Habari wana JF!
Kama mnakumbuka mwezi July 2023 utumishi walitoa nafasi za ajira kwa kada mbalimbali zikiwemo za uhasibu na manunuzi kwa MDAs na LGAs. Mwezi huu tarehe 4 kuna kada waliitwa interview isipokua uhasibu na manunuzi, na sababu inasemekana wanasubiri TRA wamalize mchakato ili candidates wasije pata ajira utumishi na TRA kwa wakati mmoja.
Hivyo utumishi wanasubiri mpaka TRA wamalize mchakato ndipo waite watu kwa ajili ya written interview. Kwa hyo TRA kuchelewa ni athari kubwa mno kwa michakato mingine.
Nawasilisha.