Waambieni vijana wenu wanaosoma kuwa hakuna u-genious bila juhudi binafsi

safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
8,491
2,000
Vijana wengi wanaosoma husema fulani genius anafaulu sana, huku wakiamini kashushiwa na Mungu huo uwezo.

Nimewapiga stop ndugu zangu wasiamini hii nadharia.

Waambieni kuwa ugenius hauji bure bure tu unakuja kwa juhudi haswa tena juhudi.

Niliwahi kuwaambia ndugu zangu kuwa mtaalamu aliyekuwa anafanya jaribio la balbu alijaribu mara zaidi ya 1000 ndo akafanikiwa.

Ingekuwa hivi leo angeambiwa mbumbumbu lakini alifanikiwa hakukata tamaa.

Alipoulizwa ulijisikiaje kufeli mara 1000 katika jaribio lako hilo akajibu "sio kwamba nilifeli mara 1000 bali uvumbuzi huu wa balbu umepitia katika hizo steps 1000"

Akimaanisha kuwa zile mara 1000 ni steps sio kufeli.

Siri ya ugenius ni juhudi na kutokana tamaa,ingekuwa ugenius upo kama tunavyoufasiri sisi basi huyu jamaa ingekuwa mara 2 au 3 taa ishawaka lakini hakukata tamaa.

Kuna jamaa alikuwa anashika namba nzuri class yeye wa kwanza tu lakini alikuwa anaamka saa 9 usiku anasoma mpaka saa 12 asubuhi huku washika mkia wamelala alafu mwishoni jamaa anawaburuza wanaamini ni genius kumbe alitumia juhudi binafsi.

Kuna mkoja nilioata historia yake alikuwa katika top three ya tanzania bora jamaa wiki kabla ya necta hakulala alikuwa anasoma tu alafu watu wnaamini ni genius.

Mwimgine alipomaliza mtihani wa taifa akaenda kumalizia topics za form four wakati keshamaliza.

Ugenius unaanza na kujituma na kutokana tamaa,tuwajenge katika dhana hii vijana wetu wasikubali tu kwamba kuna watu maalumu magenius.

Kuna lecturer mmoja pale Mwalimu Nyerere alikuwa akifundisha anawasimulia wanafunzi kwamba dah aisee yule mista fulani nilikuwa napiga nae msuli usiku chuo hatari, alafu jamaa wamegonga G.P.A za juu sana.

Ukitaka ugenius kwanza usikate tamaa, pili uwe na juhudi.

Kuna tafiti nyingi sana zilifanyiwa majaribio mara kibao mwanzo zikafeli lakini watafiti hawakukata tamaa katu.

Tuwafundishe hivi vijana wetu.
 
Wangari Maathai

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
35,065

Watakuja watasema wewe ni motivesheno spika..u nailed!👊
 
Biggs

JF-Expert Member
May 3, 2014
685
1,000

Absolutely ! Nakubaliana na wewe kuwa juhudi binafsi inahitajika.
Tofauti inaweza kuwa kwenye wepesi/urahisi/uharaka katika uelewa kati ya mtu na mtu.
 
safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
8,491
2,000
Kuna Dr. Rudolf Diesel aliyeinvent Diesel Engine alikomaa mno na aliwahi fanya jaribio engine ika blast akalazwa miezi hospitali ila alipona akarejea tena kuendelea hatimaye mwishoni dunia ikapata DIESEL ENGINE.
Kabisa mkuu.

Kuna mambo mengi ya kutoa ushuhuda hapa.

Ndio maana kuna mtaalamu mmoja alisema kuwa "inteligence ni ile imagination uliyokuwa nayo juu ya jambo fulani"

Hiyo wa diesel engine alikuwa na vitu vitatu

1.imagination ya namna injini yake anataka iwe
2.juhudi
3.kutokata tamaa.
 
safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
8,491
2,000
Hardworking beats talent when talent doesn't work hard.

Mfano tazama Messi na Ronaldo. Mmoja anazeekea Barca na mwingine amecheza ligi zaidi ya 3.
Kinachopimwa ni mafanikio ambayo kayapata mtu na wala sio nini anapitia.

Ukiwa hutumii nguvu kubwa kwa sababu ya talent yako ukawa umetengeneza ndara,alafu mwingine ambaye hana talent akatengeneza ndege bado huyu wa ndege ataleta matokeo zaidi ya huyu aliyetengeza makubazi ya kutembelea.

Mkuu msemo wako wa kizungu sijauelewa vizuri haya ni maoni yangu tu mkuu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom