Buhari awataka vijana wa Nigeria wawe na adabu

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
6,349
2,000
Mzuka wanajamvi!

Rais mkakamavu wa Nigeria ambaye apendi upuuzi Ndugu Mohamodou Buhari amewaonya vijana wa Nigeria wawe na adabu na nidhamu kama wanataka kazi/ajira na kuajiriwa.

Buhari akizungumza kwenye Arize TV alisema usalama ni muhimu kwa uwekezaji nchini ambapo ukosefu wa ajira umepaa aslimia 33.

Buhari aliendea kusema hakuna yeyote anaweza kuwekeza katika mazingira yasiyo salama kwa iyo vijana nawata muwe na adabu na nidhamu kama mnataka ajira na kuajiriwa. Hakikisheni maeneo yenu ni salama hili muwavutie wawekezaji.

Nigeria imekumbwa na ukosefu wa ajira kwa miongo mingi na idadi kubwa ya watu. Lakini janga la Korona imezidisha hali kuwa mbaya zaidi.

Pia ndugu Buhari anashutumiwa kwa hali ya fujo kila kona ya Nigeria kwa vikundi vya wahuni na magaidi wenye silaha kuteka na kuua.

Buhari katoa onyo kali hatua madhubuti zitachukuliwa kuleta hali ya usalama Nigeria nakuwataka vyombo vya usalama wawe wakatili na wasiwe na huruma tena na kuwahakikishia wa Nigeria baada ya wiki chache zijazo maneno yake yatakuwa kweli.

"We have given the police and the military the power to be ruthless," he said. "And you watch it, in a few weeks time, there will be a difference."- Mwamba Buhari!

nyjNvg-l_400x400.jpg
 
Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
6,349
2,000
Hakuna taifa gumu kutawala kama Nigeria. Wananchi wake ni wasomi, wajuaji, janjajanja nyingi, vichwa ngumu. Pia udini ukabila ushirikina umetamalaki sana.

Mtu mkakamavu kama Buhari ndie anastahili kuliongoza taifa hilo maarufu dunia3.

Mungu amjalie afya na maisha marefu rais ndugu Buhari.
 
APEFACE

JF-Expert Member
Oct 1, 2016
3,851
2,000
Huyu dingi kama anapelea pahala fulani.. .Mbona kina Umar Yar'Adua na Goodluck Jonathan hali ilikuwa shwari ukilinganisha nayeye
 
Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
6,349
2,000
Huyu dingi kama anapelea pahala fulani.. .Mbona kina Umar Yar'Adua na Goodluck Jonathan hali ilikuwa shwari ukilinganisha nayeye
Mkuu ngoja nikugusie tu. Buhari anahujumiwa kwasababu ya kuwabana mafisadi na matajiri. Buhari hajalimbikia mali kabisa. Ukiona kijijini kwao alipozaliwa utasikitika na kusema haoa kweli ndo alipozaliwa na kulia rais.

Hata huyu Dangote, obasnjo haziivi sana na mwamba Buhari.

Jamaa kabana mianya halafu mkali na no nonesense.

Uzuri kinachomsaidia anasupport ya wakristo wa kabila la Yoruba kusini ukiachilia muslim majority north.

Ila wa Igbo wanamchukia jamaa kupitiliza. Hawa wa Igbo janjajanja nyingi sana.
 
Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
6,349
2,000
Napenda kufahamu mfumo wao wa elimu ulivyo
Mkuu kweli sifahamu. Lakini nipe mda kidogo ni google halafu pia ni consult na masela wangu kutoka Nigeria tunaobeba box nifanye comparison nikijiridhisha nakushushia nondo na madini mda si mrefu.
 
Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
37,498
2,000
Mkuu kweli sifahamu. Lakini nipe mda kidogo ni google halafu pia ni consult na masela wangu kutoka Nigeria tunaobeba box nifanye comparison nikijiridhisha nakushushia nondo na madini mda si mrefu.
Poa mkuu
 
chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
3,438
2,000
Mzuka wanajamvi!

Rais mkakamavu wa Nigeria ambaye apendi upuuzi Ndugu Mohamodou Buhari amewaonya vijana wa Nigeria wawe na adabu na nidhamu kama wanataka kazi/ajira na kuajiriwa.

Buhari akizungumza kwenye Arize TV alisema usalama ni muhimu kwa uwekezaji nchini ambapo ukosefu wa ajira umepaa aslimia 33.

Buhari aliendea kusema hakuna yeyote anaweza kuwekeza katika mazingira yasiyo salama kwa iyo vijana nawata muwe na adabu na nidhamu kama mnataka ajira na kuajiriwa. Hakikisheni maeneo yenu ni salama hili muwavutie wawekezaji.

Nigeria imekumbwa na ukosefu wa ajira kwa miongo mingi na idadi kubwa ya watu. Lakini janga la Korona imezidisha hali kuwa mbaya zaidi.

Pia ndugu Buhari anashutumiwa kwa hali ya fujo kila kona ya Nigeria kwa vikundi vya wahuni na magaidi wenye silaha kuteka na kuua.

Buhari katoa onyo kali hatua madhubuti zitachukuliwa kuleta hali ya usalama Nigeria nakuwataka vyombo vya usalama wawe wakatili na wasiwe na huruma tena na kuwahakikishia wa Nigeria baada ya wiki chache zijazo maneno yake yatakuwa kweli.

"We have given the police and the military the power to be ruthless," he said. "And you watch it, in a few weeks time, there will be a difference."- Mwamba Buhari! View attachment 1814906
unamsifia kama ulivokuwa unamsifia mwendazake ,huyo raisi sema hayupo nchi yako ! na kukuumiza ni ngumu na rudia hayupo nchi yako.
nigeria kuna matatizo bongo inasubiri ila kashindwa kutatua na wanaijeria wengi wanakimbia ma kwao kwenda kutafuta ughaibuni ili ndugu na wazazi wale.
ungekuwa unaishi na wapopo ungejua nchi yao ilivo
 
Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
6,349
2,000
unamsifia kama ulivokuwa unamsifia mwendazake ,huyo raisi sema hayupo nchi yako ! na kukuumiza ni ngumu na rudia hayupo nchi yako.
nigeria kuna matatizo bongo inasubiri ila kashindwa kutatua na wanaijeria wengi wanakimbia ma kwao kwenda kutafuta ughaibuni ili ndugu na wazazi wale.
ungekuwa unaishi na wapopo ungejua nchi yao ilivo
Mgeni nini humu? Mimi nimsifie mwendakuzimu?! I demand an apology from you right away.

Umenikisea sana arif
 
radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,007
2,000
Hakuna taifa gumu kutawala kama Nigeria. Wananchi wake ni wasomi, wajuaji, janjajanja nyingi, vichwa ngumu. Pia udini ukabila ushirikina umetamalaki sana.

Mtu mkakamavu kama Buhari ndie anastahili kuliongoza taifa hilo maarufu dunia3.

Mungu amjalie afya na maisha marefu rais ndugu Buhari.

IMG_1126.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom