Daraja La Muda Kwa Ajili Ya Kupitishia Vifaa Mbalimbali Vya Ujenzi Wa Daraja La Kudumu La Kigongo - Busisi

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,207
4,702
Ujenzi huu ni maalumu na wa kimkakati ili kurahisisha Ujenzi wa Daraja la Kudumu la Kigongo - Busisi lenye urefu wa Kilometa 3.2

Matumî sahihi ya Rasilimali huleta Matokeo Mazuri Kwetu Sote
 

Attachments

  • FB_IMG_16022324600474922.jpg
    FB_IMG_16022324600474922.jpg
    12.9 KB · Views: 1
Katika vitu ambayo namsifu Jiwe aka Bulldozer ni hili daraja. Kwa anayeijua Sulba ya Busisi kusubiri Feri anamuelewa sana Jiwe. Tena sana.

Jiwe popote ulipo Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi wa afya yako. Upone haraka urudi tulijenge taifa letu. Amen.
 
Back
Top Bottom