Abiria wa Treni ya TAZARA washushwa mpakani ili Treni Ipulizwe Dawa ya kuua vimelea vya Kipindupindu

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
cc7024d2-d8b4-408f-bfdc-97529cdbd4dc.jpeg
Abiria wa Treni ya TAZARA iliyotoka Zambia wameshushwa mpakani Tunduma ili Treni ipulizwe dawa ya kuua vimelea vya Ugonjwa wa Kipindupindu.

Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji Tunduma, Dr. Enock Mwambaraswa amesema hatua hiyo imekuja kutokana na taarifa za kuwepo kwa Ugonjwa wa Kipindupindu nchini Zambia, hivyo hatua hiyo ni tendo la kujihami ugonjwa usiingie nchini.
dc24390c-6157-4c59-85b2-72c0eb1d0363.jpeg

3cdb2834-82fd-4921-8745-af5cc128ba37.jpeg

d3bd1358-7055-43dc-b095-95ee94d8b438.jpeg
 
Abiria wa Treni ya TAZARA iliyotoka Zambia wameshushwa mpakani Tunduma ili Treni ipulizwe dawa ya kuua vimelea vya Ugonjwa wa Kipindupindu.

Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji Tunduma, Dr. Enock Mwambaraswa amesema hatua hiyo imekuja kutokana na taarifa za kuwepo kwa Ugonjwa wa Kipindupindu nchini Zambia, hivyo hatua hiyo ni tendo la kujihami ugonjwa usiingie nchini.
Safi sana
 
Safi sanaa, hata gari za mikoani na wasafiri wengineooo wafanye hivyoo
 
Hii imekaa kijasusi zaidi kuwaandaa watu kuwa 24.01.24 ni usafi unaosimamiwa na kamandi ya nchi kavu kuzoa taka za maji na mikojo ya mateja.

Kimelea wa kipindupindu anaishi kwenye mavi na vyakula.

Vinginevyo wawapulizie abiria wenyewe
 
Back
Top Bottom