Habari za boxing day wananchi,
Sisi tulio uzeeni tunafarijika sana kuona kijana Kama Sugu ambaye ameishi maisha ya taadhari zote za kiuchumi akifanikiwa kuwekeza kwenye hoteli huku akiwa hana skendo yoyote ya wizi wa fedha za umma.
Tumezoea kwa miaka mingi miradi ya vijana wa Chama cha...
TUJIKUMBUSHE..
"WAALIMU WENZANGU, HIVI MNAWAFUNDISHA NINI HAWA VIJANA?!"
MWAKA 1995. KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU, CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM)
Moja ya maeneo ambayo Prof. Lipumba alifika kufanya kampeni katika uchaguzi mkuu wa mwaka 1995 ilikuwa ni katika chuo cha usimamizi wa fedha, IFM...
TANGAZO LA KAZI TAREHE 23, DISEMBA 2020.
BEITO IINTERNATIONAL COMPANY LTD, tunajihusisha na shughuli za usafi na urembo. Ofisi zetu zipo Dar es Salaam, Wilaya ya Kinondoni, Mwenge, ITV.
Tunatangaza nadfasi za kazi kwa vijana wa kike na kiume wenye vipaji na ujuzi wa kutoa huduma zifuatazo...
Jana Spika Job Ndugai kawadharau tena eti jiajirini wakati yeye ameajiriwa tena mpaka aliwahi kumpiga fimbo mpinzani wake ili aajiriwe. maana yake hata yeye anaogopa kujiajiri.
Poleni kwa sababu hata Serikali haina mpango kabisa wa kuwaajiri tofauti na kipindi cha JK. Heri mfe wote ili miradi...
Jana job Ndugai kawadharau tena eti jiajirini wakati yeye ameajiriwa tena mpaka aliwahi kumpiga fimbo mpinzani wake ili aajiriwe. Maana yake hata yeye anaogopa kujiajiri.
Poleni kwa sababu hata serikali haina mpango kabisa wa kuwaajiri tofauti na kipindi cha JK. Heri mfe wote ili miradi yake...
Vijana ndani ya hili taifa tumemuangusha rais Magufuli katiba utekelezaji. Wengi waliopewa madaraka wamelewa na kuharibu. Mfano mzuri ni Makonda, January, Nape, Jerry Silaa, Kigwangalla na wengineo. Mimi mwenyewe nilitumbuliwa NSSF na niko bench hadi sasa ingawa nafanya biashara zangu.
Napenda...
Enzi zile nilikua napenda nione vijana wanawekwa kwenye vyeo vya ukuu wa wilaya/mkoa ana hata uwaziri, nilikua nikiamini vijana watasaidia pakubwa kusukuma maendeleo haraka nikipenda wazee wapishe vijana kwenue hizo nafasi.
Lakini mpaka sasaivi nikiangalia mifano ya hawa vijana waliopo naona...
Mahakama ya Hakimu Mkazi, imemhukumu mfanyabiashara Tariq Machibya maarufu Mr Kuku, kulipa faini ya sh. milioni tano au kwenda jela miaka 5, baada ya kutiwa hatiani kwa makosa mawili ambayo ni kujihusisha na biashara ya upatu kwa kukusanya fedha kutoka kwa umma na kukubali kupokea miamala ya...
Yaani siku hizi watembea kwa miguu na wenye baiskeli tunanyanyasika Sana na Hawa vijana wenye magari ya mkopo huku Kitaa
Yani kijana akishakopa milioni 10 akanunua gari basi anataka atambe nalo kila bar na kutembea kwa kujitanua huku akining'iniza funguo ili kila mtu amuone anamiliki gari...
Inauma, inauma Sana! Umeanza kuipenda CCM tangu utoto, ukashiriki chipukizi kisha ukaingia UVCCM.
Umesaka mpk vyeti vya elimu ya juu ili uwe na sifa zote za kupewa nafasi ndani ya chama ulichokipambania tangu utoto wako lkn unaishia kusugua benchi kwenye korido za Lumumba.
Kuna siku jpm...
Nimefanikiwa kukutana na kukaa a vijana na washikaji tofauti vijiwe tofauti ila ma jobless wanaongoza kwa kuwaza ujinga sana kuliko namna ya kujikwamua katika hali alio nayo
Unakuta ni kijana anawaza kuendesha gari ya baba kidogo kupiga masela vizinga na wengine wameka kama mitego wanasubiria...
Habari wadau!
Ebu leo tuongee ukweli hivi kweli Tanzania ajira ni tatizo au tatizo ni wahitimu wetu na vyuo vyetu vinavyozalisha hao wahitimu.?
Si kwamba kuna vyuo vinatoa wahitimu wepesi wenye degree na GPA za chupi na zenye uzito wa kinyoya na weupe kichwani kabisa kiasi ambacho hata...
Youtube kuna kila kitu waweza jifunza kutengeneza mashine yeyote, waweza jifunza vitu vingi vya kukukingizia kipato. Ona hawa vijana wa Mumbai Uswahilini walioingia shindano la American GOT talents na kushinda dola Milioni Moja.
Aliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na Serikali.
Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na vijana.
Maendeleo hayana vyama!
Just imagine upo katika kipindi cha majonzi una tafakari hili na lile baada ya kukosekana kwenye ajira! unaulizwa maswali kama haya na wazazi, ndugu na majirani;
Nasikia ajira zenu zimetoka. Vipi sasa umefanikisha? Unajibu sijafanikisha.
Anaendelea kuuliza, kwanini sasa au hukutuma maombi...
Habari wanajukwaa!
Leo nimeona niwalete kwenu vijana wenzetu ambao kwa namna moja ama nyingine wametoa mchango katika taifa letu.
Kwanza niwe wazi katika siasa mimi ni mshabiki wa CCM,na kisoka nipo Msimbazi(simba)
Katika kipindi hiki cha miongo miwili ninakiri kuna vijana wengi tumejitahidi...
Najaribu kujiuliza kwa uchungu mkubwa eti kuna watoto wamefutiwa matokeo ya darasa la saba(7) mwaka huu kwa makosa ya ulaghai yaliyofanywa na wamiliki wa shule zao bila kuwahusisha watoto kwa malengo ya kupata ufauru bora (wa ulaghai) huku upande mwingine wa siasa kuna sarakasi zinafanyika...
Nakumbuka enzi hizo ilikuwa kawaida kabisa kusibiria kipindi cha muziki mida ya usiku huku ukiwa na kaseti yako, unasuburia wimbo unaoupenda ukifika unaurekodi, Tulikuwa tunasubiria usiku kwa sababu mchana Dj alikiwa anaongea akijisikia wakati mziki unacheza na wimbo anaweza kuukata mapema...
Hua nasema kila siku, CCM hata wakipewa miaka 700 hakuna kitu watatufanyia watanzania zaidi ya kutufukarisha. Miaka na miaka CCM inazalisha mafukara wa kutupwa wanaoitwa wanyonge ambao mbaya zaidi ccm inawatumia tena kama stepping stone kwenye uchaguzi.
Kijana wa Kitanzania kutegemea utatoka...
Nawakumbusha vijana hasa wale wa UVCCM waliogombea ubunge na udiwani na kufeli waendelee kuwa wabunifu na wasisubiri teuzi za Serikali.
Rais Magufuli alishasema hatafanya teuzi mpya kwa sasa isipokuwa kwa Baraza la mawaziri pekee.
Zaidi ya wanaCCM 10,000 waliomba nafasi za ubunge katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.