Watu waliovamiwa usiku pwani ni ipi hatma yao?

Best home tutor

Senior Member
Joined
May 8, 2026
Posts
194
Reaction score
262
Salama!

Kuna taarifa niliiona kati ya Mei 1_5 mwaka huu watu wanaosadikika kuwa zaidi ya 300 Waliingia na coaster usiku na kuvamia eneo lililopo pwani na kuanza kubomoa nyumba za watu na kuwaamuru watoke na waondoe vitu vyao ili wabomoe.

Kuna mama mmoja anasema mpaka kanga yake aliyokua amevaa iliachika kwenye purukushani na wabomoaji ambao hawakufuata utaratibu na walivamia usiku na hawakutaka kumsikiliza yeyote.

Niliona taarifa kwamba Kuna uchunguzi unaendelea kujua chanzo cha tatizo lakini sijaona suluhisho naombeni sana serikali kufuatilia jambo hili ili wananchi wale waendelee kufurahia matunda ya nchi yao.

Viongozi wa mkoa wilaya na kata wenye dhamana ya serikali acheni uzembe fanyeni kazi tatueni migogoro ya wananchi kwenye maeneo yenu.
 
Hawa jamaa hawakomi

Kuna wale mabamsa walioamuliwa wakabomoe nyumba za raia kulee tegeta kwa amri ya muwekezaji bila kufata sheria.. wakauliwa kama kuku raia walichoka kudhulumiwa wakaanza kuwakata mapanga mabamsa, walionusulika walikimbia mbio ndefu

Serikali inatakiwa iweke sheria kali kuhusu mabamsa wanaotumwa na watumie polisi kwa amri ya serikali ili wajue kama sheria inatumika
 
Watu 300 walikuwa kwenye coaster ngapi?
 
Hawa jamaa hawakomi

Kuna wale mabamsa walioamuliwa wakabomoe nyumba za raia kulee tegeta kwa amri ya muwekezaji bila kufata sheria.. wakauliwa kama kuku raia walichoka kudhulumiwa wakaanza kuwakata mapanga mabamsa, walionusulika walikimbia mbio ndefu

Serikali inatakiwa iweke sheria kali kuhusu mabamsa wanaotumwa na watumie polisi kwa amri ya serikali ili wajue kama sheria inatumika

View: https://youtu.be/rzeJpLW3ibo?si=yyhckHykrdRw7zye
 
Salama!

Kuna taarifa niliiona kati ya Mei 1_5 mwaka huu watu wanaosadikika kuwa zaidi ya 300 Waliingia na coaster usiku na kuvamia eneo lililopo pwani na kuanza kubomoa nyumba za watu na kuwaamuru watoke na waondoe vitu vyao ili wabomoe.

Kuna mama mmoja anasema mpaka kanga yake aliyokua amevaa iliachika kwenye purukushani na wabomoaji ambao hawakufuata utaratibu na walivamia usiku na hawakutaka kumsikiliza yeyote.

Niliona taarifa kwamba Kuna uchunguzi unaendelea kujua chanzo cha tatizo lakini sijaona suluhisho naombeni sana serikali kufuatilia jambo hili ili wananchi wale waendelee kufurahia matunda ya nchi yao.

Viongozi wa mkoa wilaya na kata wenye dhamana ya serikali acheni uzembe fanyeni kazi tatueni migogoro ya wananchi kwenye maeneo yenu.
Wafurahie matunda ya nchi yao wakiwa sehemu zao, lile eneo sio lao na wanalazimisha kuuziwa.
Serikali ndio inasababisha yote haya kwani inashindwa kufanya mambo kwa wakati sahihi?
 
Back
Top Bottom