Natafuta msichana wa kuuza duka la vifaa vya kompyuta

siz

Senior Member
Jan 26, 2015
135
25
Habari natafuta mtu wa kuuza duka la vifaa vya kompyuta ambapo vile vile dukani hapo inatolewa huduma za kiufundi.

Vigezo
  • Awe mkazi wa Arusha Mjini.
  • Awe anajua kufanya troubleshooting za kompyuta.
  • Awe anajua vizuri spea za laptop na desktop na jinsi ya kubadilisha.
  • Awe anajua kutoa kauli nzuri kwa wateja.
  • Awe anajua laptops\destop versions na thamani zake.
Jinsia ni vuzuri akiwa wa kike duka lipo Kaloleni karibu na shule ya msingi kaloleni

Kama unakidhi hapo mawasiliano watsapp 0759278651
Note: duka ni jipya tutaelewana kiwango cha malipo.
 
Back
Top Bottom