Ni vile tu ni kwa sababu ni vijana ni sehemu ya Chama, lakini naamini Mama hana jinsi lakini sote tunafahamu kuwa asilimia 90 ya vijana wa CCM ni wanafki, wamejawa na tamaa ya maisha huku wakiwa wameweka maslahi binafsi kuliko Uzalendo.
Tukichukulia mfano wa Wakuu wa Wilaya na Mikoa kwa miaka...
Ni vile tu ni kwa sababu ni vijana ni sehemu ya Chama, lakini naamini Mama hana jinsi lakini sote tunafahamu kuwa asilimia 90 ya vijana wa CCM ni wanafki, wamejawa na tamaa ya maisha huku wakiwa wameweka maslahi binafsi kuliko Uzalendo.
Tukichukulia mfano wa Wakuu wa Wilaya na Mikoa kwa miaka...
Vijana Kwenye Mikutano ya kisiasa ujitokeza kwa wingi kwenye kupiga kura kuchagua viongozi hawajitokezi kwa wingi.
Vijana wengi wanakimbilia kufanya kazi laini laini kama umachinga badala ya kufanya kazi ngum kama vile kilimo kwa sababu nikundi lenye nguvu
Wanasiasa wote ndani ya CCM na upinzani wamekuwa wakilitaja tatizo la ajira lakini kwa hotuba ya leo ya Rais Samia, ni wazi serikali haina ufumbuzi wa tatizo hili. Kujiajili hiyo siyo mbinu ya serikali, ni jambo la mtu binafsi kuamua.
Serikali lazima itengeneze ajira. Kupunguza kodi siyo mbinu...
Ndugu wanajamvi leo nataka nigusie kuhusu wimbi letu la vijana wa hili taifa la Tanzania:
Moja, vijana tupambane katika kutafuta riziki ya kila siku vijana tujikubali na tuweze kuuachia ubongo uweze kutafsiri vyema namna ya kupambana na maisha ya kawaida ya kila sikh na so kutegemea mtu ama...
Sisi vijana kwa kweli tumefurahi sana. Sana safari hii tumepata Rais Jembe hasa. Yaani ameshaonana na makundi yote ndani ya muda mchache sana.
Ashaonana na wazee (na tunashukuru mzee wetu mwinyi ulimpa zawadi ya gari) ukaonana na wanawake, umeonana na vijana nadhani bado kuonana na wanaume...
VIJANA TUKISHINDWA KUFANIKIWA KATIKA KIPINDI HIKI CHA MATENDO YA MAONO HAYA YA MH RAIS MAMA SAMIA, BASI TENA.
Na: Philipo Mwakibinga.
Leo nimepata bahati ya kuudhuria Kongamano la Mh Rais wa JMT na Vijana wa Tanzania kupitia Vijana wa Wakanda ya Ziwa lililofanyika katika uwanja wa Nyamagana...
Leo Rais ametunyoshea mkono vijana kwa kuwa hatueleweki. Hatuna mipango. Amesema kuwa Vijana wamekuwa wabeba maono/ Mabegi wa watu. Hatuna dira kama Vijana hata sera ya tangu 2007 haina maboresho yoyote.
Nikiri kuwa Mimi ni sehemu ya tulioshiriki kuandaa rasimu ya Vijana ambayo sasa ni miaka 6...
Binafsi nilijiandaa sana kuja kuongea na Mh. Rais nimweleze changamoto na masuluhisho kadhaa kwa baadhi ya changamoto tulizo nazo vijana mitaani.
Achana na mawaziri hawajui changamoto zetu sababu hawajavaa viatu vyetu. Mimi sikuja na chama chochote. Nilikuja na hoja na naona ntaondoka nazo kama...
Katika taarifa zilizotolewa na viongozi mbalimbali was serikali kuwa Mhe Rais ataongea na vijana.
Cha ajabu tangu saa 3 Asubuhi hadi sasa saa 6:25 ni taarifa za Wakuu wa mikoa wa kanda na taarifa za Mawaziri na HOYE NYINGI.
Mbona tukio linakinzana na uhalisia wa RAIS KUONGEA NA VIJANA.
4hrs ni...
Wasalaam,
Viongozi wetu wakuu wanapoteua vijana ambao pengine hawana uzoefu wala ujuzi mkubwa sio kwamba tunastahili sana ila ni kwa sababu tunatengenezwa mazingira ya kuaminiwa kwa nafasi za juu na pengine siku moja vijana ndio washike hatamu ya uongozi wa Taifa hili. Kinachoendelea sasa...
Katika muendelezo wa Rais Samia kukutana na kuongea na Makundi mbalimbali nchini, leo ataongea na Vijana wa Tanzania kupitia vijana wa mkoa wa Mwanza katika Uwanja wa Michezo wa Nyamagana.
Taarifa zaidi zinafuata:
Mkuu wa mkoa wa Mwanza ameanza kwa kuwatambulisha watu mbalimbali kwa...
Huu ni uzi huru (sio rasmi)
Kumulika Ziara ya Rais wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan mkoani Mwanza ambapo ataongea na vijana wa Kanda ya ziwa kwa niaba ya vijana watanzania yote.
Huu ni muendelezo wa Rais Samia kukutana na kuongea na Makundi Mbali mbali katika jamii.
Ikumbukwa...
Kwa vijan wengi, Maisha ya vyuoni ndio huwa maisha ya kuishi kwa uhuru kwa mara ya kwanza, Ndicho kipindi vijana wengi hutilia mkazo swala la kutafuta wachumba.
Na nisikudanganye, zamani bila kutumia ujanja unaweza ondoka chuoni hujawahi kuwa na dem, sijui kwa ikuhizi.
Mabinti wengi wa vyuoni...
Mzuka wanajamvi!
Rais mkakamavu wa Nigeria ambaye apendi upuuzi Ndugu Mohamodou Buhari amewaonya vijana wa Nigeria wawe na adabu na nidhamu kama wanataka kazi/ajira na kuajiriwa.
Buhari akizungumza kwenye Arize TV alisema usalama ni muhimu kwa uwekezaji nchini ambapo ukosefu wa ajira umepaa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ameahidi kuzungumza na vijana wote wa Tanzania kupitia vijana wa mkoa wa Mwanza.
Hii ni fursa kubwa kwa Raisi kuweza kusikia kutoka kwa vijana, lakini pia kuwashirikisha vijana wa Tanzania mwelekeo wake na mategemeo yake...
SHERIA ZIWAONGOZE VIJANA KUFANYA MAAMZI YA NAFASI ZAO.
Vijana wengi wamekuwa wakiaminiwa kwenye serikali na vyama vyao vya siasa tangu nchi hii ilipopata uhuru. Imani hii kwao inatokana na ukweli kwamba hata msingi wa uhuru wa nchi hii ni matokeo ya Umoja wa Vijana walioamua kuungana na...
Wanajamii Forum
________________
Ninaomba kama kuna mtu anaweza akawa na idea kuhusu namna ya kushiriki kikao, mkutano ama shughuli yoyote ya kiongozi wa kitaifa Mfano Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nk...
Mfano kuna taarifa kuwa hivi...
Nchi nyingi duniani zinakabiliwa na janga la ukosefu wa ajira kwa vijana,mfano nchi ya Nigeria ambayo nusu ya watu wake ni vijana wenye umri kati ya miaka 15-35 inakabiliwa na ukosefu wa ajira ya zaidi ya vijana 11.1 milioni. Halikadhalika nchi za Afrika ya Kusini, Kenya, Uganda na zingine...
Vijana wengi wanaosoma husema fulani genius anafaulu sana, huku wakiamini kashushiwa na Mungu huo uwezo.
Nimewapiga stop ndugu zangu wasiamini hii nadharia.
Waambieni kuwa ugenius hauji bure bure tu unakuja kwa juhudi haswa tena juhudi.
Niliwahi kuwaambia ndugu zangu kuwa mtaalamu aliyekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.