CWT dude lenye nguvu linaloisumbua Rais na kuchanganya sana walimu. Kwa nguvu ya pesa linaogopwa sana na maafisa utumishi

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,657
2,252
Mama kama alitaka kuingilia chama hiki labda kwa lengo zuri, au lengo mahususi. Akafanya uteuzi wa viongozi wake. Kati ya viongozi wa Juu alilipoti moja tu. Kajaribu sana kuweka vitu upya kaambulia patupu.

Li chama limejaa Fedha. Fedha imekipa heshima na kuogopwa sana na viongozi wa serikali.
Linaweza kuzuia mwalimu kutotoka au. Kusitisha makato yake bila kusema sababu. Kwanini? Dude kuubwa linapesa.

Akuna Afsa utumishi wa kwenda nalo kinyume bila kutishwa sana. Yani libishie ukose vitamu.

Kila kona kuanzia Tanga, Mbeya, Mwanza, Kagera na kigoma watu wanaotaka kutoka hawapati nafasi. Chama kingine cha walimu na walimu wamebaki Kulia kwenye vyombo vya habari. Wameenda takukuru wanaopata haki wachache baadae halitoi walimu kwenye makato. WanaJaza fomu, Andika barua, Serikali imeandika nyaraka kibao, sheria na miongozo. Ila maafisa mbele ya CWT wamekufa wamuoza. Sababu linamwaga pesa.

Sasa walimu wanaumia, Raisi anaumia lakini katu hakuna wa kuigusa huku chini. Kuondoa makato yake kwenye mishahara labda kuamia kwingine ni vigumu mnoo.
 
Kila kona kuanzia Tanga, Mbeya, Mwanza, Kagera na kigoma watu wanaotaka kutoka hawapati nafasi. Jaza fomu, Andika barua, Serikali imeandika nyaraka kibao, sheria na miongozo. Ila maafisa mbele ya CWT wamekufa wamuoza. Sababu linamwaga pesa.

Sasa walimu wanaumia, Raisi anaumia lakini katu hakuna wa kuigusa huku chini. Cwt falme lenye nguvu.
Teacher eeeh mambo vipi, waaguma'aao kalumuna waange! Sikia acha kudanganya watu, hakuna dude kubwa nchini kushinda Serikali yenyewe ya juu, na kwa vipande vipande hakuna dude kubwa kushinda JWTZ
 
Mama kama alitaka kuingilia chama hiki labda kwa lengo zuri, au lengo mahususi. Akafanya uteuzi wa viongozi wake. Kati ya viongozi wa Juu alilipoti moja tu. Kajaribu sana kuweka vitu upya kaambulia patupu.

Li chama limejaa Fedha. Fedha imekipa heshima na kuogopwa sana na viongozi wa serikali.
Linaweza kuzuia mwalimu kutotoka au. Kusitisha makato yake bila kusema sababu. Kwanini? Dude kuubwa linapesa.

Akuna Afsa utumishi wa kwenda nalo kinyume bila kutishwa sana. Yani libishie ukose vitamu.

Kila kona kuanzia Tanga, Mbeya, Mwanza, Kagera na kigoma watu wanaotaka kutoka hawapati nafasi. Jaza fomu, Andika barua, Serikali imeandika nyaraka kibao, sheria na miongozo. Ila maafisa mbele ya CWT wamekufa wamuoza. Sababu linamwaga pesa.

Sasa walimu wanaumia, Raisi anaumia lakini katu hakuna wa kuigusa huku chini. Cwt falme lenye nguvu.
Acha urongo wako.
Kenge wewe.
Wilaya nyingi zimeshaachana na hili lidude kwa notisi ya siku 30 tu (kujitoa) kwa mwalimu kumjulisha DED. Na inatekelezeka kwa kasi ya mwanga!
Hivi bado kuna watu wamelala hadi sasa?
 
Mama kama alitaka kuingilia chama hiki labda kwa lengo zuri, au lengo mahususi. Akafanya uteuzi wa viongozi wake. Kati ya viongozi wa Juu alilipoti moja tu. Kajaribu sana kuweka vitu upya kaambulia patupu.

Li chama limejaa Fedha. Fedha imekipa heshima na kuogopwa sana na viongozi wa serikali.
Linaweza kuzuia mwalimu kutotoka au. Kusitisha makato yake bila kusema sababu. Kwanini? Dude kuubwa linapesa.

Akuna Afsa utumishi wa kwenda nalo kinyume bila kutishwa sana. Yani libishie ukose vitamu.

Kila kona kuanzia Tanga, Mbeya, Mwanza, Kagera na kigoma watu wanaotaka kutoka hawapati nafasi. Chama kingine cha walimu na walimu wamebaki Kulia kwenye vyombo vya habari. Wameenda takukuru wanaopata haki wachache baadae halitoi walimu kwenye makato. WanaJaza fomu, Andika barua, Serikali imeandika nyaraka kibao, sheria na miongozo. Ila maafisa mbele ya CWT wamekufa wamuoza. Sababu linamwaga pesa.

Sasa walimu wanaumia, Raisi anaumia lakini katu hakuna wa kuigusa huku chini. Kuondoa makato yake kwenye mishahara labda kuamia kwingine ni vigumu mnoo.
Acheni kuingilia vyama vya wafanyakazi. Pambaneni na vyama vyenu vya siasa
 
Ndio tafsiri halisi ya kuwa na pesa. Ukiwa na pesa, kabla hujahujumiwa, taarifa zimeshafika kwako. Kuwa na pesa ni kubarikiwa. Ukibarikiwa hakuna baya litakaloweza kusimama juu yako.
 
Back
Top Bottom