Naomba kujuzwa kifaa sahihi cha kupima uwezo wa betri za simu

KISIWAGA

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
8,023
16,480
Jamani kwa anayejua ni kifaa gani kina uwezo wa kupima uwezo wa Betri za simu anifahamishe tafadharini waungwana.
 
uwezo gani? ukubwa wa battery lenyewe, ama ukaaji chaji, ama depreciation ama uwezo gani unaotaka uujue?
 
Kuna battery tester ambayo mimi nimeitumia kupima Battery hizi kubwa haswa za Lead acid sijajua huo upande wa Hizo za simu mana simu inatumia battery aina ya Lithium ion
 
Mkuu namaanisha hasa uwezo wa betri kukaa na chaji
Huwezi kupima na kifaa sababu matumizi yanatofautiana, unaweza tu ukaangalia benchmarks mbalimbali online ukaangalia njia zao wanazotumia kufanya benchmarks halafu ukarelate na matumizi yako.
 
Kwahiyo multimeter haiwezi kutumika kupima betri ya simu
 
Hapana huwezi, ungeweza kupima hivyo kama simu ingekuwa inafanya jambo moja tu mfano kupiga simu, ila simu zina zaidi ya mamilioni ya uses kila mtu anafanya jambo lake, kila simu ina processor yake, kila simu ina display yake etc hayo mambo yanaathiri battery tofauti tofauti
 
OK sawa mkuu nimekuelewa vipi kuhusu ukubwa wa betri yani mAh wenyewe unapimwa na kifaa kipi
 
Chief-Mkwawa Mimi naomba kuuliza je betri la kampuni ipo linafaa kufanya replacement kwenye Tecno pop2f maana simu ya dogo imekufa battery
 
Nimeona ni removable, Soma model yake mkuu katafute same model maana huwa zinaingiliana.

Nimecheki ni BL-24ET unaweza hakikisha, Agrey hukosi
 
Shida kupata inayofanya kazi Kwa ufanisi maana nyingi jau!!
Nilinunua same model ila halikai na moto Bora hata Bovu linahold kwa 30 min so why nikauliza aina ipi ni nzuri
 
Hio ulionunua ni ya Tecno wenyewe? Aliexpress pia zipo labda ujaribu kwa nje, naona around 15k
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom