usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. dronedrake

    JamiiForums Tanzania CENTCOM imekiri kuuliwa kwa baadhi ya wanajeshi wa kimarekani kadhaa nchini Jordan baada ya mashambulizi ya makombora balistiki ya Iran usiku wa Jana

    Wanajeshi wawili waliokuwa wanatumikia jeshi la Marekani chini Jordan, wameuwawa kwa makombora ya balistiki ya Iran yaliyovurumishwa usiku wa jana kwenye kambi kadhaa za Marekani Mmoja wa wanajeshi hao haonekani alipo mpaka muda huu Ikumbukwe, jeshi la ulinzi la Jordan ilisema lilifanikiwa...
  2. venchwa

    JamiiForums Tanzania Haya sasa maisha matamu usiku huu Singapore

    Singapore, mvinyo, na mrembo.nakula Maisha hayahitaji zaidi ya haya.na maisha polepole... na mrembo mzuri kando yangu 🍷🇸🇬
  3. Numero Uno

    JamiiForums Tanzania Aibu nyingine inatokea usiku wa leo

    Baada ya France kufungwa na kupigiwa mpira mkubwa sasa kesho ni zamu ya Argentina ambaye kuanzia group stage mpaka quarter final amekuwa akicheza na vibonde pamoja na kubebwa na marefa Sasa kesho bigwa wa mbinu na bigwa wa knockout Tomas Tuchel atawaonesha ubovu wa Argentina
  4. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Nilipanda basi la usiku kulekea Bukoba, nikalala mapajani kwa mkaka, nilienjoy sana

    Utamu wa safari za usiku kwa kutumia mabasi "Nilisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Bukoba kwa basi. Tuliondoka stendi majira ya saa 10 jioni. Bahati nzuri nilikaa siti moja na kijana aliyekuwa mwenye upole na mwenye sura ya kuvutia. Baada ya usiku kuingia, nilisinzia. Akiwa anaona nimelala...
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kutozima simu usiku: Daraja la Wokovu Wakati wa Dharura

    Wandugu zingatieni sana hili hasa ukiwa pekeyako Ni uamuzi wa busara sana kutozima simu yako unapoenda kulala, kwani hatua hii ndogo inaweza kuwa tofauti kati ya usalama na janga kubwa. Nyakati za usiku zimejaa mambo yasiyotabirika, na simu yako ikiwa hewani inafanya kazi kama kiunganishi...
  6. kyagata

    JamiiForums Tanzania Wife huwa haniachii msosi wa usiku

    Heri ya jumapili nyote!! Nina kesi yangu hapa,kila nikirudi usiku sikuti chakula cha usiku,nikimhoji wife anasema eti alijua nimekula kwenye ulevi wangu. Jana nimerudi na ubao sio poa,lakini sikukuta msosi mezani. Wakuu,nafanyaje hapa?
  7. Stability

    JamiiForums Tanzania Hii picha moja tu imejumuisha tatizo kubwa lililopo ndani yetu vijana wa kileo

    Tume normalize mipaka iliowekwa kati ya ufuska na ukawaida Tume haribu kuta zilizokuwa zimewekwa kati ya utupu na watoto wetu. Hauwezi piga picha ya namna hii alafu mtoto wa umri huo mipaja imetoka na ameishikilia. Mipaja hii itaonekana katika public, yani akionwa huyu dogo anakumbukwa na...
  8. realMamy

    JamiiForums Tanzania Usiku Mwema

    Wataalamu wa afya wanasema ili kupata utulivu na kuondokana na msongo wa mawazo, hakikisha unalala kwa masaa 7 hadi 8 na kuepuka kutumia simu kabla ya kulala. Unaweza kusikiliza nyimbo za utulivu ili kupunguza uchovu wa siku nzima.
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Nini cha kufanya usiku wa full moon?

    Baadhi ya mambo ambayo watu hufanya ni: Kutembea au kufanya matembezi mafupi kwa mwanga wa mwezi (mahali salama). Kupiga picha za mwezi na mandhari ya usiku. Kupiga kambi au kutazama nyota. Kutafakari, kuandika malengo au kutumia muda wa utulivu. Kuhusu imani kwamba full moon huongeza nguvu za...
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania DC Magoti-Kisarawe: Ujumbe wako toka kwa wananchi, polisi wanyanyasa kwa ruksa yako usiku wa manane!

    "Brand ya Wanaume", DC Magoti wa Kisarawe akilalamikiwa vikali baada ya polisi kuvamia nyumba na kuvunja geti. Utaratibu wa ukamataji kwa PGO umezingatiwa? Clip inazunguka mitandaoni.
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania Hoteli ya Mapito Safari Camp, Serengeti, kulala Usiku mmoja ni Milioni 4.5 hadi Milioni 7. Nani mmiliki?

    Inadaiwa inamilikiwa na Mtanzania Patel. Lakini nimeongea na Mwarabu rafiki yangu, nilimuuliza kwanini Tangu Januari 2026 hii hotel inapokea Watu wengi kutoka Uarabuni hasa Oman? Gharama ya kulala pale usiku mmoja, inaanzia milioni 4 hadi Milioni 7 na kuendelea kutegemeana na Msimu. Akanijibu...
  12. Mvinyo mpya

    JamiiForums Tanzania South Africa anaenda kufuzu hatia ya 16 Leo usiku

    Canada hawana mpira wa maana wamatumbi wakikaza na kuacha papara! Mechi saa nne usiku.
  13. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania FT: Ecuador 2-1 Germany | Worl Cup 2026 | MetLife Stadium | 25 Juni, 2026 | 5:00 Usiku

    Ecuador na Ujerumani wanashuka kwenye dimba la New York New Jersey Stadium, huku Waamerika Kusini hao (Ecuador) wakipambana kufa na pona kupata nafasi ya kutinga hatua ya mtoano dhidi ya Wazungu (Ujerumani) ambao tayari wameshafuzu. Ecuador waliingia kwenye mashindano haya ya Kombe la Dunia la...
  14. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Huwa nachukia sana 'Kelele' wakati wa Usiku na Asubuhi

    Nahisi nitakua nina tatizo la phonophobia. Ninachukia sana sauti sana sana wakati wa asubuhi na nyakati za usiku yaan sipendi kabisa makelele mida hio. Napenda sana sehemu yenye ukimya. Napenda sana utulivu na kukaa sehemu iliyotulia muda mwingi nikiwa mwenyewe. Sauti pekee inayonipa furaha...
  15. britanicca

    JamiiForums Tanzania Wanakuachia mchana wanakufuata usiku, nchi ya kishenzi sana

    Jilindeni sana, Kikosi kinapewa maelezo tena kama ilee ya code 29102025 Britanicca
  16. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Matembezi ya shetani usiku huu

    Usiku huu, ulimwengu wa roho unashuhudia matembezi makali ya shetani na jeshi lake la mapepo, usiku unaoambatana na dhoruba za kila aina ya uharibifu ambapo mkuu wa giza anajipenyeza kama upepo wa sumu akitafuta milango ya fikra na ndoto zilizowazi ili kupandikiza mbegu za hofu ya kifo, magonjwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ngoma zimeanza usiku huu katika kanisa la walokole

    Ngoma zimeanza usiku huu katika kanisa la walokole. Sijui kama tutapata usingizi. Ibada yenyewe ni kesho lkn mziki ushaanza usiku huu tena mkubwa
  18. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Trump: Usiku wa leo tunaenda kuishambulia vibaya sana Iran.

    Trump anaenda kujitia kidole cha macho.
  19. ngara23

    JamiiForums Tanzania Machimbo ya Kariakoo yapo usiku wa manane tu, mchana hutayaona utadalaliwa tu

    1. Ukitaka chimbo la bidhaa zote acha usingizi, nenda Kariakoo muda kama huu saa 8 za usiku 2. Machimbo ya bei nafuu sio Siri, yapo wazi usiku tu kuanzia saa 7,8,9 ndo utayaona 3. Usije Kariakoo saa 5 asubuhi 😂 eti oooh naulizia chimbo la vifaa vya simu, chimbo la abaya, Chimbo la Raba...
  20. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Usiku ni wa kupumzika, kwanini bado tunakesha?

    Kwa nini huwa unachelewa kulala? Kawaida siku inapoanza kwa kuchomoza kwa jua, watu wengi huanza pilika za kutafuta riziki na kutimiza majukumu yao ya kila siku Wengine huenda kazini, vibaruani, mashambani, sokoni, huku watoto nao wakielekea shuleni Kwa kifupi, siku huwa imejaa shughuli...
Back
Top Bottom