utumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Mtu akiacha kazi bila sababu utumishi wa umma kisheria anastahiki alipwe mafao yake?

    Habari wanajamvi nilikua nauliza je mtu akiacha kazi utumishi wa umma bila sababu yoyote na kutoa taarifa anastahili kulipwa mafao yake
  2. JamiiForums Tanzania CWT dude lenye nguvu linaloisumbua Rais na kuchanganya sana walimu. Kwa nguvu ya pesa linaogopwa sana na maafisa utumishi

    Mama kama alitaka kuingilia chama hiki labda kwa lengo zuri, au lengo mahususi. Akafanya uteuzi wa viongozi wake. Kati ya viongozi wa Juu alilipoti moja tu. Kajaribu sana kuweka vitu upya kaambulia patupu. Li chama limejaa Fedha. Fedha imekipa heshima na kuogopwa sana na viongozi wa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Majukumu ya katibu mkuu utumishi

    Habarini, Hivi ni yapi majukumu ya katibu mkuu utumishi nijuzeni au Kama Kuna PDF ya majukumu hayo nipeni link
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ni kipengele gani kinamruhusu Katibu Utumishi kumwamuru PSRS kushughulikia suala la ajira ya mtu?

    Ni kipengele gani kati ya vifuatavyo kinamruhusu katibu utumishi kumwamuru PSRS kushughulikia suala la ajira la mtu? Ni kipengele kipi
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge Saashisha Mafuwe: Ili Mkurugenzi wa Halmashauri ateuliwe anatakiwa awe amefanya kazi miaka 12 Utumishi wa Umma

    "Nakupongeza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Hongera sana. Hii kwasababu una uwezo mkubwa sana na umetuheshimisha sana" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai. "Namshukuru Mheshimiwa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Hongera RC Chalamila Kwa utumishi uliotukuka Kwa Kupambana na biashara haramu ya ukahaba, LAKINI.....

    Salaam, Shalom!! Ulichokifanya ni WAJIBU wako kama kiongozi, ila Si vibaya kukupongeza sababu wamekuwapo wakuu wa mikoa wengi tangu uhuru lakini hawakupata mafanikio kama uliyofikia Hadi sasa!! Kongole!!!🙏 Kupambana na biashara ya ukahaba inahitaji mtu kuwa na akili kama ya Mwendawazimu...
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa utumishi na TAESA

    Natumai mpo vyema leo katika namna kujenga na kutoa ushauri ningependa kuona UTUMISHI-TAESA wakijoin force kupunguza mlundikano wa interview na kupunguza cost kwa hizi taasisi mfano mdogo uandaaji wa mitihani, safari, pesa za chai n,k lakini pia itasaidia utumish kupeleka watu sahihi kwa kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia rekebisha mapungufu Utumishi kama yapo lakini sio kuruhusu taasisi ziajiri zenyewe

    Mama yetu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani, wewe ndio Rais wetu, tukiwa na shida lazima tukulilie wewe. Kuna mengi umeifanyia hii nchi mazuri na unasifa kubwa ya kuwa msikivu mfano suala la DP World. Umesema umechukuwa mapendekezo ya watu ukarekebisha baadhi ya vitu vilivyolalamikiwa, na mimi...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi kuchelewa kwa matokeo ya TRA kunavyochelewesha utumishi kuita interview kwa fani za uhasibu na Manunuzi kwa MDAs na LGAs

    Habari wana JF! Kama mnakumbuka mwezi July 2023 utumishi walitoa nafasi za ajira kwa kada mbalimbali zikiwemo za uhasibu na manunuzi kwa MDAs na LGAs. Mwezi huu tarehe 4 kuna kada waliitwa interview isipokua uhasibu na manunuzi, na sababu inasemekana wanasubiri TRA wamalize mchakato ili...
  10. JamiiForums Tanzania Wenzetu Utumishi kuna jipya mwezi huu?

    Wale tunaoishi na Samia. Chakula cha shikamoo. Je, mshahara una chochote kitu October?
  11. D

    JamiiForums Tanzania Cut off point ya GPA Utumishi ya kuitwa kwenye interview ni ngapi?

    Habari wanajamvi, Nilikua naomba kuuliza je cut off point ambayo utumishi na tasisi zingine wanaconsider wa kifanya shortlisting ili waite watu kwenye interview ni GPA ya ngapi (ukiachana na kazi za academicians)
  12. JamiiForums Tanzania Changamoto katika mfumo wa ESS UTUMISHI

    Habarini viongozi, yeyote aliyefahamu namna ya kukabili changamoto hii katika kujisajili kwenye mfumo wa "ess utumishi" tusaidiane hapa
  13. T

    JamiiForums Tanzania Msaada hints za maswali ya written interview ya utumishi nafasi ya katibu afya

    Msaada wadau maswaya ya written interview ya utumishi nafasi ya katibu afya
  14. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa TANESCO wagoma kutoa asante kwa Maharage kwa Utumishi ukiotukuka

    Baadhi ya wafanyakazi wa TANESCO wamepinga graphics zinazosambaa za kumpongeza Maharage na mwenyekiti wa Bodi. Wanahoji hizo pongezi wamezitoa wakiwa wapi? Imedaiwa ni kikundi cha watu kimeshinikiza watu wakae na kutoka ASANTE na Shukurani. Hizo Pongezi za Mkurugenzi mpya tumezitoa wapi hata...
  15. JamiiForums Tanzania Kuteuwa Wakurugenzi nje ya Utumishi wa Umma hakupaswi kufumbiwa Macho

    Kimsingi, hakuna teuzi yeyote anayofanya Rais isiyokuwa na masharti. Wakurugenzi ni watumishi wa umma ambao ni permanent and pensionable. Wanatambulika kwenye muundo wa utumishi wa umma. Na sifa za kuwa mkurugenzi ni kuwa angalau umetumikia managerial position ya ukuu wa Idara kwa miaka mitano...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia wanakuhujumu kwenye umeme na maji uonekane hufai

    Mara baada ya kumuondoa maharage wapambe wake wanazima umeme na maji hayasukumwi kwa baadhi wa wananchi. Kisimngizio pressure/msukumo mdg? Kinyerezi Kanga ipo sintofaham wanakuhujumu mh rais ili Uonekane hufai, hawasambazi maji wanayafunga makusudi wanadai msukumo mdogo. Watanzania wa ajab...
  17. JamiiForums Tanzania Yameanza kwa TRA yatafata kwengine, TRA kusimamia wenyewe ajira badala ya utumishi tunarudi kule kule kwenye ajira za ukoo na kujuana

    Mke: Mume wangu, mdogo wangu kile kipindi utumishi wanasimamia ajira hakupata kabisa. Mme: Ni kweli utumishi walikuwa pasua kichwa, walituharibia sana, mambo ya connection yalipigwa panga. Mke: Sasa Mama karuhusu Mashirika mjisimamie msaidie basi mdogo wangu. Mme: Ondoa shaka, mdogo wako...
  18. JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Maafisa Utumishi acheni kuwa miungu watu

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amewaagiza Maafisa Utumishi wa Halmashauri zote nchini kuacha tabia ya kukaa ofisini badala yake watembelee ofisi za watumishi zilizopo katika Kata na Vijiji ili kutatua changamoto za watumishi...
  19. JamiiForums Tanzania Maoni yangu kwa Utumishi (Ajira Portal)

    Haya yakizingatiwa angalau yatasaidia kuboresa mazoezi ya usaili yanayoendeshwa na Utumishi: 1. Katika upande wa mwombaji Waboreshe utoaji wa taarifa kama kuitwa, matokeo, ratiba na mabadiliko yoyote kupitia sms kwa sababu taarifa wanazotoa kwenye website na mifumo inaweza kukwamishwa na mtu...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwan Kikwete: Serikali kufanya mabadiliko makubwa ya Sheria ya Utumishi ili kuwapa kipaumbele wanaojitolea

    Serikali inaendelea kufanya mapitio ya sheria ya utumishi ili kupata muarobaini wale wote wanaojitolea katika taasisi mbalimbali za umma. Hayo yameelezwa leo Jumatatu Septemba 04, 2023 Bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete wakati akijibu swali la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…