chivala

    Nyama ya Nguruwe: Ni kweli ina vimelea hatari vinavyosababisha ugonjwa wa ini?

    Wana JF nawasalimu, Wakuu nikiachana kwa upande wa dini zetu ISLAMIC na SABATO-CHRISTIAN uhalali na haramu wa NGURUWE, kuna mambo mengine yanayosemwa kuhusu nyama ya nguruwe. Mimi sijui kama ni uzushi au ni kweli kwa hivyo nawaomba wana jamvi watufafanulie sifa hizi nzuri na mbaya zinazo...
Back
Top Bottom