Kama huna uwezo wa kumpeleka lodge achana na mambo ya mapenzi

Sandali Ali

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
1,740
2,000
Nawapa hint wadogo zangu na ma brother wangu.

Ukijiona kila ukimpata demu uwezo wako ni kwenda guest house tu, tena huko unaomba ulipe kwa show time ili ubane matumizi basi jua umeyakimbilia mapenzi. Tafuta pesa , yes mwili umeshakua tena huenda una zaidi ya miaka 30 lakini mfuko wako haujakua.

Hapa ukiendekeza mapenzi kwenye kipindi cha ukata utazidi kujiharibia na kuvurugwa. Tafuta pesa uingie lodge achana na mambo ya guest za buku tano .

Oa au vuta binti mwaminifu ukae naye geto kama huwezi kujizuia au hutaki kupiga nyeto. Achana na ujinga wa kukimbilia guest huku huna kitu. Ukitoka unaanza kupiga hesabu mpaka pesa uliyonunulia ndomu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom