vijana

  1. G

    JamiiForums Tanzania SoC01 Sera na Sheria za Tanzania inavyowanyima Vijana Michongo

    Mifano ya sera na sheria za tanzania zinavyowanyima vijana wengi michongo. # Mashariti ya kumiliki na kusajili maudhui ya mtandaoni( Youtube channels, Blog, website, etc) Chanzo: https://www.tcra.go.tz/uploads/documents/sw-1619110553-The Regulator Special Edition.pdf Ni vijana au...
  2. _Angel

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uwezeshaji Sera za kilimo kwa vijana

    Kilimo ni taaluma inayojulikana na pia ni mwajiri mkubwa wa wananchi wengi katika taifa hususani kwenye nchi zinazoendelea mfano; Tanzania. Japokua watu wengi wanaojishughulisha na kilimo Kama njia moja wapo ya maisha Mara nyingi ni watu wa makamo(aged) pamoja na wale wasio na elimu, ingawa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kushuka kwa kiwango cha Elimu nchini na hatua za kuchukua

    Katika maendeleo ya jamii elimu ni nguzo muhimu sana, thamani ya elimu ni kubwa mno kiasi kwamba mtu hawezi akajua thamani ya elimu papo hapo. Waliofanikiwa na wakapata mafanikio kama ajira wanajivunia thamani ya elimu na wale baadhi ambao bado wanahangaika mitaani baadhi yao hao hawaoni...
  4. Akwinox_Nico

    JamiiForums Tanzania SoC01 Vituo vya kilimo atamizi (incubation centres): Njia ya kuongeza uzalishaji pamoja na kuinua kipato kwa vijana Tanzania

    Andiko langu linaanza kwa kusema Tanzania inaweza kuwa nchi nambari moja duniani katika ujenzi wa ajira nyingi kwa vijana na kila mtu akabaki akijiuliza imekuweje kwa muda mfupi namna hii?. Nchi ya Tanzania sio nchi ya kulia njaa kila siku, sio nchi ya kutembeza bakuli na kuomba misaada...
  5. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania SoC01 Vijana kutumia ardhi kubwa tuliyonayo kwa Kilimo

    Habari JF, Tanzania kama zilivyo nchi nyingine tatizo la ajira limekua sugu kwa vijana . Takwimu zinaonyesha kundi la vijana linaongezeka; kutakuwa na ongezeko la vijana kufikia million 15 kufikia mwaka 2030 tofauti na sasa ambapo idadi ni million 11. Hili ongezeko la vijana linaweza kuwa na...
  6. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ujasiriamali na Changamoto kwa vijana wa Kitanzania

    UJASIRIAMALI ni mchakato endelevu unao ambatana na Imani juu ya kujikomoa kiuchumi kutoka hatua moja kwenda hatua nyingine ya juu zaidi. Nchi nyingi duniani hasa mataifa makubwa toka miaka ya 1960 zimepata kuendelea kutokana na sera tofauti tofauti zilizoanzishwa na serikali zao juu ya...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dkt. Dorothy Gwajima: Serikali haitatumia nguvu, jilindeni na Covid-19

    PICHA: Dkt. Dorothy Gwajima Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk Dorothy Gwajima amesema serikali haitatumia nguvu katika kukabilia wimbi la tatu la virusi vya corona, na badala yake watajikita katika utoaji elimu zaidi. Akijibu maswali ya waandishi wa habari jana Dar es...
  8. O

    JamiiForums Tanzania SoC01 Platform ya Siasa Afrika sio chaguo sahihi la maendeleo kwa vijana

    Afrika tumekuwa tukitafsiri siasa tofauti , miaka ya nyuma kidogo hususani miaka ya 2000 vijana wengi tulijua siasa ni uongo mtupu , na jamii nyingi za vijana ziliamini kwamba hupaswi kumuamini kabisa mwanasiasa , lakini miaka ya 2015 na kuendelea, siasa ilianza kuonekana ni ajira nzuri na...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Vyama vinakosea kuwaruhusu vijana wa siku hizi kuwa wasemaji

    Vijana wa siku hizi wana uelewa mdogo, washabiki na wapenda sifa. Vijana naongelea hapa ni chini ya miaka 35 ambao wapo kwenye kundi hizi za umoja wa vijana. Je ni wangapi wamewahi kukupa ushauri wa maana!. Siwasemi kwani ni tatizo la kidunia kwa sasa. Inasikitisha kuona vijana wa miaka 20's na...
  10. Dr. Wansegamila

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana waliomaliza form six wanaotarajia kujiunga chuo

    Wakulungwa habari za siku nyingi. Leo nimeonelea nitumie muda wangu kidogo kuandika kwa ajili ya kuwapa ushauri vijana wetu ambao ndio wamemaliza kidato cha sita, hasa wale ambao ndoto zao ni kuendelea na masomo ya chuo. Zifuatazo ni dondoo chache kutoka kwangu kaka yenu ambae nimebahatika...
  11. Masiya

    JamiiForums Tanzania Madirisha ya udahili TCU na mkopo HESLB yamefunguliwa: Je, JKT itawaruhusu vijana walio makambini kurudi kupeleka maombi?

    Kichwa cha uzi kinajieleza. Hadi leo sijaona dalili za vijana kupewa muda wa kurudi nyumbani ili wa process maombi yao kwa kushirikiana na familia zao. Miaka iliyopita nini kilifanyika?
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ushauri bora zaidi kwa vijana wanaomaliza Kidato cha Nne na Sita

    Habari! Ushauri huu unawafaa vijana waliotoka familia za uchumi wa chini na kati. Imekuwa kama desturi watu wa maisha ya chini na kati kuishi kwa bahati, yaani family haina mkakati kabambe juu ya mustakabali wa mtoto. Mzazi hajui mtoto atakuwa nani na mpoto anaota ndoto kubwa ambazo mimi...
  13. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wa PCM pekee ndio hupiga one za tatu Tanzania?

    Nimekuja na tokeo la vijana machachari kutokea KISIMIRI wakiendelea kunyosha misonge ya one kali. Swali langu ni moja kwanini ni vijana wa PCM tu ambao hutoboa kupiga one za tatu tangu Tanzania kuumbwa.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Siku hizi vijana wana-date na wamama watu wazima

    Kwa niliyo yaona mtaa niliotoka. 1. Huyu mmama wa kwanza mwanae ni mshikaji wangu nilisoma nae mafundisho, mama ni mjane, mwana alimfuma mama yake anagongwa home na kijana mdogo. Jamaa alimpiga mama yake na yule dogo. 2. Kuna mama huyu muimba kwaya kanisani huyu ndio oya oya, vijana wengi wa...
  15. Swahili_Patriot

    JamiiForums Tanzania Binti wa mpangaji mwenzetu katembea na kundi letu lote lenye vijana watano

    Tunaishi watu 5, maisha ya kighetogheto. Kuna jirani yetu flani hajielewi kabisaaa, mme wake mwenyewe ni yanki tu kijana n anamzaa kabisa. Shida ilitokea baada ya mwanae kwenda kuhamia kwa mamaake. Alipohamia tu mwenetu mmoja akamuwai fasta kutokana n utimamu wa kumaimbile wa mtoto, hatareee...
  16. Muhabeshi

    JamiiForums Tanzania Tunajikwamuaje katika mambo haya vijana wenzangu?

    Tatizo hapa ni vijana wengi kuzama kwenye kilevi cha ngono zembe, na hasara zake ni kubwa 1. Akili kudumaa 2. Maradhi 3. Upotevu wa malezi sahihi kwa watoto 4. Kulega kwa ndoa 5. Kudorora kwa maendeleo ya mtu mmoja mmoja, familia mpaka taifa. Hayo ni baadhi yake, swali ni je tunaweza vipi...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kwa watafutaji wasio na kazi maalumu

    Habari zenu wandugu. Baada ya kupata vijana wa nne ktk tangazo langu la kwanza wale wa kuchoma ashua sasa nimekuja na hili lengo likiwa ni kuinuana na kusaidiana. Kuna laki tatu hapa mfuko wa shati ambazo si nyingi kwa mwenye nazo na pia si ndogo kwa mtafutaji. Nahitaji kijana/vijana ambaye...
  18. mshale21

    JamiiForums Tanzania Vijana msihangaikie legacy za wengine, jitumeni ili mweke zenu binafsi

    Wasalaam, Inashangaza na kusikitisha kuona kikundi cha vijana wa CCM wakihangaikia ujenzi wa legacy ya mwendazake huku wakisahau kuwa nao inatakiwa waweke legacy kabla ya kwendazao, yaani wanajitahidi kuweka legacy zao kupitia tarumbeta na pambio za ujenzi wa legacy za aliyekuwa Mwenyekiti wao...
  19. Muhabeshi

    JamiiForums Tanzania Tusidanganyane vijana wenzangu, kukithiri kwa zinaa huleta umasikini

    Zama za sasa kumekuwa na Watoto wengi wa nje ya Ndoa, Kukithiri kwa MARADHI na hata UMASKINI. Sababu ya haya yote ni kukithiri kwa ZINAA. Kama unapinga pinga kwa hoja.
  20. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro unafahamu kuwa vijana wako wanachukua posho kuachia Bar za usiku kupiga kelele?

    Nimeileta hii kwa makusudi baada ya kutazama hiyo video hapo chini ya kina Mama wakijitetea kwa maafisa wa polisi juu ya kuondolewa kwao kwenye ukumbi wa starehe kwenye hafla yao. Waliagizwa kuwa wazime muziki kwa sababu tunazozifahamu, lakini hoja kuu hapa ni kuhusu hawahawa maaskari kwa sisi...
Back
Top Bottom