TL na JP Tutawafanyia Mdahalo kwa lugha yakingereza ili kupata kufahamu uwezo wenu

Hata Kiswahili mtihani sembuse Kiingereza!
Miaka zaidi ya 17 uko darasani ukifundishwa, kusoma na kujibu kwa Kiingereza halafu leo huwezi Kiingereza.
Unajitetea mbona Wachina hawawezi Kiingereza na wengine ni Wahandisi wazuri wa Madaraja na malengo.
Huyo Mchina amesoma kwa lugha gani?
Sema tu kuongoza Afrika ni simple, hakuhitaji kuwa na akili nyingi
 
Na wasikilizaji je, watakuwa Waingereza pia? Isitoshe wewe mwenyewe na Babako hamjui hicho Kiingereza sasa itakuwaje?

Low IQ!
 
Aibu kubwa mtoa mada alitarajiwa kuungwa mkono upuz wake naona haamini anachokiona
 
Aibu kubwa mtoa mada alitarajiwa kuungwa mkono upuz wake naona haamini anachokiona
 
Back
Top Bottom